Simu ya kufukuza mbu yazinduliwa tz.

Hizi app na vifaa (kuna saa zinafanya kazi hiyo hiyo) zinadai kuwa zinatoa sauti ambayo ni sawa na sauti za wanyama au wadudu ambao ni adui kwa Mbu kama popo na Dragon Fly, hivyo Mbu akisikia anakimbia.

HAKUNA USHAHIDI WOWOTE KUWA ZINALETA EFFECT YOYOTE KWA MBU, soo ni danganya toto mostly. Pia zinatoa sauti tu so hazina haja ya kutumia data.

Mkuu usemacho si kweli!! kuna app inayo toa sauti kama ya popo na binafsi nimeisikia hiyo sauti baada ya kuongeza VOLUME ya simu yangu. Pia zina fanya kazi kweli na sio danganya toto. Ni mwaka wa 3 sasa natumia maujanja haya na Mbu wala hawanisogelei. Jaribu ujionee nasio Kukatisha tamaa Maendeleo ya kiteknolojia.
 


KAMPUNI ya Samsung Tanzania, imezindua s

KAMPUNI ya Samsung Tanzania, imezindua simu ya Samsung Galax Pocket yenye uwezo wa kufukuza mbu usiku, pindi mtumiaji anapowasha.
Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam na Mwanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Belinda Lawuo ambaye ni miongoni mwa watumiaji watano waliopata fursa ya kutumia simu hiyo siku chache kabla ya uzinduzi uliofanyika juzi.
Lawuo alisema alipopata simu hiyo alifurahishwa na uwezo wake wa kufukuza mbu kupitia programu ya Mosquito Repellant.
Naye Meneja Mkuu wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar alisema simu hiyo inampa mnunuzi thamani halisi ya pesa, kwani inauzwa bei nafuu, huku kukiwa na ofa mbalimbali, ikiwemo kutuma ujumbe

 
ukiweka maximum volume haulali atii tabda ujifunike gubigubi

kasheshe mbonaa.... Ndomaana huwa napenda kukaa maeneo ya bard kama irnga , na mbeya coz huku mbu n wachache sanaa na n kpind cha mwisho wa mwaka tuu...
 
Back
Top Bottom