Sipati picha: Waziri yuko Dodoma, CEO wa Taasisi iliyo chini yake yuko Dar es Salaam

Una uzoefu gani wewe na/wa serikali kwa kuniuliza swali hilo???!!!! Umefanya kazi au unafanya kazi serikalini wewe???? Una umri gani wewe mpaka uniulize kwa confidence na hata dharau kiasi hicho???? Au unauliza mradi kuuliza tu???
Jibu kwa confidence kama unajua,umri sio hoja
 
Nje ya mada kidogo: Kwanini Serikali isipeleke Makao makuu ya Wizara na Taasisi mbalimbali kwenye Mikoa tofauti ili kuwianisha maendeleo? Maana naona kila kitu DSM na Dodoma.
 
Mkuu mkumbushe na wakala wa jiolojia tanzania(GST) Iko dofoma ila MEM ilikua dar halaf freshiii tu kazi zinaenda
mkuu kakurupuka tu huyu...ndio wale mama Ndalichako anatafuta vyeti vyao...analeta stori za kufurahisha genge...
 
Serikali ilishaanza kuhamia Dodoma miaka 42 iliyopita , kila wizara ina Nyumba Dodoma pamoja na ofisi ndogo. Mawaziri wote wakienda bungeni hukaa kwenye nyumba za mawaziri.

Kwa taarifa yenu kuna mamlaka ya usitawishaji makao makuu Dodoma( CDA)
Kwa miaka 40 sasa kazi yake ni kupanga miundombinu ya Dodoma.
Una uhakika kila wizara ina Ofisi ndogo Dodoma?
 
Mishahara tu inawapa shida , watumishi bado hawajerekebishiwa wasilahi yao walio ahidiwa, tena gafla serikali inaaanzisha jambo ambalo litatumia gharama kubwa. Dalili ya mvua ni wingu, bila kupepesa macho hii serikali itafeli, because the greatest mistake in life is being busy but not effective. Kuna mambo kibao hawajakamilsha gafla wana anzisha lingine.
 
Mi nauliza anahama waziri peke yake au wafanyakazi wote wizarani.mseme mapema tuanze kufungasha mizigo.
 
Serikali ilishaanza kuhamia Dodoma miaka 42 iliyopita , kila wizara ina Nyumba Dodoma pamoja na ofisi ndogo. Mawaziri wote wakienda bungeni hukaa kwenye nyumba za mawaziri.

Kwa taarifa yenu kuna mamlaka ya usitawishaji makao makuu Dodoma( CDA)
Kwa miaka 40 sasa kazi yake ni kupanga miundombinu ya Dodoma.
Mkuu Hii post umeikosea kuituma mahara pake au??? Maana naona uhusiano wa hiyo post ni kilichoandikwa na Muandishi no relationship!!!! Jipange Mkuu
 
mkuu kakurupuka tu huyu...ndio wale mama Ndalichako anatafuta vyeti vyao...analeta stori za kufurahisha genge...

Hajui wakala zinafanyaje kazi na pia ni utofauti wake na idara ndani ya wizara.

Hizi wakala zikianzishwa kwa sheria ya bunge zinapewa semi-autonomy

Kwahio usitegemee sumatra ewura tpdc tanesco nk nk kulazimika kwenda Dodoma.

Ila watumishi wa serikali kuu jiandaeni tu kupangisha ipagala,ilazo,kisasa nkuhungu kabla hazijapanda bei
 
Sijui tunaelekea wapi hasa pale dharura za kiutendaji zitakapotokea ambazo zitakuwa zinahitaji kikao cha dharura kati ya Waziri, Katibu Mkuu na CEO wa shirika au Taasisi fulani ya umma au pale Katibu Mkuu atapotaka kuonana na CEO wa shirika fulani la umma kwa maswla ya kawaida ya kikazi huku mmoja yuko Dar na mwingine yuko Dodoma!

Kujenga makao makuu ya kila Taasisi au shirika la umma Dodoma itachukua miaka mingapi na itagharimu shilingi ngapi?

Taasisi zilizoanza au zilizokamalisha ujenzi wa makao makuu yake Dar-essalaam kama vile TCRA zitatakiwa kujenge headquater nyingine Dodoma?

Kipaumbele chetu ni nini hasa?
Waliomba madaraka kwa ajili ya kuhamisha ofisi tu ? Au ndio baadaye tukihoji tuambiwe hela imetumika kubebea magodoro ya viongozi kwenda dodoma ?
 
Serikali ilishaanza kuhamia Dodoma miaka 42 iliyopita , kila wizara ina Nyumba Dodoma pamoja na ofisi ndogo. Mawaziri wote wakienda bungeni hukaa kwenye nyumba za mawaziri.

Kwa taarifa yenu kuna mamlaka ya usitawishaji makao makuu Dodoma( CDA)
Kwa miaka 40 sasa kazi yake ni kupanga miundombinu ya Dodoma.
Unafikir wizara ni wazir na ktibu. Think big
 
Wanao pinga huu utaratibu wakuhamia dom wana-intrest ndan yake, ila kuhama ndio mtahama tu!!
 
labda mi mwenzenu sijaelewa nisaidieni, eti kuhamishia serikali dom kimwendokasi kutamsaidia nini mtanzania wa kawaida anayehitaji elimu bora, afya na huduma zingine muhimu?
 
Watanzania bhana...!!! kwa hiyo kwa mawazo yako unadhani Ofisi ya Waziri na CEO ni tofauti?

Unadhani kwa mfano wizara ya Elimu au madini ile pale Dar. anakaa WAZIRI TU? Mambo gani haya?

Unadhani wizara hiyo hapo DODOMA imejengwa kwa ajili ya waziri tu?

Hivi wewe ukijenga Nyumba yako utaweka chumba chako tu na vya watoto hutaviweka?
Kwahiyo Hao wafanyakazi wengine watalala ofisini?
 
Sijui tunaelekea wapi hasa pale dharura za kiutendaji zitakapotokea ambazo zitakuwa zinahitaji kikao cha dharura kati ya Waziri, Katibu Mkuu na CEO wa shirika au Taasisi fulani ya umma au pale Katibu Mkuu atapotaka kuonana na CEO wa shirika fulani la umma kwa maswla ya kawaida ya kikazi huku mmoja yuko Dar na mwingine yuko Dodoma!

Kujenga makao makuu ya kila Taasisi au shirika la umma Dodoma itachukua miaka mingapi na itagharimu shilingi ngapi?

Taasisi zilizoanza au zilizokamalisha ujenzi wa makao makuu yake Dar-essalaam kama vile TCRA zitatakiwa kujenge headquater nyingine Dodoma?

Kipaumbele chetu ni nini hasa?
Hayo maswali yanaumiza vichwa vyetu. Fumba macho, itapita.
 
Hivi kweli kweli uko dunia gani mwenzangu. ..Skype ni kwa ajili gani? MOLA atuhurumie

Well mkuu skype ambayo iko kwenye level ya Cisco ni ghali sana na hapo bado hujaweka ishu ya instability ya ntwk yetu maana mpk sasa hatuwezi kupata hata clear whatsapp calls ndo iwe cisco jabber/webex au skype??.

Anyway mi naomba nichangie kwa upande tofauti, haya majengo yatapata wapangaji wtakaochangia kujengwa kwa ofc zingine huko Dom...
 
Natamani nikapange pale mtaa wa Luthuli/ jumba jeupe.
 
Back
Top Bottom