Simu za Nokia kurudi tena sokoni muda si mrefu

Hii android yao wamenikosa. Nitaendelea kuwa mteja wa Windows phone kama microsoft ataendelea na game.
 
mkuu hata mm ningependa iwe hivyo ila angalia microsoft wanavyotolewa jasho na windows yao watu siku hizi ku accept new thing wakati wamezoea android na os ya apple ni ngumu kweli kweli....

Kuna wale hardcore fans.

Binafsi napenda kitu kiwe unique.

Mbona waliweza na meego, kwann washindwe sasa?
 
mkuu hata mm ningependa iwe hivyo ila angalia microsoft wanavyotolewa jasho na windows yao watu siku hizi ku accept new thing wakati wamezoea android na os ya apple ni ngumu kweli kweli....
mpaka sasa windows 10 imehit, soon itakuwa na device nyingi kuliko IOS zikianza kutoka simu za x86 kutakuwa hakuna tofauti tena baina ya simu, tablet, computer, xbox, hololens na vifaa vyengine vya microsoft, jamaa wanajijua wanapoenda na wana hela nyingi tu za kuchezea wala hawatoki jasho
 
Sisi team mabepari tim sim ambazo mswahili anaona kazi ku sync na itunes tumekaa Cupertino tunakula cigar na bia nyie changanyeni huko kokoto na mchanga apple ni Baba wa tech za sim na tab kwa sasa kama unabisha karibu apple hutoki limbwata lake wameweka na sukari ya magufuli..
 
wenzako wanahangaika kumcopy microsoft na ipad pro, we kula cigar wakimaliza kucopy uataenda kuinunua na kuamini ni best technology ever
 
Apple labda wafunge kiwanda kua hawazalishi tena products zao hapo ntaacha kutumia smartphone na na mambo yote ya kitech kama hayo ntarud kutumia ttcl sim za ndani
 
Sijui kwa nn watu wanafurahia kurudi kwa NOKIA jina !! soma vizuri linarudi Jina tu. hazirudi zile classic simu zetu e63,e72 hatutapata raha na radha ya symbian v3 hata ile v2. japo Asha aliharibu ila ni jina tu wakuu.

so hata ukiwa na simu imeandikwa nokia ila ina window au android...to me thats not nokia ambayo unaijua

sitegemei kama charge ita kaa siku tatu kwa kioo kikubwa cha touch screen lazma some energ loss iongezeke
usitegemee kwamba utakuwa unaweza kuidondosha na isipate crack sababu ni jina nokia,
labdaaaaaaa baada ya miaka 10 akianza ila sijuiii

ni jina tu linarudi Ndoa ya NOKIA na Android ni sawa tu na simu yeyote ile yenye android na specification zao kubwaa bila sababu ni sawa na kubadili cover la samsung na kuweka la nokia kwenye simu yako ya android usitegemee makubwaaa
 
mkuu haya mambo yametokea siku 2 tu zilizopita hivyo vitu vingi havijakuwa clear. nilikuwa mahala fulani tunadiscuss na watu hii issue pia ikaletwa, os ya android itatumika kwenye smartphone na Tablet je os ipi itatumika kwenye simu ndogo?

Microsoft alikuwa anatumia s30 ambazo hata opera mini haziwezi download, sidhani kama hawa jamaa watatumia s30 pia wanaweza tumia s40 au os nyengine watakayoamua wao, huwezi jua jamaa wamepanga nini tusubirie muda utatuambia
 
yaa tuwape muda mkuu, ila s40 ni kama kurudi kwenye stone age maana hadi applications zitarudi za java mkuu..s40 si ndio ile full java apps
 
yap s40 ni java tupu ila still ni nzuri kuliko s30 za microsoft.

pia huwezi jua jamaa wataifanyia nini symbian. kulikuwa na petition symbian ifanywe open source kila mtu aweze kuitumia Microsoft akakataa ila huwenda hawa jamaa wakakubali.

Bill Gates: Release Symbian Source Code & Make It Open Source & Release latest update builds & Save the environment

symbian ikiwa open source wapo watu wengi wataiendeleza na utaweza ku dual boot kwenye simu ambazo ni bootloader zake zipo unlocked
 
Sifa wanazopewa Nokia hakuna anaejua kwamba wanapoteza Legency yao, na ndivyo kampuni huwaga zinapotea hivi hivi.
Muda wote ule wanaona aibu kuinvest kwenye Android baada yakuua symbian kwa sababu zao wenyewe zilizokuja kuwacost baadae na kuamua kuja na android zenye store yao wenyewe. X, XL, ona zote ni aibu tu zakushindwa kwenye soko.

Nokia ni wajanja wanaoona aibu, Leo Hii wanatuletea story na kampuni zingine, we're being ignoranc(ed) by them.
Leo hii watakaonunua bidhaa za Nokia wengi ni kwasababu ya mahaba tu na Nokia, kwani ni nani anaependa kuwa MTU wa Majaribio kila siku ?
mzimu wa symbian utaendelea kuitafuna Nokia mpaka mwisho.
Nokia now wana mambo yakichina.
 
mkuu haya mambo yametokea siku 2 tu zilizopita hivyo vitu vingi havijakuwa clear. nilikuwa mahala fulani tunadiscuss na watu hii issue pia ikaletwa, os ya android itatumika kwenye smartphone na Tablet je os ipi itatumika kwenye simu ndogo?

Microsoft alikuwa anatumia s30 ambazo hata opera mini haziwezi download, sidhani kama hawa jamaa watatumia s30 pia wanaweza tumia s40 au os nyengine watakayoamua wao, huwezi jua jamaa wamepanga nini tusubirie muda utatuambia
Nakubaliana nawe, msifikiri kwamba wamekurupuka tu kufanya haya maamuzi, tusubiri.
 
kwa hiyo mkuu una maanisha kwamba simu za microsoft hazitatoka tena au itasitisha huduma yake ya simu? maana najua microsoft aliinunua nokia ndo akaondoa jina la nokia na kuweka microsoft but stil ukiandalia design ni ya hardware ni kama nokia tuu sema wamebadilisha jina pia na ile symbian OS wakaitoa.
emb nipe vipengele vya mkataba kati ya nokia na microsoft mkuu nafsi yangu iwe na amani maana naipenda sana nokia. nimetimia N79,,E72, express music E71 na nyongine kibao yani nokia imo kwenye damu. pia kwenye simu za microsoft jina la nokia limo ndani ukiangalia device name, manufacture details na mengine kibao.
Mbuzi na kuku kweli vimejaliwa
 
Sifa wanazopewa Nokia hakuna anaejua kwamba wanapoteza Legency yao, na ndivyo kampuni huwaga zinapotea hivi hivi.
Muda wote ule wanaona aibu kuinvest kwenye Android baada yakuua symbian kwa sababu zao wenyewe zilizokuja kuwacost baadae na kuamua kuja na android zenye store yao wenyewe. X, XL, ona zote ni aibu tu zakushindwa kwenye soko.

Nokia ni wajanja wanaoona aibu, Leo Hii wanatuletea story na kampuni zingine, we're being ignoranc(ed) by them.
Leo hii watakaonunua bidhaa za Nokia wengi ni kwasababu ya mahaba tu na Nokia, kwani ni nani anaependa kuwa MTU wa Majaribio kila siku ?
mzimu wa symbian utaendelea kuitafuna Nokia mpaka mwisho.
Nokia now wana mambo yakichina.

mkuu siku zote mimi huamini ukispend hela nyingi kwenye research basi utakuwa na vitu bora kushinda wengine. wao kuwa na bidhaa nzuri hapo baadae hakutegemei na nyuma walifanya nini bali itategemea hio kampuni mpya itatuletea nini.

huwezi jua wana silaha gani ya siri na wamejiamini nini mpaka kuamua kurudi hivyo unaweza kuta wana kitu ambacho kitabadili kabisa soko la simu.

mimi bado nipo 50/50 nasubiria angalau product yao moja nione kama ni just another company inayoongeza core za processor na ram au ni kampuni itakayoleta vitu vipya ambavyo havipo sokoni kwa sasa
 
[QUOTE="Chief-Mkwawa, post: 162530]

mimi bado nipo 50/50 nasubiria angalau product yao moja nione kama ni just another company inayoongeza core za processor na ram au ni kampuni itakayoleta vitu vipya ambavyo havipo sokoni kwa sasa[/QUOTE]

Dah umetisha, ati
 
mkuu siku zote mimi huamini ukispend hela nyingi kwenye research basi utakuwa na vitu bora kushinda wengine. wao kuwa na bidhaa nzuri hapo baadae hakutegemei na nyuma walifanya nini bali itategemea hio kampuni mpya itatuletea nini.

huwezi jua wana silaha gani ya siri na wamejiamini nini mpaka kuamua kurudi hivyo unaweza kuta wana kitu ambacho kitabadili kabisa soko la simu.

mimi bado nipo 50/50 nasubiria angalau product yao moja nione kama ni just another company inayoongeza core za processor na ram au ni kampuni itakayoleta vitu vipya ambavyo havipo sokoni kwa sasa

Watu wanataka devices siku hizi, hawataki research wala nini, labda kama utaniaminisha Nokia ni kampuni yakufanya research na majaribio kila siku, na hayo hayo maresearch na majaribio ndiyo yanayowafikaga shingoni at the end.
how you release best smartphones in the market, is what will makes you stronger, simply kwasabu most of the peoples we are much fashionable nowdays.
 
mkuu bila research leo ingekuwa
-unatembea na simu ukitaka internet unaingia kwenye kibanda unachomeka waya wa internet ili upate internet ila sababu wamespend kwenye research leo hii kuna minara ya simu na internet inapatikana ya kasi

-ingekuwa unadownload movie za full hd gb 20 lakini watu wamefanya research leo movie tunadownload chini ya gb

-ingekuwa vioo ni black and white watu wamefanya research leo vioo ni vya rangi

-fikiria camera za simu kali, microphone za sauti, speaker, display, battery nk vyote watu wamespend matrilion ya hela mpaka unaviona.

unapoponda research usifikiri vitu unavyoviona kwenye simu yako vimetokea tu watu wamehangaika hadi unaona vitu vizuri hivyo na tabia ya wanadamu hawaridhiki wanataka zaidi na zaidi hivyo siku zote kunahitajika mambo mapya.

Leo hii unafikiri Nokia akitoa simu ambayo haihitaji kuchaji inajichaji tu yenyewe toka kwenye jua, na unapotembea au kupitia minara ya simu unafikiri watu wangapi watapanga foleni kuinunua
 
Back
Top Bottom