Makonda anaposema Vyama Vya Upinzani ni Watoa Taarifa anamaanisha ni Mapandikizi ya CCM ( Serikali)

Nauliza tu maana hata Nape alipokuwa Mwenezi alisema Dr Slaa ni mwanachama wa CCM na Wengi tulimbishia hadi pale 2015 alipomaliza majukumu yake mtaa wa Ufipa

Sasa na Hili la Komredi Makonda kusema Wapinzani ni Watu wa kaunda Suti nyeusi wenye akili wamemuelewa

Nawatakia Christmas Njema

Watoa taarifa kwa maana wao ni watu wakulalamika

Mzee wa bandari
 
Nauliza tu maana hata Nape alipokuwa Mwenezi alisema Dr Slaa ni mwanachama wa CCM na Wengi tulimbishia hadi pale 2015 alipomaliza majukumu yake mtaa wa Ufipa

Sasa na Hili la Komredi Makonda kusema Wapinzani ni Watu wa kaunda Suti nyeusi wenye akili wamemuelewa

Nawatakia Christmas Njema 😄
Kwa mtu ambaye ana akili zake timamu kabisa na ambaye yupo serious kabisa na maisha yake, hawezi kupoteza muda wake na kumfuatilia mtu anayeitwa Paul Makonda. Kamwe hawezi kufanya hivyo!
 
Nauliza tu maana hata Nape alipokuwa Mwenezi alisema Dr Slaa ni mwanachama wa CCM na Wengi tulimbishia hadi pale 2015 alipomaliza majukumu yake mtaa wa Ufipa

Sasa na Hili la Komredi Makonda kusema Wapinzani ni Watu wa kaunda Suti nyeusi wenye akili wamemuelewa

Nawatakia Christmas Njema
Bashite Bashite vipi zoezi la KUOMBEWA mbona hujaenda kwa Baba Askofu GWAJIMA?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Nauliza tu maana hata Nape alipokuwa Mwenezi alisema Dr Slaa ni mwanachama wa CCM na Wengi tulimbishia hadi pale 2015 alipomaliza majukumu yake mtaa wa Ufipa

Sasa na Hili la Komredi Makonda kusema Wapinzani ni Watu wa kaunda Suti nyeusi wenye akili wamemuelewa

Nawatakia Christmas Njema 😄
Wewe unaona Kuna upinzani Tzn hii au waganga njaa?

Tanzania kungekuwa na Wapinzani serious ungeona Wananchi wako tayari kujitolea maisha kupigana pamoja nao maana wangekuwa na uhakika wanapigania maslahi Yao.

Sasa ukapiganie maslahi ya Lisu wa Ubelgiji una akili timamu? Ndio maana wanapuuzwa.
 
Ni kweli

Mbatia, Mbowe, Zitto Kabwe na Katambi tuliaminishwa ni Wapinzani
 
Nauliza tu maana hata Nape alipokuwa Mwenezi alisema Dr Slaa ni mwanachama wa CCM na Wengi tulimbishia hadi pale 2015 alipomaliza majukumu yake mtaa wa Ufipa

Sasa na Hili la Komredi Makonda kusema Wapinzani ni Watu wa kaunda Suti nyeusi wenye akili wamemuelewa

Nawatakia Christmas Njema 😄
Ni kweli Mkuu.
Naungana na Mwenezi.
Tuna watoa taarifa.
Hatuna wapinzani
 
Back
Top Bottom