Simu yenye thamani TSH bilioni 13...!! Huwezi amini..!!!

naskia ukiwaza tu kumpigia mtu yenyewe inapiga teh teh kiding bhana, sijui ina figo humo ndani? Ningekuwa nayo naivaa shingon
 
naskia ukiwaza tu kumpigia mtu yenyewe inapiga teh teh kiding bhana, sijui ina figo humo ndani? Ningekuwa nayo naivaa shingon
ukitaka kuandika msg unafungua tu sehemu ya ujumbe mfupi na yenyewe inaandika kile unachokifikiria....
 
nadhani ndani yake ina swiming pool, kaunta ya whisky za aina zote, nyumba,bustani ya matunda,fridge,mademu wa race zote na most of all unaweza itumia kama gari! nje ya hapo i'm not conviced!
 
Nasikia hiyo simu ina sifa zifuatazo:
  1. ukitaka namba ya demu yeyote mzuri duniani, ukifikiria tu inajiandika yenyewe na kujipiga.
  2. Hata kama una sauti mbaya ukimpigia demu inabadilika na kuwa kama ya Obama.
  3. Kama huna hela mfukoni ukisema M-pesa tu, inachukua salio kwenye simu ya mtu yeyote inakuletea wewe mambo yanajipa.
  4. Hiyo simu ukicheza bahati nasibu yoyote kwa njia ya sms lazima ushinde.

Nawahi lunch kidogo nikirudi nitawaletea maajabu yake zaidi.
 
Kweli hapo mtu unatakiwa useme mimi ni masikini na siyo sisi ni masiki
 
Back
Top Bottom