Siri hadharani: Siyo Vyama vya Upinzani ni Vyama Vya Watoa Taarifa

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Akipokelewa mkoani Dar es Salaam kama Katibu Mwenezi na Itikadi wa CC, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi

Amesema "Naomba nitumie fursa hii kutuma salamu kwa Mawaziri wote, Wakuu wa mikoa, na kwa Watendaji wote ya kwamba pale patakapobainika hamjafanya kazi yenu kwa ukamilifu, chama hakitasita kuchukua hatua"

"Bahati nzuri tunafahamiana, sitakuwa tayari kuwa Msemaji wa chama ambacho kimepewa dhamana na Wananchi na wanaomsaidia Mwenyikiti, nisimame hadharani kusema uongo, hapana!."

"Kila Kiongozi wa Serikali atabeba msalaba wake mwenyewe, sijahifadhiwa miaka mitatau na miezi mitatu kusema uongo, sijateuliwa na CCM kusema uongo na katika kiapo chetu kipo wazi, fitna, uongo na uzushi si sehemu ya CCM"

"Chama kimepewa dhamana na Wnanchi na kikaamini kwa kuunda Serikali, ni hakika Kiongozi yeyote atakayebainika na chama kikajiridhisha, kiongozi yeyote atakaye zembea chama kitachua hatua bila kusubiri kwa sababu ni wajibu wetu kukilinda, kukitea na kukipigania"

TAIFA HALINA UPINZANI
Aidha, amesema kuwa Tanzania hakuna Upinzani, yaani hakuna chama cha upinzani bali watoa taarifa walijikusanya kwa jina la vyama

"Ukimwona Tundu Lissu anaongea sio Chama ni mtu tu anatoa taarifa na wakati mwingine taarifa anayotoa inaweza kutoka kwenye chanzo ambacho si cha kweli au uhakika, lakini kwa sababu ni taarifa kazi ya chama chetu ni kusikiliza zile taarifa na badala ya kushughulika na mtoa taarifa tutashughulika na aliyesababisha taarifa kutoka"

"Naomba kusema kuanzia leo tarehe 26.10.2023 Taifa hili halina vyama vya upinzani bali kuna vyama vya watoa taarifa na sisi tutafanyia kazi taarifa zao maana ni chachu za maendeleo"
 
Akipokelewa Mkoani Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi

Amesema "Naomba nitumie fursa hii kutuma salamu wa Mawaziri wote, kwa Wakuu wa mikoa, na kwa watendaji wote ya kwamba pale patakapobainika hamjafanya kazi yenu kwa ukamilifu, chama hakitasita kuchukua hatua"

Bahati nzuri tunafahamiana, sitakuiwa tayari kuwa msemaji wachama ambacho kimepewa dhamana na wananchin na wanaomsaidia mwenyikiti nisimamame hadjharani kusema uongo, hapana.

Kila kiongozi wa serikali atabeba msalaba wake mwenyewe, sijahifadhiwa miaka mitatau na miezi mitatu kusema uongo, sijateuliwa na CCM kusema uongo na katika kiapo chetu kipo wazi, fitna, uongo na uzushi si sehemu ya CCM
Sasa nsona ana anza kufanya kazi za Katibu mkuu wa chama.. Hizi teuzi nyingine za kubebwa hazina job description. Ni kuropoka tuu.
 
Akipokelewa Mkoani Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi

Amesema "Naomba nitumie fursa hii kutuma salamu wa Mawaziri wote, kwa Wakuu wa mikoa, na kwa watendaji wote ya kwamba pale patakapobainika hamjafanya kazi yenu kwa ukamilifu, chama hakitasita kuchukua hatua"

"Bahati nzuri tunafahamiana, sitakuiwa tayari kuwa msemaji wachama ambacho kimepewa dhamana na wananchin na wanaomsaidia mwenyikiti nisimamame hadjharani kusema uongo, hapana."

Kila kiongozi wa serikali atabeba msalaba wake mwenyewe, sijahifadhiwa miaka mitatau na miezi mitatu kusema uongo, sijateuliwa na CCM kusema uongo na katika kiapo chetu kipo wazi, fitna, uongo na uzushi si sehemu ya CCM

Chama kimepewa dhamana na Wnanchi na kikaamini kwa kuunda Serikali, ni hakika Kiongozi yeyote atakayebainika na chama kikajiridhisha, kiongozi yoyote atakaye zembea chama kitachua hatua bila kusubiri kwa sababu bi wajibu wetu kikilinda, kikitea na kukipigania
FB_IMG_1698315700408.jpg
 
Akipokelewa Mkoani Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi

Amesema "Naomba nitumie fursa hii kutuma salamu wa Mawaziri wote, kwa Wakuu wa mikoa, na kwa Watendaji wote ya kwamba pale patakapobainika hamjafanya kazi yenu kwa ukamilifu, chama hakitasita kuchukua hatua"

"Bahati nzuri tunafahamiana, sitakuwa tayari kuwa Msemaji Wachama ambacho kimepewa dhamana na wananchin na wanaomsaidia mwenyikiti nisimamame hadjharani kusema uongo, hapana."

Kila kiongozi wa serikali atabeba msalaba wake mwenyewe, sijahifadhiwa miaka mitatau na miezi mitatu kusema uongo, sijateuliwa na CCM kusema uongo na katika kiapo chetu kipo wazi, fitna, uongo na uzushi si sehemu ya CCM

Chama kimepewa dhamana na Wnanchi na kikaamini kwa kuunda Serikali, ni hakika Kiongozi yeyote atakayebainika na chama kikajiridhisha, kiongozi yoyote atakaye zembea chama kitachua hatua bila kusubiri kwa sababu bi wajibu wetu kikilinda, kikitea na kukipigania

TAIFA HALINA UPINZANI
Aidha, amesema kuwa Tanzania hakuna Upinzani, yaani hakuna chama cha upinzani bali watoa taarifa walijikusanya kwa jina la vyama

Ukimwona Tundu Lissu anaongea sio Chama ni mtu tu anatoa taarifa na wakati mwingine taarifa anayotoa inaweza kutoka kwenye chanzo ambacho si cha kweli au uhakika, lakini kwa sababu ni taarifa kazi ya chama chetu ni kusikiliza zile taarifa na badala ya kushughulika na mtoa taarifa tutashughulika na sliyesababisha taarifa kutoka

Nao,mba kusema kuanzia leo tarehe 26.10.2023 Taifa hili halina vyama vya upinzani bali kuna vyama vya watoa taarifa na sisi tutafanyia kazi taarifa zao maana ni chachu za maendeleo
Hiyo paragraph ya mwisho naunga mkono hoja
 
Kwa tambo hizi za kishamba huyu ameshashindwa kabla hajaanza hiyo kazi,amejichimbia mwenyewe kaburi la kisiasa,amuulize Magumashi tambo zake zimeishia wapi.
 
Haya yanapaswa kuongelewa na katibu mkuu au mwenyekiti wa chama.
Kama ccm imegeuka kuwa Chauma ni sawa lakini ikiwa ni taasisi makini basi watajuta kumkabidhi chizi rungu.
 
Akipokelewa mkoani Dar es Salaam kama Katibu Mwenezi na Itikadi wa CC, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi

Amesema "Naomba nitumie fursa hii kutuma salamu kwa Mawaziri wote, Wakuu wa mikoa, na kwa Watendaji wote ya kwamba pale patakapobainika hamjafanya kazi yenu kwa ukamilifu, chama hakitasita kuchukua hatua"

"Bahati nzuri tunafahamiana, sitakuwa tayari kuwa Msemaji wa chama ambacho kimepewa dhamana na Wananchi na wanaomsaidia Mwenyikiti, nisimame hadharani kusema uongo, hapana!."

"Kila Kiongozi wa Serikali atabeba msalaba wake mwenyewe, sijahifadhiwa miaka mitatau na miezi mitatu kusema uongo, sijateuliwa na CCM kusema uongo na katika kiapo chetu kipo wazi, fitna, uongo na uzushi si sehemu ya CCM"

"Chama kimepewa dhamana na Wnanchi na kikaamini kwa kuunda Serikali, ni hakika Kiongozi yeyote atakayebainika na chama kikajiridhisha, kiongozi yeyote atakaye zembea chama kitachua hatua bila kusubiri kwa sababu ni wajibu wetu kukilinda, kukitea na kukipigania"

TAIFA HALINA UPINZANI
Aidha, amesema kuwa Tanzania hakuna Upinzani, yaani hakuna chama cha upinzani bali watoa taarifa walijikusanya kwa jina la vyama

"Ukimwona Tundu Lissu anaongea sio Chama ni mtu tu anatoa taarifa na wakati mwingine taarifa anayotoa inaweza kutoka kwenye chanzo ambacho si cha kweli au uhakika, lakini kwa sababu ni taarifa kazi ya chama chetu ni kusikiliza zile taarifa na badala ya kushughulika na mtoa taarifa tutashughulika na aliyesababisha taarifa kutoka"

"Naomba kusema kuanzia leo tarehe 26.10.2023 Taifa hili halina vyama vya upinzani bali kuna vyama vya watoa taarifa na sisi tutafanyia kazi taarifa zao maana ni chachu za maendeleo"
Kwa wenye akili mtajuwa huyu ni mtu wa aina gani.mimi nimejifunza mambo ma3,anatisha,anadharu na anakufanyia ni mzuri kuliko
 
Alikuwa "amehifadhiwa" (detained).
Tumeelewa Sasa.
 
Back
Top Bottom