Sintofahamu kwa wabunge wa chadema

Wewe hujui hata walitoka kwa sababu gani!Uliza sababu kisha ujue cha kuongea hapa!
 
Mimi namuunga mkono, mtoa mada, ameuliza swali zuri sana, ila majibu aliyoyapata sio ya kistarabu hata kidogo, kutakana na majibu ya wachangiaji walionitangulia hapo juu, nimejifunza ama kulielewa na kugundua jambo, kwamba mjinga mwelimishe, mpumbavu mwache na upumbavu wake, asiyejua mjulishe, na asiyeelewa mweleweshe. Nami natarajia kesho kwa umakini na makisio makubwa kwamba wabunge wote wa chadema watatoka nnje na kama sivyo watakuwa hawana tofauti na john shibuda na jose selasini wa huko rombo, maisha na mfumuko wa bei, madaktari kugoma n.k, haviwezi kuwaruhusu wabunge makini kukaa kimya kusikiliza upupu wa kikwete. Naunga mkono mtoa hoja 50 kwa 100, na baadae kadri tunavyoendelea kuijadili nitaiunga mkono 100 kwa 200.
 
Wana jamvi nimekuwa nikijiuliza swali bila kupata jibu....kesho Mh jakaya mrisho kikwete atahutubia bunge...swali langu, je, wabunge wa chadema watatoka bungeni kama kawaida yao au itakuwaje? nawasilisha!

mwanaasha mkubwa we!!!
 
Tatizo lako sio kutojua,Tatizo lako ni kwa nini hutaki kujulishwa.Wewe na mwenzio aliyepata Div. IV peke yake,shule nzima(Tena ndiye aliyeiangusha isishike nafasi nzuri kitaifa-nazungumzia Feza Girls) kama sio marafiki,basi mpambe wake au mfanyakazi wake maana huna hata hadhi ya kuwa mchumba ake.Kama unafuatilia Bunge linaloendelea sasa,MAHUSUSI SIKU YA LEO TU!!!Utagundua kwamba Kesho Chadema Sio kwamba hawatatoka TU Bali ndio Watakao Mpokea Wakati anaingia Mjengoni.Werema Mwenyewe na Ubishi wake wote Leo ndio alikuwa Muungaji mkuu mkono kwa Kina Tundu Lissu.Chadema love JK and yet JK loves Chadema.Endele kutojua maana Hutakaa ujue kilaza wewe!!!!
 
Network searching.................................................................................................................................................................................
..............................................................................................................................................................................................................keep on waiting itakamata tu................................................................................................................................................................
........................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................... :juggle:
 
Wana jamvi nimekuwa nikijiuliza swali bila kupata jibu....kesho Mh jakaya mrisho kikwete atahutubia bunge...swali langu, je, wabunge wa chadema watatoka bungeni kama kawaida yao au itakuwaje? nawasilisha!

Unawashwa na nini?
 
Mimi namuunga mkono, mtoa mada, ameuliza swali zuri sana, ila majibu aliyoyapata sio ya kistarabu hata kidogo, kutakana na majibu ya wachangiaji walionitangulia hapo juu, nimejifunza ama kulielewa na kugundua jambo, kwamba mjinga mwelimishe, mpumbavu mwache na upumbavu wake, asiyejua mjulishe, na asiyeelewa mweleweshe. Nami natarajia kesho kwa umakini na makisio makubwa kwamba wabunge wote wa chadema watatoka nnje na kama sivyo watakuwa hawana tofauti na john shibuda na jose selasini wa huko rombo, maisha na mfumuko wa bei, madaktari kugoma n.k, haviwezi kuwaruhusu wabunge makini kukaa kimya kusikiliza upupu wa kikwete. Naunga mkono mtoa hoja 50 kwa 100, na baadae kadri tunavyoendelea kuijadili nitaiunga mkono 100 kwa 200.

Unaonekan kusumbuliwa na mchecheto na umbeya kuliko mgando wa busara. Ungekuwa na akili ungekumbuka kuwa wabunge wa Chadema walitoka wakati wa hotuba ya Kikwete wakati ule kuonyesha kuwa hawakuridhika na mchezo uliofanywa na tume ya uchaguzi katika kura za urais. Hawakusema kwamba hawatambui uwepo wa rais katika nchi, jambo ambalo hata Kikwete mwenyewe alishindwa kuligundua akaishia kutoa mistari ya taarabu.
Kwa akili zako wewe na mleta mada mnaweza kutaja sababu ya msingi ya wabunge wa Chadema kutotaka kuhudhuria hotuba Kikwete atakayoitoa?
Halafu je, unafahamu hotuba yake itazungumzia nini?
 
President Kikwete played down the incident, saying that the Chadema legislators would be back since they have no other option than co-operating with the ruling CCM government. "Those who walked out will definitely come back. ........

He sent the House into laughter when he said that he believed that the walkout was a mere cosmetic gesture. "I believe our friends were closely following the speech on television. They are just joking," he said - Daily news, 18th Nov. 2010.

Mimi namuunga mkono, mtoa mada, ameuliza swali zuri sana, ila majibu aliyoyapata sio ya kistarabu hata kidogo, kutakana na majibu ya wachangiaji walionitangulia hapo juu, nimejifunza ama kulielewa na kugundua jambo, kwamba mjinga mwelimishe, mpumbavu mwache na upumbavu wake, asiyejua mjulishe, na asiyeelewa mweleweshe. Nami natarajia kesho kwa umakini na makisio makubwa kwamba wabunge wote wa chadema watatoka nnje na kama sivyo watakuwa hawana tofauti na john shibuda na jose selasini wa huko rombo, maisha na mfumuko wa bei, madaktari kugoma n.k, haviwezi kuwaruhusu wabunge makini kukaa kimya kusikiliza upupu wa kikwete. Naunga mkono mtoa hoja 50 kwa 100, na baadae kadri tunavyoendelea kuijadili nitaiunga mkono 100 kwa 200.

Ningekutukana! Ila wacha nikueleweshe kwa nini wabunge wetu wenye uwezo mkubwa wa kuchambua mambo huwa hawakurupuki na maanisha wabunge wa CHADEMA! Kwanza 100% ya mapendekezo ya mswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba yametolewa na CHADEMA sasa ni ushindi tosha kwa CHADEMA. Kwa taarifa yako wanaopaswa kutoka bungeni ni CCM ambao kwa sasa wamegeuka wapinzani wa serikali ambayo inatekeleza maagizo ya CHADEMA!
 
Ingekuwa ni mm nimekutuma uje kueneza siasa za kijinga za ccm ningekupumzisha kama B.nyoni mana umepauka kisiasa na kufilisika kisera.maghati unadhani huwa wanatoka kwa kupungukiwa sera kama ccm au wanatetea maslahi ya umma pole tuna kazi kuelimisha watu kama ww mmhhh kama ni fee inabidi ulipe kwa dola sio shilingi mana haina thamani
 
Ingekuwa ni mm nimekutuma uje kueneza siasa za kijinga za ccm ningekupumzisha kama B.nyoni mana umepauka kisiasa na kufilisika kisera.maghati unadhani huwa wanatoka kwa kupungukiwa sera kama ccm au wanatetea maslahi ya umma pole tuna kazi kuelimisha watu kama ww mmhhh kama ni fee inabidi ulipe kwa dola sio shilingi mana haina thaman
 
Back
Top Bottom