Simu za Nokia zinanivutia sana

Reuben Challe

JF-Expert Member
Dec 10, 2021
2,761
5,039
Kila siku watu wanaongelea simu kutoka brand hizi tu mara Samsung, iPhone, Xiaomi. Lakini wanaacha kuziongelea Nokia. Kuna baadhi ya simu za Nokia zinavutia
Nokia-8.3-Hero.jpg

Ninachopendea kwenye hizi simu ni kwamba hakuna bloatware halafu huwa zinapata regular security updates. Lazima nifanye mpango wa kununua hizi simu.

Kuna baadhi ya simu zao zimenivutia ndio maana naandika hivi, hebu ziangalieni hizi hapa
1. Nokia XR20 Rugged 5G phone
Nokia-XR20.jpg

2. Nokia 8.3 5G
Nokia-8.3-5G_HS_DS-e1601026563550-767x635.jpg

3. Nokia G50
NokiaG50.jpg

4. Nokia 5.3
X3zu7k67ZVhrK5nLT5xAZ6.jpg

5. Nokia 5.4
nokia-54-2020-1.jpg

6. Nokia G21
4_zu_3_Nokia_G21.jpg

7. Nokia X20
nokia_x20_5g_8gb_128gb_05_ad_l-1.jpg

8. Nokia 3.4
f51a76935142d9889ce6268820c64aef.jpg

9. Nokia G11 plus
Nokia-G11-Plus-hero-image.jpg

10. Nokia G10
Nokia-G10-4-1.jpg

Tena hiyo Nokia G10 ya 4GB RAM na 64GB ROM nimeiona inauzwa kwa Tsh 330,000/= tu Kariakoo, halafu ina fingerprint pembeni sio nyuma kama ilivyo kwa simu nyingi za laki 3, naona inamake sense kuliko Xiaomi Redmi 10A 3GB RAM + 64GB ROM ambayo inauzwa kwa bei hiyohiyo.

Naombeni ushauri kwa mtumiaji wa Nokia au mtu aliyewahi kutumia Nokia. Je, hizi simu ni nzuri au mnanishauri nisinunue?
 
Simu za Nokia ni bei ghari zisizoendana na ubora kama hiyo bei ya Nokia G10 ni kubwa Sana Kwa simu yenye Mediatek Helio G25, storage ya eMMC 5.1, kamera inayokosa autofocus angalau ya PDAF na display ya resolution 760p.
 
Kuna jamaa yangu anayo,aisee hizo simu ni mzuri mno nimeshawishika na mimi nikachukue huo mizigo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom