Simuelewi huyu mchumba wangu

Nakupa ukweli mchungu. Huyo mpenzi wako ana mpenzi wake ambae yeye anampenda kuliko anavyokupenda wewe.

Anavyokunyima penzi huku akikupa visingizio kua utamfaidi mkiwa ktk ndoa, kumbuka yeye ndio anaipeleka kwa huyo mpenzi wake (ambae sio wewe) kila wakati jamaa likiwa na nyege na anajitafunia awezavyo. Maana yake wewe ni mshika pembe tu!!!

Anavyokupiga kalenda usimuoe mpaka 2024 tambua kua hapo hapo anamlilia yule mpenzi wake anaempenda apeleke barua haraka kwao huku akimtisha kua kuna mtu anamsumbua na yupo tayari kumuoa (ambae ni wewe) lakini yeye hampendi. Cha kushangaza huyo jamaa anaependwa kuliko wewe wala hana time na huyo mpenzi wako na hafikirii kumuoa.

My Take: Kama una nia ya dhati kabisa, mtafute huyo mpenzi wake mmalizane na aache kabisa kumsumbua huyo mpenzi wako. Ila tambua hata ukimuoa huyo jamaa atakua anakumegea tu kisela maana ndipo moyo wa huyo binti ulipolala.
 
Huyo ni mzinguaji au huenda anakuchora tu maan angekuchana kabisa kwamb lengo la kusogeza mbele mipango ya harusi ni nin ingekuwa balida so mpoteze wanawake wako wengi kiongozi don't waste your time just look for the another one ...God bless you for your journey
Asante sana mkuu acha nimkaushie uzuri matokeo ya sensa ata yy anayajua
 
Wanawake Wana mbwembwe watakapo olewa, eti unakuta mwingine anazuga apendi pesa ukimpa anakataa shenzi type kumbe ana shida kuliko hata serikali, wewe achukui hela yako anapiga mzinga kwa mwingine.
 
Wakuu habarini napoleni pia na mahangaiko ya kujitafutia ridhiki.

Naombeni ushauri maana simuelewi huyu mchumba wangu.

Nilikutana na huyu binti miez 4 iliyopita na wakati nakutana nae nilimpenda sana basi nikazungumza nae tukakubaliana kwa sharti moja tukapime afya zetu kwanza.

Tukapima na wote tupo safi, baada ya muda nilimhitaji tukutane kimwili aliniambia kufanya hvyo kabla ya ndoa ni dhambi kubwa hvyo kama nampenda nimuoe maana yeye yupo tayari nimuoe hata saa hizi kuliko kuzini.

Basi kwa vile nampenda sikua na namna ya kukataa matakwa yake, nilivyomuambia nipo tayari kufata taratibu za kulipa mahari yeye akaja niambia hayupo tayari kuolewa sahz hvyo kama nampenda basi nimsubiri adi mwaka keshokutwa 2024ndipo nimuoe.

Kumuuliza kwann ananiambia hvyo wakati alishaniambia nimuoe hata sasa anasema yy kaamua tu aolewe 2024 ana mipango yake anataka aitimize kwanza, kumuuliza ni mipango gani hyo hasemi anasema kaamua tu, je ananipenda kweli huyo?

Maana SIMUELEWI hanichuni wala nn nikikwama ananisaidia na ushauri mzuri ananipa shida hapo Nahitaj kula tunda hataki ad nimuoe na process ya kumuoa yenyewe anaipigapiga kalenda... Nisaidien mawazo wakuu
Hebu weka namba yake hapa nimfokee.

Haiwezekani akuone mtoto kiasi hicho hadi kukuchuna anakuhurumia. Yaani kakuhurumia usioe, bado hata kukuchuna hataki.

Nipatie namba yake, nimekaa pale....
 
Hebu weka namba yake hapa nimfokee.

Haiwezekani akuone mtoto kiasi hicho hadi kukuchuna anakuhurumia. Yaani kakuhurumia usioe, bado hata kukuchuna hataki.

Nipatie namba yake, nimekaa pale....
saikolojia ya hawa viumbe hatuwezi ielewa mkuu, hapa tunashauriana kama njia yakupata mawazo mapya kulingana na experience za wadau mbalimbali, kuhusu maamuzi ni jukumu langu mwenyewe
 
Back
Top Bottom