Guantanamoh
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,311
- 4,749
Fala kweli🤣🤣🤣🤣🤣. NA sisi kuna muda tunapumzisha viunoUSIOE
kumbe hawafanyi kila siku..
Fala kweli🤣🤣🤣🤣🤣. NA sisi kuna muda tunapumzisha viunoUSIOE
kumbe hawafanyi kila siku..
NakaziaAnamsubiri anaempenda, anahisi hapo katikati atakua kajirekebisha so ataolewa nae. Wewe ni kama back up, huyo jamaa akizingua mpaka 2024 basi ww kilaza utamuoa.
Kwahiyo ni kusubiri tu, ila 2024, ni uhakika coz huyo jamaa yake atakua hana mpango nae baada ya kupiga atakavyo.
DoneMambo nilikutumia pm unaweza kuangalia unijibu
Asante sana mkuu acha nimkaushie uzuri matokeo ya sensa ata yy anayajuaHuyo ni mzinguaji au huenda anakuchora tu maan angekuchana kabisa kwamb lengo la kusogeza mbele mipango ya harusi ni nin ingekuwa balida so mpoteze wanawake wako wengi kiongozi don't waste your time just look for the another one ...God bless you for your journey
Hebu weka namba yake hapa nimfokee.Wakuu habarini napoleni pia na mahangaiko ya kujitafutia ridhiki.
Naombeni ushauri maana simuelewi huyu mchumba wangu.
Nilikutana na huyu binti miez 4 iliyopita na wakati nakutana nae nilimpenda sana basi nikazungumza nae tukakubaliana kwa sharti moja tukapime afya zetu kwanza.
Tukapima na wote tupo safi, baada ya muda nilimhitaji tukutane kimwili aliniambia kufanya hvyo kabla ya ndoa ni dhambi kubwa hvyo kama nampenda nimuoe maana yeye yupo tayari nimuoe hata saa hizi kuliko kuzini.
Basi kwa vile nampenda sikua na namna ya kukataa matakwa yake, nilivyomuambia nipo tayari kufata taratibu za kulipa mahari yeye akaja niambia hayupo tayari kuolewa sahz hvyo kama nampenda basi nimsubiri adi mwaka keshokutwa 2024ndipo nimuoe.
Kumuuliza kwann ananiambia hvyo wakati alishaniambia nimuoe hata sasa anasema yy kaamua tu aolewe 2024 ana mipango yake anataka aitimize kwanza, kumuuliza ni mipango gani hyo hasemi anasema kaamua tu, je ananipenda kweli huyo?
Maana SIMUELEWI hanichuni wala nn nikikwama ananisaidia na ushauri mzuri ananipa shida hapo Nahitaj kula tunda hataki ad nimuoe na process ya kumuoa yenyewe anaipigapiga kalenda... Nisaidien mawazo wakuu
Hahaha kwamb wapo wengi ata kila mmja akiwa na wa kwake Wengine watabakiAsante sana mkuu acha nimkaushie uzuri matokeo ya sensa ata yy anayajua
saikolojia ya hawa viumbe hatuwezi ielewa mkuu, hapa tunashauriana kama njia yakupata mawazo mapya kulingana na experience za wadau mbalimbali, kuhusu maamuzi ni jukumu langu mwenyeweHebu weka namba yake hapa nimfokee.
Haiwezekani akuone mtoto kiasi hicho hadi kukuchuna anakuhurumia. Yaani kakuhurumia usioe, bado hata kukuchuna hataki.
Nipatie namba yake, nimekaa pale....
Ni hilo gizaHa ha ha jina lako tu mi hoi..nini asili yake?au ni hilo giza kwa avatar