turukapetronia
Member
- Jul 27, 2016
- 10
- 1
Ni balaa
Vipi kuhusu taasisi zenye branch mikoani? Kuna tofauti ipi na waziri kua Dom Ceo kua dar??Hiyo teknolojia ina changamoto zake na limitations zake.
Video conference si kila kitu pia.
Mmh Skype mbona iko safi. Limitation kama huna data. Kwetu mikutano ni kwa skype. Hiyo ndo technologyAcha usinichekeshe bana!
Naamini sasa itakuwa wakati mzuri wa kutumia mkongo wa taifa "video conference" maofisi ya watu binafsi wanafanya video conference na maboss wao Ulaya unashangaa Dodoma na DarSijui tunaelekea wapi hasa pale dharura za kiutendaji zitakapotokea ambazo zitakuwa zinahitaji kikao cha dharura kati ya Waziri, Katibu Mkuu na CEO wa shirika au Taasisi fulani ya umma au pale Katibu Mkuu atapotaka kuonana na CEO wa shirika fulani la umma kwa maswla ya kawaida ya kikazi huku mmoja yuko Dar na mwingine yuko Dodoma!
Kujenga makao makuu ya kila Taasisi au shirika la umma Dodoma itachukua miaka mingapi na itagharimu shilingi ngapi?
Taasisi zilizoanza au zilizokamalisha ujenzi wa makao makuu yake Dar-essalaam kama vile TCRA zitatakiwa kujenge headquater nyingine Dodoma?
Kipaumbele chetu ni nini hasa?
Hata mimi nimeshangaa. Nimejiuliza Kuhamia Dodoma ndio ilikuwa kero kuu ya watanzania hadi kulaximu hilo lifanyike kwa mwendokasi? Maji yenyewe Dar mpaka leo tunapigwa tarehe. Miezi mitatu sasa bomba langu halijatoa maji! Watutatulie kero za msingi kwanza! Agrhhhh!Non profit project ambazo taifa linataka kuziingiza sijuh ela zitatoa wapi kuamisha ofis za umma haiitaji haraka hivi watajua wenyewe mm naangalia tu kwani kuna uharaka gani wa kuamia fast kitu gani kitao gezeka kama serikar itaamia dodoma?
Hivi kweli kweli uko dunia gani mwenzangu. ..Skype ni kwa ajili gani? MOLA atuhurumie
Usihusishe chadema na mambo yenu binafsi kumbuka chadema hawana tatizo na serikali kuhamia Dodoma kabsa wenye shida ni CCM wenyewe Kwa wenyewe ndiyo wanapinganaSerikali ilishaanza kuhamia Dodoma miaka 42 iliyopita , kila wizara ina Nyumba Dodoma pamoja na ofisi ndogo. Mawaziri wote wakienda bungeni hukaa kwenye nyumba za mawaziri.
Kwa taarifa yenu kuna mamlaka ya usitawishaji makao makuu Dodoma( CDA)
Kwa miaka 40 sasa kazi yake ni kupanga miundombinu ya Dodoma.
Bank zinafanya kazi Kwa mitandao na serikali itafanya kazi kwa mitandaoSijui tunaelekea wapi hasa pale dharura za kiutendaji zitakapotokea ambazo zitakuwa zinahitaji kikao cha dharura kati ya Waziri, Katibu Mkuu na CEO wa shirika au Taasisi fulani ya umma au pale Katibu Mkuu atapotaka kuonana na CEO wa shirika fulani la umma kwa maswla ya kawaida ya kikazi huku mmoja yuko Dar na mwingine yuko Dodoma!
Kujenga makao makuu ya kila Taasisi au shirika la umma Dodoma itachukua miaka mingapi na itagharimu shilingi ngapi?
Taasisi zilizoanza au zilizokamalisha ujenzi wa makao makuu yake Dar-essalaam kama vile TCRA zitatakiwa kujenge headquater nyingine Dodoma?
Kipaumbele chetu ni nini hasa?
Amen. ...hebu nisaidie kuwaelimisha majamaaMmh Skype mbona iko safi. Limitation kama huna data. Kwetu mikutano ni kwa skype. Hiyo ndo technology
mimi ni neither CCM au CDM lakini facts ulizoweka ni dhaifu mno. CDA so far haina ubavu kuhimili taasisi zilizopo Dar kuwekwa Dodoma at once. CDA so far haina uwezo hata kufikia level ya Uwezo wa Manispaaa ya Kinondoni tu kwa mfano. utetez ulioutoa ni dhaifu na au umekaa kiushabiki lakini siyo realistic!Uzuri wa bavicha huwa ni weupe kichwani.
Baada ya kunywa viroba unaamua kulalamika hovyo bila kujua unacholalamikia ni nini.!!!
Serikali ilishaanza kuhamia Dodoma miaka 42 iliyopita , kila wizara ina Nyumba Dodoma pamoja na ofisi ndogo. Mawaziri wote wakienda bungeni hukaa kwenye nyumba za mawaziri.
Kwa taarifa yenu kuna mamlaka ya usitawishaji makao makuu Dodoma( CDA)
Kwa miaka 40 sasa kazi yake ni kupanga miundombinu ya Dodoma.
Kwa maoni yako kinondoni ilijikuta tu/siku moja iko ilivyo Leo??Bila kuathiri hao watani zako uliowaita nyumbu, mimi ni neither CCM au CDM lakini facts ulizoweka ni dhaifu mno. CDA so far haina ubavu kuhimili taasisi zilizopo Dar kuwekwa Dodoma at once. CDA so far haina uwezo hata kufikia level ya Uwezo wa Manispaaa ya Kinondoni tu kwa mfano. utetez ulioutoa ni dhaifu na au umekaa kiushabiki lakini siyo realistic!
Sijui tunaelekea wapi hasa pale dharura za kiutendaji zitakapotokea ambazo zitakuwa zinahitaji kikao cha dharura kati ya Waziri, Katibu Mkuu na CEO wa shirika au Taasisi fulani ya umma au pale Katibu Mkuu atapotaka kuonana na CEO wa shirika fulani la umma kwa maswla ya kawaida ya kikazi huku mmoja yuko Dar na mwingine yuko Dodoma!
Kujenga makao makuu ya kila Taasisi au shirika la umma Dodoma itachukua miaka mingapi na itagharimu shilingi ngapi?
Taasisi zilizoanza au zilizokamalisha ujenzi wa makao makuu yake Dar-essalaam kama vile TCRA zitatakiwa kujenge headquater nyingine Dodoma?
Kipaumbele chetu ni nini hasa?
Maoni yangu hayaamini hilo, lakini pia haiimini CDA hasa ile niijuayo mimi.Kwa maoni yako kinondoni ilijikuta tu/siku moja iko ilivyo Leo??
Sasa kama huamini kila kitu povu la nini??Maoni yangu hayaamini hilo, lakini pia haiimini CDA hasa ile niijuayo mimi.
Video comference mkuu!Sijui tunaelekea wapi hasa pale dharura za kiutendaji zitakapotokea ambazo zitakuwa zinahitaji kikao cha dharura kati ya Waziri, Katibu Mkuu na CEO wa shirika au Taasisi fulani ya umma au pale Katibu Mkuu atapotaka kuonana na CEO wa shirika fulani la umma kwa maswla ya kawaida ya kikazi huku mmoja yuko Dar na mwingine yuko Dodoma!
Kujenga makao makuu ya kila Taasisi au shirika la umma Dodoma itachukua miaka mingapi na itagharimu shilingi ngapi?
Taasisi zilizoanza au zilizokamalisha ujenzi wa makao makuu yake Dar-essalaam kama vile TCRA zitatakiwa kujenge headquater nyingine Dodoma?
Kipaumbele chetu ni nini hasa?
Acheni unafikiLengo hasa la serikali kutaka kuhamia rasmi Dodoma ni nini hasa?
Hilo jambo lina tija gani hasa kwa Taifa?
Nini kimepungua Dar mpaka tuhamie Dodoma?
Napata wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri....TANAPA, NGORONGORO, CARMATEC, TPRI, AICC ni mashirika ya umma yote yapo Arusha.... Mawaziri ambao hayo mashirika yapo chini yao wapo Dar..na kazi zinaenda.
Sioni pointi ya uzi wako zaidi ya porojo tu...RED HERRINGS