Sina upendo kabisa kwa mama yangu mzazi

Kweli Freema Agyeman,

Ila sasa huyo mama keshafanya hayo yote....Shida yangu ni kwamba, kwa nini hatutaki kukubali kwamba lazima kuna jambo ambalo lilimfanya afikie hatua hiyo ambayo ki ukweli si ya kawaida. Na je, tukilijua hilo jambo haliwezi kutupa mtamzamo tofauti na huu wa sasa??

Babu DC!!

Jambo ama sio jambo huyo mama alikuwa selfish.
Kaunga, skia hii stori ya last week ya houseboy wa shosti wangu. Kijana alifanya vituko baada ya kuletwa from kibaha to dsm. Sikukuu akaalikwa aende kumtembelea mamake anakaa tegeta. Akarudi next day na kusema walilala njaa. Shosti ana jumba la ghorofa na anakaa alone, hana mlinzi so hboy anapaswa awepo mchana na usiku. Alianza visa vya kupiga simu wakati boss wake yuko safari akiomba ruhusa, mwisho boss aliporudi kuruhusiwa akarudi kesho yake. To cut the story, aliporudi alitimuliwa. Akaenda kwa mamake. Jioni shosti anarudi same day anamkuta mamake na yeye getini wanaua mbu. Mama alimlilia machozi amsamehe kijana. Na kumuambia mume anaeishi nae hataki kuwasikia wanae. Anamuambia shosti wangu 'hapa leo nikirudi nitapigwa kama mbwa manake nimetoroka. Ila msamehe mwanangu manake staki arudi kijijini, walau hapa naweza kum-monitor. Akikusumbua niite nitakuja kumcharaza hapa, na najua nikirudi nyumbani na mie nitapigwa'

Unaona sacrifice of a desperate parent? Kaunga, biblia inasema ziko njia mbili mbele yake na the choice is yours. Hata kama unasukumwa kungonoka, una standards zako ndo maana akikufuata Asprin unajiambia nafsi yako hapana, Eiyer ananitosha. Kama ni malogo ama mapepo, huyo mama ameshapata tiba sahihi ya kiroho na kiakili? Na angekuwa na stori ya kueleweka angeshaioa na mwanae angeielewa. Naamini kuna watu wanapitia stuff lakini na uhusika binafsi pia umo!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndugu yangu Muombe sana MUNGU. I am telling you huwezijua nini kilijiri kiasi cha kumfanya mama akabehave alivyobehave please jifunze kusamehe. Wazazi wetu ni mungu wetu wa hapa duniani.


Hii nidyo imekuwa point yangu ingawa wadau wanaikataa kwa nguvu zote.....!!

Hivi kweli, mzazi wa kike anaweza kukengeuka kirahisi na kuwatelekeza watoto wake??? Ukizingatia haihitaji DNA test kujiridhisha kuwa kweli watoto ni wake!!

Naamini hapo si bure...yule mama atakuwa alikumbwa na jamabo kubwa ambalo huyu kijana wake anatakiwa ampe nafasi ili siku moja amegewe!

Babu DC!!
 
pagumu .. ila mwachie mungu! sababu hata ukimchukia bado ni mzazi mpe heshima yake tu!
 
pole mkuu ila kweli inauma sana tena sana ila kikubwa msamehe huyo ni mama yako muachie Mungu yote ila tahadhari hakikisha hakai muda mrefu hapo nyumbani
 
Back
Top Bottom