Sio kila ombaomba anahitaji msaada- be careful

Pole kwa huyo mdada sijui kapotelea wapi maskini inatisha sana! Ni vizuri kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
 
nyakati za mwisho kutakukua na mambo mengi ya kutisha.sio salender tu na eneo la jangwani pia..
IMANI HUJA KWA KUSIKIA ,ILA SI KILA ASIKIAE HUAMINI....wapo wanaongoja yawakute wao ndo waamini.
 
JAmani huwa kuna ule msemo wa ' Bora uamini kuwa MUNGU yupo kisha ukifika kule ukute Hayupo kuliko kuamini hayupo kisha ukifika kule umkute Yupo' Duniani ktunaishi na vitu vya ajabu sana na ndio maana tunaambiwa tuwe na tabia ya kusali mara kwa mara. Na ndio maana kuna dua mbalimbali na sala pia so ni vema tukajihami kuliko kuendelea kuwa matomaso.

Humu duniani tunaishi na majitu ya ajabu, tunaishi na majini ambao ni kama binadamu, tunaishi na wachawi achilia mbali maagenti wa shetani.
Acheni nyie ubishi enyi wenzangu. Kwani ukiwa unasali kuomba ulinzi wa nafsi yako na wale uwapendao kila siku unapungukiwa na nini? Ulinzi si kwa mashetani na mauzauza tu kama haya no hata ajali za kawaida e.t.c.
 
Mkumbuke kusali kila asubuhi unapoamka umuombe Mungu akulinde siku nzima na vitu kama hivi na jioni umshukuru kwa yote aliyokufanyia siku nzima pamoja na kukulinda kwenye maovu na watu wabaya.

Kama ndo hivi this is very serious. na inatisha lol!!!!
 
Natumaini kwa uwezo wa Mungu mko wazima,

Jana kwenye misa ya asubuhi kanisani Azania Front mchungaji aliyekuwa anahubiri katufunulia siri nyingi sana za sheteni nakutupa shuhuda mbalimbali jinsi shetani anavyofanya kazi.
Moja ya ushuhuda wake ni kisa kilichotokea hivi karibuni hapa Dar es salaam . Napenda nikushirikishe ili uchukue hatua.

Pale salender Bridge ambapo anasimama trafiki akivuta magari, kuna mdada alikuwa ndani ya gari lake kwenye foleni akisubiri zamu yake ya kuruhusiwa na trafiki ifike apite. ndipo aliposogea kaka mmoja ombaomba, akasogea kwenye gari la yule dada na kuomba msaada.

Dada huyo kwa kumhurumia akamsaidia. Alipompa pesa tu mkono wa yule dada ukaota manyoya ya paka, akachanganyikiwa alipokuwa anaendelea kushangaa trafiki akawa anaruhusu magari ya upande wake yule dada akawa hawezi kuendesha gari, ndipo trafiki akamsogelea na kuuliza kulikoni?!

Yule dada akatoa mkono wake na kumuonyesha trafiki na kumsimulia kilichotokea na bahati nzuri yule kaka aliepewa pesa alikuwa mita chache pembeni anamuangalia yule dada. Ikabidi trafiki aende kumuuliza yule ombaomba kulikoni?

ndipo yule ombaomba akamwambia trafiki kuwa yule dada akimbusu tu atapona mkono utarudi kawaida.basi ikabidi yule dada atelemke aende kumbusu yule kaka, alivyombusu wakapotea wote palepale, gari ya yule dada ikabaki barabarani ndipo trafiki alipoita watu wakaanza kuisukuma ile gari na kuiweka pembeni.

kuna dada mwingine alikuwepo leo kanisani baada ya ibada akawa anatusimulia, yeye alikuwa nyuma ya gari ya huyo dada alishuhudia hilo tukio anasema ni tukio la kweli kabisa ameshuhudia kwa macho yake.

Hivyo jamani nawatahadharisha ndugu zangu mlio na moyo wa huruma msipende kutoa pesa zenu hovyo sababu umekutana na maskini.

Biblia inasema maskini wapo na wataendelea kuwepo, mwombe Mungu kwanza kila unapotaka kutoa sadaka yako. Mwenye Masikio na Asikie
 
Hii siyo 'breaking news' ndugu. Kaombe kwa Mwenyezi Mungu wako akusamehe, yaonekana hujui utendalo.
 
Ur killing that guy on ur avatar!

Hii habari ni kweli mimi nillipata habari hizi siku hiyo ilipotokea, Kimsingi ni kwamba hapa Tanzania kuna MILANGO SABA YA KWENDA KUZIMU.
Moja ya malango hayo lipo pale Salender umbali kidiogo kutoka kwenye daraja.
Biblia iliongelea haya malango MATAYO 16:18‘‘Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya kuzimu hayataweza kulishinda.

Lango hilo linaitwa MUSTALA
Mustala lina aina 12 za walinzi wa kimajini, Yafuatayo ni majina ya hayo majini na kazi zao walizopewa kuwatesa wanadamu.Kimsingi huyo dada alichukuliwa na moja ya kati haya majini yafuatayo

1) KHATAFAR.
Majukumu ya jini hili ni

Linasimamia laana za ukoo.

2)MUZAPHAR

Linakwamisha kila kitu ambacho kinaweza kumletea mtu maendeleo kama likitumwa kwako

3)LADWIFU

Linasimamia
Mateso
Ufukara
Kupotea pesa bila kujua zilikokwenda

4)JAJUNI
Linawafanya wanawake kula udongo

5)JAKHARI
Hutorosha mali pia huzuia wateja wasije kwenye biashara yako

6)KHASINANI
Hili jini hutupiwa wanaume na linasimia mambo yafuatrayo
Sigara
Pombe
Madawa ya kulevya
Fujo
Mateso mbalimbali

7)JUBELI
Husababisha utasa kwa wanawake!!!!!!!!!!DSM ?

8)SIFAFINO
Linasimamia ukahaba both Male and F

9)SUBIANI

(a)Husababisha ajali. Linapenda damu na ndiyo chakula chake likitumwa lazima litengeneze ajali ili lipate kula.
(b)Husababisha wanawake wasione siku zao, linaivyonza hiyo damu.
(c)Husababisha maumivu sana siku za mwamke zikifika
(d)Some time husababisha mwanmke atokwe na damu kupita kiasi

10)SUMEL
Hili jini huangamiza mimba, mimba kutoka mara kwa mara.hata watoto wanao kufa wakati wa kuzaliwa huwa linawachukuwa.

11)MUNSAR
Linasababisha ushoga na usagaji

12)WAIDADAT
Hutumwa kwa wanume tu.

Husabaisha kuvaa hereni na kusuka rasta kwa wanaume.

Habari hii nimeiandika ili mtambua kuwa vita yetu si juu ya damu na nyama bali ni ya kiroho. Na VITA ili ushinde yafaa uzijue mbinu za adui yako ambaye ketu ni shetani

Malango sita yaliyobakia nayaifadhi ila ukitaka kujua yako wapi na aina za majini yanayomiliki na madhara yake kwa binadamu NITAFUTE KWA MUDA WAKO.
 
Elimu Dunia....
 
Du kaaaazi kwelikweli!
 
Hii habari ni kweli mimi nillipata habari hizi siku hiyo ilipotokea, Kimsingi ni kwamba hapa Tanzania kuna MILANGO SABA YA KWENDA KUZIMU.
Moja ya malango hayo lipo pale Salender umbali kidiogo kutoka kwenye daraja.

Kwa maana hiyo huyo mama/dada pamoja na kutoa sadaka tunaweza kusema kwa uhakika alienda kuzimu? Kuzimu ni wapi hata kuwe na malango? Nani wanakwenda/wanapelekwa kuzimu?

Malango sita yaliyobakia nayaifadhi ila ukitaka kujua yako wapi na aina za majini yanayomiliki na madhara yake kwa binadamu NITAFUTE KWA MUDA WAKO.

Kwa nini usiyataje ili kama ni kweli watu 'wayaepuke'? Kuendelea kuyahifadhi, huoni kama unasaidia kazi ya wenye hayo malango?
 
JF,

Kitu kibaya huwezi kukipata kama hukiamini - sasa pepo haliwezi kukupata kama wewe huamini huwa lina exist. Na mchawi hawezi kukuchawia kama hakujui root yako sasa basi
Huyu dada aliyepotea alikuwa na issues na nguvu za giza na alikuwa wanted, ila alikuwa anakimbia nguvu za dola ( yaani jeshi la wachawi) ndiyo maana wakamkamata pale.

Kule kuzimu alikoenda hawezi rudi mpaka akalipe madai yote - hata sasa hivi ukienda kwa mchawi ukamuulizie aliko atakwambia yupo ila lazima kuna sababu ya kukamatwa kwake na unaweza pewa masharti ya dhamana.

Mfano kama alikuwa anatembea na mume wa mtu basi itabidi apigwe faini inayohusiana na kosa lake - na kama muda wa faini uki expire basi anakuwa msukule.

Wana ndugu wakiamua kwenda kufanya maombi kumrudisha - lazima wote wawe na imani kubwa kwani bila hivyo watakuwa wanajisumbua tu - lazima wazishinde nguvu za kiza.

Na ukichanja chale au chochote kwenye mwili wako kukinga na uchawi, biashara, kazi nk basi jua kwamba umejiwekea alama - yaani kokote duniani utakakokwenda wachawi wanakuona na kinga yako - so they will try to hack system yako - wakikuta ipo weak basi wewe na mganga wako mmekwisha , so be careful.

For me i think " Mungu atosha".
 
Hii habari ni kweli mimi nillipata habari hizi siku hiyo ilipotokea, Kimsingi ni kwamba hapa Tanzania kuna MILANGO SABA YA KWENDA KUZIMU.
Moja ya malango hayo lipo pale Salender umbali kidiogo kutoka kwenye daraja.
Biblia iliongelea haya malango MATAYO 16:18‘'Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya kuzimu hayataweza kulishinda.

Lango hilo linaitwa MUSTALA
Mustala lina aina 12 za walinzi wa kimajini, Yafuatayo ni majina ya hayo majini na kazi zao walizopewa kuwatesa wanadamu.Kimsingi huyo dada alichukuliwa na moja ya kati haya majini yafuatayo

.

Kaka nimekupata - ila katika Mathayo anamalizia kusema " Hata malango ya kuzimu hayataweza kulishinda" means what?

a) Malango ya kuzimu (dar exit doors) kweli yapo
b) Ukiwa na imani - hayo malango ya kuzimu hayana nguvu yoyote

Kuna jamaa hapa offisini nimempa hii story - kaogopa kasema eti anataka kujua exit zote za kuzimu ili asiwe anapita.... ha ha ha ha

kina Tomaso tupo wengi mbona.. (Imani haba)
 
kama ni kweli mbona tumekwisha??bt all in all ni kumwamini Mungu tu!na wale wenye shida kweli hapa wamekwisha coz kila m2 atakuwa mwoga kutoa msaada!Mungu atusaidie
 
Back
Top Bottom