Sipati picha: Waziri yuko Dodoma, CEO wa Taasisi iliyo chini yake yuko Dar es Salaam

Sijui tunaelekea wapi hasa pale dharura za kiutendaji zitakapotokea ambazo zitakuwa zinahitaji kikao cha dharura kati ya Waziri, Katibu Mkuu na CEO wa shirika au Taasisi fulani ya umma au pale Katibu Mkuu atapotaka kuonana na CEO wa shirika fulani la umma kwa maswla ya kawaida ya kikazi huku mmoja yuko Dar na mwingine yuko Dodoma!

Kujenga makao makuu ya kila Taasisi au shirika la umma Dodoma itachukua miaka mingapi na itagharimu shilingi ngapi?

Taasisi zilizoanza au zilizokamalisha ujenzi wa makao makuu yake Dar-essalaam kama vile TCRA zitatakiwa kujenge headquater nyingine Dodoma?

Kipaumbele chetu ni nini hasa?
Naamini sasa itakuwa wakati mzuri wa kutumia mkongo wa taifa "video conference" maofisi ya watu binafsi wanafanya video conference na maboss wao Ulaya unashangaa Dodoma na Dar
 
Non profit project ambazo taifa linataka kuziingiza sijuh ela zitatoa wapi kuamisha ofis za umma haiitaji haraka hivi watajua wenyewe mm naangalia tu kwani kuna uharaka gani wa kuamia fast kitu gani kitao gezeka kama serikar itaamia dodoma?
Hata mimi nimeshangaa. Nimejiuliza Kuhamia Dodoma ndio ilikuwa kero kuu ya watanzania hadi kulaximu hilo lifanyike kwa mwendokasi? Maji yenyewe Dar mpaka leo tunapigwa tarehe. Miezi mitatu sasa bomba langu halijatoa maji! Watutatulie kero za msingi kwanza! Agrhhhh!
 
Watanzania bhana...!!! kwa hiyo kwa mawazo yako unadhani Ofisi ya Waziri na CEO ni tofauti?

Unadhani kwa mfano wizara ya Elimu au madini ile pale Dar. anakaa WAZIRI TU? Mambo gani haya?

Unadhani wizara hiyo hapo DODOMA imejengwa kwa ajili ya waziri tu?

Hivi wewe ukijenga Nyumba yako utaweka chumba chako tu na vya watoto hutaviweka?
 
Serikali ilishaanza kuhamia Dodoma miaka 42 iliyopita , kila wizara ina Nyumba Dodoma pamoja na ofisi ndogo. Mawaziri wote wakienda bungeni hukaa kwenye nyumba za mawaziri.
Kwa taarifa yenu kuna mamlaka ya usitawishaji makao makuu Dodoma( CDA)
Kwa miaka 40 sasa kazi yake ni kupanga miundombinu ya Dodoma.
Usihusishe chadema na mambo yenu binafsi kumbuka chadema hawana tatizo na serikali kuhamia Dodoma kabsa wenye shida ni CCM wenyewe Kwa wenyewe ndiyo wanapingana
 
Sijui tunaelekea wapi hasa pale dharura za kiutendaji zitakapotokea ambazo zitakuwa zinahitaji kikao cha dharura kati ya Waziri, Katibu Mkuu na CEO wa shirika au Taasisi fulani ya umma au pale Katibu Mkuu atapotaka kuonana na CEO wa shirika fulani la umma kwa maswla ya kawaida ya kikazi huku mmoja yuko Dar na mwingine yuko Dodoma!

Kujenga makao makuu ya kila Taasisi au shirika la umma Dodoma itachukua miaka mingapi na itagharimu shilingi ngapi?

Taasisi zilizoanza au zilizokamalisha ujenzi wa makao makuu yake Dar-essalaam kama vile TCRA zitatakiwa kujenge headquater nyingine Dodoma?

Kipaumbele chetu ni nini hasa?
Bank zinafanya kazi Kwa mitandao na serikali itafanya kazi kwa mitandao
 
Uzuri wa bavicha huwa ni weupe kichwani.

Baada ya kunywa viroba unaamua kulalamika hovyo bila kujua unacholalamikia ni nini.!!!

Serikali ilishaanza kuhamia Dodoma miaka 42 iliyopita , kila wizara ina Nyumba Dodoma pamoja na ofisi ndogo. Mawaziri wote wakienda bungeni hukaa kwenye nyumba za mawaziri.

Kwa taarifa yenu kuna mamlaka ya usitawishaji makao makuu Dodoma( CDA)
Kwa miaka 40 sasa kazi yake ni kupanga miundombinu ya Dodoma.
mimi ni neither CCM au CDM lakini facts ulizoweka ni dhaifu mno. CDA so far haina ubavu kuhimili taasisi zilizopo Dar kuwekwa Dodoma at once. CDA so far haina uwezo hata kufikia level ya Uwezo wa Manispaaa ya Kinondoni tu kwa mfano. utetez ulioutoa ni dhaifu na au umekaa kiushabiki lakini siyo realistic!
 
Bila kuathiri hao watani zako uliowaita nyumbu, mimi ni neither CCM au CDM lakini facts ulizoweka ni dhaifu mno. CDA so far haina ubavu kuhimili taasisi zilizopo Dar kuwekwa Dodoma at once. CDA so far haina uwezo hata kufikia level ya Uwezo wa Manispaaa ya Kinondoni tu kwa mfano. utetez ulioutoa ni dhaifu na au umekaa kiushabiki lakini siyo realistic!
Kwa maoni yako kinondoni ilijikuta tu/siku moja iko ilivyo Leo??
 
Sijui tunaelekea wapi hasa pale dharura za kiutendaji zitakapotokea ambazo zitakuwa zinahitaji kikao cha dharura kati ya Waziri, Katibu Mkuu na CEO wa shirika au Taasisi fulani ya umma au pale Katibu Mkuu atapotaka kuonana na CEO wa shirika fulani la umma kwa maswla ya kawaida ya kikazi huku mmoja yuko Dar na mwingine yuko Dodoma!

Kujenga makao makuu ya kila Taasisi au shirika la umma Dodoma itachukua miaka mingapi na itagharimu shilingi ngapi?

Taasisi zilizoanza au zilizokamalisha ujenzi wa makao makuu yake Dar-essalaam kama vile TCRA zitatakiwa kujenge headquater nyingine Dodoma?

Kipaumbele chetu ni nini hasa?

Napata wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri....TANAPA, NGORONGORO, CARMATEC, TPRI, AICC ni mashirika ya umma yote yapo Arusha.... Mawaziri ambao hayo mashirika yapo chini yao wapo Dar..na kazi zinaenda.
Sioni pointi ya uzi wako zaidi ya porojo tu...RED HERRINGS
 
Binafsi naona sasa serikali iwekeze kwenye teknolojia na mawasiliano ili iweze kusaidia kwenye vikao kwa kutumia teleconference na barua kwa fax! Hapa uboreshaji na uanzishwaji wa matumizi hayo ni muhimu zaidi!
 
Lengo hasa la serikali kutaka kuhamia rasmi Dodoma ni nini hasa?
Hilo jambo lina tija gani hasa kwa Taifa?
Nini kimepungua Dar mpaka tuhamie Dodoma?
 
V
Sijui tunaelekea wapi hasa pale dharura za kiutendaji zitakapotokea ambazo zitakuwa zinahitaji kikao cha dharura kati ya Waziri, Katibu Mkuu na CEO wa shirika au Taasisi fulani ya umma au pale Katibu Mkuu atapotaka kuonana na CEO wa shirika fulani la umma kwa maswla ya kawaida ya kikazi huku mmoja yuko Dar na mwingine yuko Dodoma!

Kujenga makao makuu ya kila Taasisi au shirika la umma Dodoma itachukua miaka mingapi na itagharimu shilingi ngapi?

Taasisi zilizoanza au zilizokamalisha ujenzi wa makao makuu yake Dar-essalaam kama vile TCRA zitatakiwa kujenge headquater nyingine Dodoma?

Kipaumbele chetu ni nini hasa?
Video comference mkuu!
 
Napata wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri....TANAPA, NGORONGORO, CARMATEC, TPRI, AICC ni mashirika ya umma yote yapo Arusha.... Mawaziri ambao hayo mashirika yapo chini yao wapo Dar..na kazi zinaenda.
Sioni pointi ya uzi wako zaidi ya porojo tu...RED HERRINGS

Mkuu mkumbushe na wakala wa jiolojia tanzania(GST) Iko dofoma ila MEM ilikua dar halaf freshiii tu kazi zinaenda
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom