Siri ya kuvunja baraza la mawaziri yafichuka kumbe JK ndo alikuwa ang'olewe

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Source Nipashe

Upepo wa kisiasa ulikuwa mbaya sio kwa Pinda bali kwa Kj kumbe wabunge wa CCM walikuwa na lengo la kumng'oa rais Kikwete na wala sio waziri mkuu Pinda.

Hii inatokana na Jk kuwakumbatia mawaziri wake wabovu na kinasababisha chama kufa.
Na hoja hiyo kuwasilishwa na Zitto ndo ikawana mashiko zaidi.

Kikubwa kauli kuwa upepo unapita uliwachukiza wabunge kupiga kura kutokuwa na imani na pinda ikuwa ni gia ya kuweka mazingira ya kumwajibisha jk na kimbunga hicho kingehamia kwake kwa kukosa sifa ya kuwa rais

My take
Ndo maana kwenye sherehe Za muungano alikuwa mwenye mawazo kweli coz alijua anaangushwa asipo vunja baraza
 
Mkuu nimejaribu kusoma hii thread yako zaidi ya mara kumi lakini nimetoka kapa sijaona hiyo siri.
 
Mkuu nimejaribu kusoma hii thread yako zaidi ya mara kumi lakini nimetoka kapa sijaona hiyo siri.

ni kweli,hata ukirudia mara mia moja,kwa ukilaza wa kimagamba ulionao huwezi kuiona hiyo siri
 
Viongozi madikteta km kikwete dawa yao kuwaangusha,maana tayari wamelaaniwa.

unaota kwanza mchana, unataka kuishi like us uondokane na umaskini just move from that chama, and u will enjoy like this u see on dah image
 

Attachments

  • KIKWETE-JR..jpg
    132.3 KB · Views: 199
Hivi unawajua viongozi madikteta wewe au unaropoka tu kwa sababu umepata nafasi ya kuandika JF..ebu tufahamishe udikteta wa Kikwete ni upi?

huu ni upepo tu utapita,serikali yangu haiendeshwi na wabunge wa ccm,raia wanakufa kwa mgomo wa madaktari yeye anaenda uswisi,tunataka spika mwanamke awamu hii,sijui kwa nini nchi yangu ni maskini,lowassa kutaka kuvunja mkataba tata wa richmond yeye akamzuia,mimi sio mawingu kwamba naweza kwenda mtera nikanyesha mabwawa yakajaa tukapata umeme...............................................................................................
 
Hivi unawajua viongozi madikteta wewe au unaropoka tu kwa sababu umepata nafasi ya kuandika JF..ebu tufahamishe udikteta wa Kikwete ni upi?

hata wewe ritz una mawazo ya kidikteta, kama kikwete! Wabunge wa ccm wanaona uozo wa serikali ya JK, lakini wewe huoni. JK anaujua umakini wa Chadema, na mkakati wake ni kubaka hoja za Chadema, na kuzifanya za ccm bado huoni tu!
 
wabunge washinikizaji ni 76 tu tusidanganyane mchana.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
ccm ya kumpigia kura rais ya kutokua na imani naye bado kutokea na kwa katiba hii ambayo bunge linaishi kwa huruma rais.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom