Sio kila ombaomba anahitaji msaada- be careful

Malango saba ya kuzimu yalifungwa rasmi kwa moto mwezi uliopita, mashimoni walikuwepo maelfu ya watu walioenda huko kutafuta msaada wa kichawi kwa mungu wa dunia.

Maelfu ya majini ya kuzimu yalikuwa duniani yakifanya uchawi na yameshindwa kurudi baada ya malango yao kufungwa kwa moto.

Kisa cha huyu dada ni moja ya matokeo yasiyo ya kawaida ambayo yatatikisa Tanzania kuanzia sasa, huyu dada uwezekano wa kurudishwa upo.

Kwa sasa yapo magari mazuri sana kutoka kuzimu yanatembea barabarani, yakiendeshwa na majini, usikubali kutoa lift au kupewa lift kabisa kwa mtu usiyemjua.

Malango saba ya kuzimu yaliyofungwa ni haya:

1. Lango la kuzimu la salender bridge - Dar es Salaam, lipo kati ya daraja la salender na bomba la maji machafu, karibu na hospitali ya Ocean road. Mlinzi wa lango hili alikuwa akiitwa Mustara akisaidiwa na majini 12.

2. Lango la kuzimu la Tabora mjini. Lipo karibu na soko kuu la Tabora mjini. Mlinzi wa lango hili alikuwa akiitwa Swahirani akisaidiwa na majini 12.

3.Lango la kuzimu la Tanga, Pangani. Mlinzi wa lango hili aliitwa Rajuni akisaidiwa na majini 12.

4. Lango la kuzimu la Bagamoyo, lipo baharini. Mlinzi wa lango hili aliitwa Zazuni, akisaidiwa na majini 12.

5. Lango la kuzimu la Mwanza. Mlinzi wake aliitwa Gharik akisaidiwa na majini 12

6.Lango la kuzimu la Kigoma, lipo Kibirizi. Mlinzi wake aliitwa Jarafu akisaidiwa na majini 12.

7. Lango la kuzimu la Iringa, Njombe, lipo eneo la Igosi. Mlinzi wake aliitwa Twafifin, akisaidiwa na majini 12

Malango yote haya yamefungwa kabisa, wale wote waliokuwa ndani ya mashimo haya ya kuzimu wakitafuta uchawi wataendelea kubakia huko.

Mizimu iliyokuwa duniani yakakuta malango yamefungwa wameshindwa kuingia, na wana ghadhabu kubwa, lakini vyovyote iwavyo, moto wa Mungu unawawakia.
Mwanza kubwa Majimoto, ni sehemu gani?
 
Mbona Mwanza hujasema lango liko sehemu gani?

So wale waliofungiwa wakitafuta uchawi hawana ndugu? - M<bona hatujasikia watu waliopotelewa na ndugu zao?
 
Walio karibu na Azania Front wamtatute mchungaji wa pale atuhabarishe yalio jiri kwenye ibada ya asubui siku hiyo ya tukio.Ama
 
wanaosali ibada ya asubui najua wengine wapo humu basi mtuhabarishe kama ni kweli huo ushuhuda ulitolewa kanisani.
 
Good! Asante .....Songa mbele kijana, walifikiria mimi ni mganga baada ya kuweka mambo ya malango ya kuzima

Labda niulize swali.

Hizi elimu zenu zinafuata natural science au??

Maana nimekuuliza source, naona hunijibu au swali gumu sana??

Halafu umeleta habari za mashimo, fine enough, Kama mashimo yamefukiwa huyu aliyechukuliwa alipitia wapi? Maana Majimoto hapo nikimnukuu anasema walioingia wameingia waliotaka kurudi wameshindwa, halafu habari zingine tena zasema aliyepotea ameonekana jana sijui juzi..Now which is which mazee?? Malango yapo open YES or NO??

Be straight au msituchanginyi na hypothesis zenu zisizoeleweka.
 
Nimechanganyikiwa tayari naomba tupate source ya Ufahamu wenu na pia elezenei mtua atayatambuajae hayo malango ili asikute ameingia!

Wengine wamekuja na hypothesis kuwa kuna watu wa mazingaombwe(i don't know, maybe wachawi au majini au vimbwelehi??) wanaotumia ulemavu kuwafilisi wasamaria wema wanaowasaidia..Another hypothesis to our disposal..

Kaaz kwelikweli.
 
Baada ya mchungaji kumaliza misa,kwakuwa mimi ni mtu wa karibu sana na mchungaji alinipigia simu na kuanza kunihadithia kuwa,makusanyo ya sadaka kanisani hayaridhishi kwa sasa,na tatizo inaonyesha kuwa waumini wamekuwa wakitoa pesa sana kwa ombaomba kuliko kanisani,hivyo aliamua kubuni kisa kitakacho wakomesha tabia yao hiyo na kuendelea kutoa sadaka kama kawaida.Na kuhusu huyo dada aliyetoa ushahidi,mchungaji alinigusia kuwa huyo ni mtunza hazina msaidizi wa kanisa,hivyo hiyo ilikuwa ni njia tuu ya mchungaji kutengenezea ndama wake malisho!!Yapaswa ikumbukwe pia utaulizwa nilikuja pindi nlipokuwa na kiu,ukaninyima maji!!Mwisho yatupasa tujifunze kusaidiana hasa ktk nyakati hizi ngumu!!

Jamani mbavu zangu!!!
 
Hadithi za NYOKA MTU wa Buguruni miaka ile ya 80's, naona MAFISADI wamekuja na hadithi hii ili tusahau habari za RICHMOND na madudu ya BUNGE letu
 
Dr Mbura, haya malango ni sharti yawe saba tu? Manake kuna sehemu nyingi zenye vioja na ajali za ajabu ajabu hazijatajwa. Kama pale daraja la Mto Kikafu barabara ya Arusha- Moshi. Pia Same, Uchira nk
 
Ni saba tu,Ila maeneo mengine inategemea na mkuu la anga la eneo
 
Labda niulize swali.

Hizi elimu zenu zinafuata natural science au??

Maana nimekuuliza source, naona hunijibu au swali gumu sana??

Halafu umeleta habari za mashimo, fine enough, Kama mashimo yamefukiwa huyu aliyechukuliwa alipitia wapi? Maana Majimoto hapo nikimnukuu anasema walioingia wameingia waliotaka kurudi wameshindwa, halafu habari zingine tena zasema aliyepotea ameonekana jana sijui juzi..Now which is which mazee?? Malango yapo open YES or NO??

Be straight au msituchanginyi na hypothesis zenu zisizoeleweka.

Malango yamefungwa, majini mengi yalokuwa nje ya kuzimu yamezagaa mitaani ndiyo hayo yanayowasumbuwa watu, Kuhusu elimu yetu hii imejikita kwenye ulimwengu wa roho Kama ilivyoandikwa katika kitabu caha 1 Wakirinto 2:14 to 16
 
jamani shetani yupo kazini tuepuke kutoa pesa kwa omba omba kwani wengine ni mawakala wa shetani na wengine ni chuma ulete mm nilishaachaga zamani kwani niliwahi msaidia mmjoja nikamkuta anatanua na matusi kibao tangu siku hiyo mi no
 
Malango yamefungwa, majini mengi yalokuwa nje ya kuzimu yamezagaa mitaani ndiyo hayo yanayowasumbuwa watu, Kuhusu elimu yetu hii imejikita kwenye ulimwengu wa roho Kama ilivyoandikwa katika kitabu caha 1 Wakirinto 2:14 to 16

Nani kayafunga hayo malango na kutusababishia maafa?

Malango hayo ni kitu cha kufikirika au kitu physical?

Hiyo elimu yenu inapatikania wapi? Au ndo kivile manabii?
 
Back
Top Bottom