Sipati picha: Waziri yuko Dodoma, CEO wa Taasisi iliyo chini yake yuko Dar es Salaam

Serikali ilishaanza kuhamia Dodoma miaka 42 iliyopita , kila wizara ina Nyumba Dodoma pamoja na ofisi ndogo. Mawaziri wote wakienda bungeni hukaa kwenye nyumba za mawaziri.

Kwa taarifa yenu kuna mamlaka ya usitawishaji makao makuu Dodoma( CDA)
Kwa miaka 40 sasa kazi yake ni kupanga miundombinu ya Dodoma.
Makao makuu ya ccm yako dodoma lakini tuambiane ukweli bila unafiki, ni kiongozi gani mkuu wa ccm anafanyia kazi mbali na Lumumba ukiondoa mikutano ambayo ni kuhudhuria tu!? TZ tuna matatizo mengi na yamesababishwa na nguvu iliyonayo ccm.
 
Serikali ilishaanza kuhamia Dodoma miaka 42 iliyopita , kila wizara ina Nyumba Dodoma pamoja na ofisi ndogo. Mawaziri wote wakienda bungeni hukaa kwenye nyumba za mawaziri.

Kwa taarifa yenu kuna mamlaka ya usitawishaji makao makuu Dodoma( CDA)
Kwa miaka 40 sasa kazi yake ni kupanga miundombinu ya Dodoma.

Tatizo halipo kwenye milango yako ya fahamu bali ubongo wako. Una macho yanayoona vizuri ila tatizo ubongo wako unashindwa kutafsiri kile unachokiona, una masikio yanayofanya kazi sawa sawa ila ubongo wako unashindwa kuchanganua kile unachokisikia..... tatizo lipo katika namna yako ya kufikiri
 
Sijui tunaelekea wapi hasa pale dharura za kiutendaji zitakapotokea ambazo zitakuwa zinahitaji kikao cha dharura kati ya Waziri, Katibu Mkuu na CEO wa shirika au Taasisi fulani ya umma au pale Katibu Mkuu atapotaka kuonana na CEO wa shirika fulani la umma kwa maswla ya kawaida ya kikazi huku mmoja yuko Dar na mwingine yuko Dodoma!

Kujenga makao makuu ya kila Taasisi au shirika la umma Dodoma itachukua miaka mingapi na itagharimu shilingi ngapi?

Taasisi zilizoanza au zilizokamalisha ujenzi wa makao makuu yake Dar-essalaam kama vile TCRA zitatakiwa kujenge headquater nyingine Dodoma?

Kipaumbele chetu ni nini hasa?
...Duh, hili la ujenzi limenikumbusha wizara ya maji wamelipandisha li-mjengo lao ubungo pale maghorofa mangapi sijui sasa serikali inahama sijui itakuwaje....
 
Tunaweza kusikia kesho "rais ameteua kampuni fulani" kujenga barabara ya mwendo kasi Dar to Dodoma, hivyo wakawa wanaenda kila dk. kupelekeana mafaili. TZ ya maajabu.
 
Tutajenga reli ya train za kutumia umeme toka dom mpaka dar.
Safari itakua ya dakika ishirini tu uko ndani ya jiji la dodoma
 
Tutajenga reli ya train za kutumia umeme toka dom mpaka dar.
Safari itakua ya dakika ishirini tu uko ndani ya jiji la dodoma
 
Sijui tunaelekea wapi hasa pale dharura za kiutendaji zitakapotokea ambazo zitakuwa zinahitaji kikao cha dharura kati ya Waziri, Katibu Mkuu na CEO wa shirika au Taasisi fulani ya umma au pale Katibu Mkuu atapotaka kuonana na CEO wa shirika fulani la umma kwa maswla ya kawaida ya kikazi huku mmoja yuko Dar na mwingine yuko Dodoma!

Kujenga makao makuu ya kila Taasisi au shirika la umma Dodoma itachukua miaka mingapi na itagharimu shilingi ngapi?

Taasisi zilizoanza au zilizokamalisha ujenzi wa makao makuu yake Dar-essalaam kama vile TCRA zitatakiwa kujenge headquater nyingine Dodoma?

Kipaumbele chetu ni nini hasa?

Kipaumbele chetu ni UKUTA
 
Nendeni mkashike ukuta..
 
Serikali ilishaanza kuhamia Dodoma miaka 42 iliyopita , kila wizara ina Nyumba Dodoma pamoja na ofisi ndogo. Mawaziri wote wakienda bungeni hukaa kwenye nyumba za mawaziri.

Kwa taarifa yenu kuna mamlaka ya usitawishaji makao makuu Dodoma( CDA)
Kwa miaka 40 sasa kazi yake ni kupanga miundombinu ya Dodoma.
Wamechoka kuzungusha mikono..sasa wanakuja na ukuta
 
Sijui tunaelekea wapi hasa pale dharura za kiutendaji zitakapotokea ambazo zitakuwa zinahitaji kikao cha dharura kati ya Waziri, Katibu Mkuu na CEO wa shirika au Taasisi fulani ya umma au pale Katibu Mkuu atapotaka kuonana na CEO wa shirika fulani la umma kwa maswla ya kawaida ya kikazi huku mmoja yuko Dar na mwingine yuko Dodoma!

Kujenga makao makuu ya kila Taasisi au shirika la umma Dodoma itachukua miaka mingapi na itagharimu shilingi ngapi?

Taasisi zilizoanza au zilizokamalisha ujenzi wa makao makuu yake Dar-essalaam kama vile TCRA zitatakiwa kujenge headquater nyingine Dodoma?

Kipaumbele chetu ni nini hasa?
Kwa maana hiyo wewe unashauri makao makuu yaendelee kubaki DSM, au una ushauri gani mkuu
 
Back
Top Bottom