I guees mke wa bro havutiwi kuishi kwake, yani kila unachofanya it's like anachunguza, and nahic anafurahi nicpofanikiwa kwa chochote, and anatuona tunashida sana my be tunamtegemea mume wake, and huwa wana ni discuss akiwa na ndugu zake especially Dada na wadogo zake wa kike na mamake, coz wao wote wamefanikiwa na wanakaz bt kwetu only ma bro ndo amefanikiwa ndugu zangu wa2 wamemaliza degree wapo home to jobless, mm majanga siwez kuendelea na chuo cz vigezo walivyoweka vya GPA ya 3.5 mm sina, yani naona maisha magumuuu
Mmmmh wewe si girl jaman 23yrs and still virginityWa kiume nina 25 yrs
Everything here in Jf is all fake. Usiamini chochote.Mmmmh wewe si girl jaman 23yrs and still virginity
Hatari sana,na ndo mana wanasema ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu hivihivi utaumbuka kama huyuu!Everything here in Jf is all fake. Usiamini chochote.
Mamii,sisemi uongo au utani,kama ni 3.5 million tu mimi nipo tayari kukusaidia ukasome,ingawa sikujui,ila unihakikishie utanilipa kwa awamu ukianza kazi.I guees mke wa bro havutiwi kuishi kwake, yani kila unachofanya it's like anachunguza, and nahic anafurahi nicpofanikiwa kwa chochote, and anatuona tunashida sana my be tunamtegemea mume wake, and huwa wana ni discuss akiwa na ndugu zake especially Dada na wadogo zake wa kike na mamake, coz wao wote wamefanikiwa na wanakaz bt kwetu only ma bro ndo amefanikiwa ndugu zangu wa2 wamemaliza degree wapo home to jobless, mm majanga siwez kuendelea na chuo cz vigezo walivyoweka vya GPA ya 3.5 mm sina, yani naona maisha magumuuu
Sasa wewe Angelaone,huo ushauri kwa nini usianze nao wewe humu jukwaani?ili uishi kwa amani humu jukwaani nipe papuchi na mimi nitakupa amani au vipi?Hapo kazi ipo, kama we ni me basi mtongoze shemeji yako awe anakupa burudani ukifanya hivyo utaona raha kuishi happ
Hakuna kitu nachukia kama kukaa kwa mtu, yani huwa nahisi kama muda wote napumulia kwenye tundu la sindano... nahisi hata pumzi inakata.Home sweet home, hata kama nikilala na njaa poa tu mradi nna amani tele...Kwanini uwe mtumwa aisee?
Maliza kozi rudi alipojenga babaako mkuu!
Kuna sehemu nimeona unasema wewe ni bikra.Wa kiume nina 25 yrs
Mamii,sisemi uongo au utani,kama ni 3.5 million tu mimi nipo tayari kukusaidia ukasome,ingawa sikujui,ila unihakikishie utanilipa kwa awamu ukianza kazi.
nilijua wa kike nikuambie njoo in box ...samahani sana kakaWa kiume nina 25 yrs
Teh teh teh,ni shemale!nilijua wa kike nikuambie njoo in box ...samahani sana kaka