Simuelewi huyu mchumba wangu

gx_nation

Member
Dec 3, 2022
32
55
Wakuu habarini napoleni pia na mahangaiko ya kujitafutia ridhiki.

Naombeni ushauri maana simuelewi huyu mchumba wangu.

Nilikutana na huyu binti miez 4 iliyopita na wakati nakutana nae nilimpenda sana basi nikazungumza nae tukakubaliana kwa sharti moja tukapime afya zetu kwanza.

Tukapima na wote tupo safi, baada ya muda nilimhitaji tukutane kimwili aliniambia kufanya hvyo kabla ya ndoa ni dhambi kubwa hvyo kama nampenda nimuoe maana yeye yupo tayari nimuoe hata saa hizi kuliko kuzini.

Basi kwa vile nampenda sikua na namna ya kukataa matakwa yake, nilivyomuambia nipo tayari kufata taratibu za kulipa mahari yeye akaja niambia hayupo tayari kuolewa sahz hvyo kama nampenda basi nimsubiri adi mwaka keshokutwa 2024ndipo nimuoe.

Kumuuliza kwann ananiambia hvyo wakati alishaniambia nimuoe hata sasa anasema yy kaamua tu aolewe 2024 ana mipango yake anataka aitimize kwanza, kumuuliza ni mipango gani hyo hasemi anasema kaamua tu, je ananipenda kweli huyo?

Maana SIMUELEWI hanichuni wala nn nikikwama ananisaidia na ushauri mzuri ananipa shida hapo Nahitaj kula tunda hataki ad nimuoe na process ya kumuoa yenyewe anaipigapiga kalenda... Nisaidien mawazo wakuu
 
Msimamo wa kutoa akiolewa sio mbaya, shida iko kwenye kubadili kalenda na maneno aliyoyatoa kuwa unaweza kumuoa hata sasa hivi.

Njia nzuri hebu mnyamazie usimtafute hata kwa simu na akikupigia usipokee uone reaction yake
 
Wakuu habarini napoleni pia na mahangaiko ya kujitafutia ridhiki.
Naombeni ushauri maana simuelewi huyu mchumba wangu.
Nilikutana na huyu binti miez 4 iliyopita na wakati nakutana nae nilimpenda sana basi nikazungumza nae tukakubaliana kwa sharti moja tukapime afya zetu kwanza. Tukapima na wote tupo safi,baada ya muda nilimhitaji tukutane kimwili aliniambia kufanya hvyo kabla ya ndoa ni dhambi kubwa hvyo kama nampenda nimuoe maana yy yupo tayari nimuoe hata saiz kuliko kuzini.. Basi kwa vile nampenda sikua na namna ya kukataa matakwa yake, nilivyomuambia nipo tayari kufata taratibu za kulipa mahari yeye akaja niambia hayupo tayari kuolewa sahz hvyo kama nampenda basi nimsubiri adi mwaka keshokutwa 2024ndipo nimuoe.

Kumuuliza kwann ananiambia hvyo wakati alishaniambia nimuoe hata sasa anasema yy kaamua tu aolewe 2024 ana mipango yake anataka aitimize kwanza, kumuuliza ni mipango gani hyo hasemi anasema kaamua tu, je ananipenda kweli huyo? Maana SIMUELEWI hanichuni wala nn nikikwama ananisaidia na ushauri mzuri ananipa shida hapo Nahitaj kula tunda hataki ad nimuoe na process ya kumuoa yenyewe anaipigapiga kalenda... Nisaidien mawazo wakuu
Anakupima kama una akili nyingi ama huna 😂
 
Endelea na mambo yako,mpotezee huyo,kukataa zinaa kabla ya ndoa nasimama nae ila kukupiga kalenda ghafla bila kukwambia ndoto yake ni nini hasa,ina maanisha hakuhitaji tena ila anashindwa tu kukwambia direct,jiongeze,

Kama mmeanza hivyo na hamjaoana,je mkioana itakuaje? Sioni dalili nzuri ya maelewano kwenye future ya maisha yenu huko mbeleni,

Live the life u love,love the life u live,life is very short.

Good luck.
 
Huyo alikuwa anakunyima uchi. Hakuwa na mpango wowote wa kuolewa.

Ndiyo kusema kuwa, usijihangaishe. Nenda naye taratibu, lazima alambwe huyo.

Nikuchekeshe?
Wa kujidai hivyo, unaweza ukapewa ukasema hili ni pagale au pango? Inasoma mileage za kutosha.
Mkuu huyu binti ni mlokole na matakwa yake nimuoe hata sahz ili tusizini nimekubaliana nayo sasa najiuliza kwann anipige kalenda wakat kipato changu kinaniruhusu kuoa hata sasa?kama ni mipango ni vyema akaiweka waz ili nijue namsubir kwa ajili ya nini lakin hasemi zaid yakusema ameamua tu, haombi vitu ila anahakikisha ata nikikwama ananisaidia shida hapo tu SIMUELEWI nataka tunda yy hatak ad nimuoe na kumuoa kwenyewe ananipiga kalenda wajuzi wa mambo mnamuelewaje hapo?
 

kwanini unataka kumuoa?
isije tokea baada ya kumuoa ukamuacha, maana shda yako hasa inaonekana ni tunda ukishalipata..! ...huo ni utani tu ngoja waje wataalam
Mkuu yeye ana miaja 24 namm nina 28,kama starehe nishafanya sana sasa hakuna ladha ambayo siijui, ninachohitaji nioe niangalie maisha k ama upuuzi nishafanya sana
 
Huyo alikuwa anakunyima uchi. Hakuwa na mpango wowote wa kuolewa.

Ndiyo kusema kuwa, usijihangaishe. Nenda naye taratibu, lazima alambwe huyo.

Nikuchekeshe?
Wa kujidai hivyo, unaweza ukapewa ukasema hili ni pagale au pango? Inasoma mileage za kutosha.
kweli! huenda amempiga calenda ili hilo pango alifanyie marekebisho kwa muda huo
au ndo kumkataa hvo!
 
Back
Top Bottom