NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 590
Hizi app na vifaa (kuna saa zinafanya kazi hiyo hiyo) zinadai kuwa zinatoa sauti ambayo ni sawa na sauti za wanyama au wadudu ambao ni adui kwa Mbu kama popo na Dragon Fly, hivyo Mbu akisikia anakimbia.
HAKUNA USHAHIDI WOWOTE KUWA ZINALETA EFFECT YOYOTE KWA MBU, soo ni danganya toto mostly. Pia zinatoa sauti tu so hazina haja ya kutumia data.
Mkuu usemacho si kweli!! kuna app inayo toa sauti kama ya popo na binafsi nimeisikia hiyo sauti baada ya kuongeza VOLUME ya simu yangu. Pia zina fanya kazi kweli na sio danganya toto. Ni mwaka wa 3 sasa natumia maujanja haya na Mbu wala hawanisogelei. Jaribu ujionee nasio Kukatisha tamaa Maendeleo ya kiteknolojia.