Simu yenye thamani TSH bilioni 13...!! Huwezi amini..!!!

stineriga

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
2,172
886
Leo nimepitapita kwenye internet nimekutana na simu inayosemekana ni ya thamani kuliko simu yoyote duniani... TSH 13 bilion...!!!

Stuart Hughes iPhone 4 Diamond Rose Edition – $8 million
Stuart-Hughes-iPhone-4S-Elite-Gold.jpg
iphone-4s-elite-close2-e1323332884268.jpg


source ; World's Most Expensive Cell Phones
 
dah kaka bonge la dhahabu hilo kutoka shinyanga na almasi za mwadui zimevalishwa kwe iphone..dah
 
Hio ni thamani yake tu ila bei yake ni kama simu ya mchina tu
 
Kwani mtu akifa atazikwa nayo aendelee kuitumia huko kaburini au itabaki ndugu watoane roho??
 
Acheni wivu. Umaskini ndiyo huwa unasababisha watu kufikiria kununua kitu cha thamani ni ufujaji wa pesa, kama hela ipo yeyote anaweza kutamani kuimiliki. Hata mimi pia, sema uwezo huo kwa sasa siana tu!
 
Vibaka wakiipora wanauza elfu 10 tu, Wameniuzia laptop wanaita calculator kubwa elfu tano tu.
 
mhh....ngoja nizichange nitaipata tu ila mh wa kule Bariadi anaweza nunua
 
Back
Top Bottom