Simu nzuri yenye projector ni ipi?

ndio ni nzuri mkuu, ila kwa bei kiasi gani?
mkuu naomba nishauri mimi nahitaji projector lengo kuu nionyeshe mpira je ipi nzuri na kwa bajeti kiasi gani pia kwa hizi Tv za kawaida maana yangu sio flat inaweza kubali au kuna kifaa cha kuongezea maana nilitaka itumike hii na projector badala ya kugharamia flat kiongozi
 
Back
Top Bottom