Simu yangu imejilock baada ya kucancel kabla sijamaliza kujaza details

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Dec 9, 2020
391
579
Wakuu habari za saa hizi...

Naombeni msaada wenu,

Nilikua nabadili taarifa za simu yangu coz mtumiaji anaenda kuwa mwingine nilichokosea ni kucancel kabla sijamaliza kujaza detail ikawa imejilock inawaka tu na kuzima muda wote but nikibonyeza power button na ya kupunguzia sauti inazima ...

Naombeni msaada wenu.

Ni Samsung A10 .

IMG_20230208_003525_919.jpg

Hizo ni command prompt kwa simu za sasa android kuanzia 11 zinasumbua sana. Maana ulitaka kureboot kwa hizo command kuwa mpole tafuta fundi anaweza kubypass hata kwa computer sio tatizo kubwa inawezekana file la simu upande wa software limecorrupt.
 
Mkuu naomba nikuelezee ilivyokuwa...

Niliclear data zote ikabaki Haina data Wala details yeyote nilichofanya nkaanza kuset email na Google account Samsung makorokocho mengi kana pahali nlifka wakahtaj code ambazo waga wanatuma automatically ... Tatizo ndio lilianzia hapa kwani walkua wanatuma late last time najaribu Ile kusubr zile dk tatu nkacancel shida ndio ikaanzia hapo
 
Mkuu naomba nkuelezee ilivyokuwa....nliclear data zote ikabaki Haina data Wala details yyt nlichofanya nkaanza kuset email na Google account Samsung makorokocho mengi kana pahali nlifka wakahtaj code ambazo waga wanatuma automatically ...tatizo ndo lilianzia apa kwani walkua wanatuma late last time najaribu Ile kusubr zile dk tatu nkacancel shida ndo ikaanzia apo
System imecorrupt mbaya sana kucancel ikiwa inakamalisha kuload data ni hatar ndo maana sometimes wabakushauri kama bettery lipo chini ya 30% uchaji ili imalize kabisa process nzima ....Ni hatari hapo files imecorrupt ya simu kapige file au tafuta fundi wakupe ushauri zaidi kwa wataalum fasta tu
 
Asante mkuu
 
Maelezo yamejitoshereza hapo,hiyo simu uwezekano ni mkubwa ili flashiwa kuondola lock,mtumiaji mpya akawa anaitumia kwa mashart flani kutoupdatee nk,ulivyoishika wewe umetengua kanuni imejilock upya,peleka tu kkoo ukasikie wanasemaje.
 
Back
Top Bottom