Simu za Nokia kurudi tena sokoni muda si mrefu

tuwe wakweli jamani wamgapi wapo tayari kuachana na ios na android ikitokea nokia wamekuja na mambo ya symbian? tukirejelea ilivyokuja windows ktk lumia. Wangapi walienda huko
symbian haicompete na ios na android maximum specs zake ni ndogo kuliko low end za android. simu yenye specs kubwa zaidi ya symbian ni nokia 808 yenye
-ram 512mb
-kioo 640x360
-processor single core 1.3ghz

kama symbian inarudi au wataifanya open source wachina watutengenezee simu basi bei zake zitakuwa chini ya laki 1 hadi around 50,000 inawezekana kutengeneza simu ya symbian.

zipo symbian zina ram hadi 64mb, processor za 300mhz na vioo vya 240x320 na zipo fast zinafanya multitasking hadi app 50 kwa pamoja bila kulag. ns multitasking ya symbian huwezi kuta mahala popote kwenye simu si android si wp si ios labda kwenye distro za linux kama meego/sailfish/tizen unaweza pata multitasking kama hii, unaacha app hata siku 3 unarudi unaikuta pale pale instant hakuna resume wala loading yoyote. cheki hii video


symbian ikirudi itasaidia sana sasa hivi kama una budget chini ya laki 1 either ununue android low end ambazo hata kufungua apps ni tabu au utafute simu za kichina ambazo hata opera ni shida
 
cwez tumia cm nyingne zaid ya window phone hizi lumia, nokia e6 nk nazpenda sana mtu akinipa hz cm nyingne labda nitumie nikiwa ndan ila co in puplic

swal hzi lumia ni nokia walitengeneza au vp hapo celewag
simu za lumia hardware walitengeneza nokia na hio software walitengeneza microsoft
 
Nikiona Brand Name ya Nokia nafurah sana. Nilisikitika jina la Nokia kupotea kiaina badala yake Lumia kusikika sana.

Kama wanarudi kutengenezea Android phones hiyo ni habari njema nitanunua Nokia. By the way kwanini Chief umehuzunika badala ya kufurahi?
Mkuu! Hata mie NOKIA nawakubali sana, na sitasita kuachana na hizi brand zingine iwapo watakuja na kitu cha uhakika
 
Microsoft amewauzia Foxconn biashara yake ya simu za Feature phone, Ukumbuke Microsoft alikuwa anatumia jina la Nokia kwenye feature phone tu kwenye smartphone zilikuwa zinaitwa Microsoft Lumia, hivyo kuanzia sasa hivi Microsoft hana tena uhalali wa kutumia jina Nokia. HMD na Foxconn exclusive watatumia jina Nokia bila kushare na mtu yeyote.

Kuhusu hatma ya simu za microsoft tetesi ni kwamba zitaungana na department ya Surface. kama unafatilia mambo haya nafkiri utakua unajua mafanikio ya Tablets za microsoft zinazoitwa surface pro sasa hivi zimeshakuwa billion dollar business na zinaipa joto Apple na Ipad zake. Microsoft kuanzia 2017 watatoa surface phone simu zinazorun software za computer nafkiri wanawasubiria intel wakija na processor za 10nm za canonlake ila ni tetesi tu inaweza isiwe kweli.
surface-phone-1-100577980-large.png
Hii iliishia wap?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi ulizungumzia nokia kutoa simu zao na waliodai hakuna jipya na walipata mapya tujuzane hapa.

Pia nimeona kuna raia kasema apple watawekeza kiasi flan kwa ajiri ya research. Vp ilikuwaje na mabadriko ni yepi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi ulizungumzia nokia kutoa simu zao na waliodai hakuna jipya na walipata mapya tujuzane hapa.

Pia nimeona kuna raia kasema apple watawekeza kiasi flan kwa ajiri ya research. Vp ilikuwaje na mabadriko ni yepi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiasi chao wanajitahidi nimeona mwaka 2018 wameuza simu milioni 82, ila still bado hawajaniconvice sana, simu zao hazina Nokia soul, ni simu nzuri ila still bado Hazijafikia level ya Nokia mwenyewe.

Na Hao Apple sasa hivi wana hali tete inabidi wafanye research sio za kitoto maana mauzo tayari hayaongezeki na hata share zao zinashuka. Ndani ya kipindi cha miezi 3 tayari wameshapoteza kama trilioni 1000 ya thamani yao.
 
Nokia 9 pureview inaenda kuleta mapinduzi kwenye upande wa CAMERA tazama kuanzia juzi simu hii imekuwa ya kwanza kwenye list za pre-order huko marekani,Russia na UK...
Kwangu naona nokia HMD wanazidi kuja juu tofauti na ilivyokuwa kipindi cha window phone,
Mfano Huawei mate 20 pro imepigwa mbali sana na nokia 9 kwenye camera department kitu ambacho ni kikubwa kwa innovation,mwaka huu nokia watauza sana hii flagship yao ya kwanza
 
Still mpaka leo ni tetesi, kwamba itakuwa ni foldable device. Ila tayari kuna os inaitwa windows on Arm sasa hivi unaweza kurun full windows kwenye processor za simu, na hata hololens mpya iliotoka inatumia snapdragon 850, hivyo muda si mrefu itatoka hii device.
Hololens ni device name au ni os name?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom