johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Ikumbukwe Kuwa Shujaa Magufuli alipoingia madarakani na kukabidhiwa Uenyekiti wa CCM alijitahidi kuleta Maendeleo Makubwa Nje ya mfumo rasmi wa CCM
Ndio sababu iliitwa CCM ya Magufuli
Wahafidhina wa CCM walimuona JPM kama mpinzani wa ndani ya Chama
Na kwa miaka 30 sasa vyama vya Upinzani vimekuwa vikipambana na CCM lakini cha.ajabu idadi ya Wabunge wa kuchaguliwa vyama vya Upinzani 2020 ni ndogo sana ukilinganisha na ile ya Kwenye Uchaguzi wa kwanza wa Vyama Vingi 1995
Ndio kusema Upinzani huu wa Watoa Taarifa umeishindwa kabisa CCM?
Jumaa Mubarak 😄