Simu nzuri yenye projector ni ipi?

Mkuu @ chief mkwawa naomba ushauri nataka kununua simu moja wapo kati ya hizi SAMSUNG NOTE 4 ama SAMSUNG GALAXY S6 ipi nzuri katika peformance na feature??
s6 ni habari ingine ina nguvu sana kuipita note 4
-ndio simu ya kwanza kuja na memory za ufs ambazo zina speed sana
-processor yake ina nguvu na ni 64bit compare na 32bit ya note 4
-ina touchwizz mpya ambayo ni nyepesi
-ina design ya kuvutia

sema s6 haijakaa kama samsung nyengine
-battery yake haitoki
-haiingii memory card
-imetengenezwa na glass ambazo si material mazuri.

ila narecomend sana s6
 
Chief hivi lumia 650 inapatikana hapa nchini? Kama ndio naomba unitajie duka na estimate ya bei yake
 
  • Thanks
Reactions: Lee
s6 ni habari ingine ina nguvu sana kuipita note 4
-ndio simu ya kwanza kuja na memory za ufs ambazo zina speed sana
-processor yake ina nguvu na ni 64bit compare na 32bit ya note 4
-ina touchwizz mpya ambayo ni nyepesi
-ina design ya kuvutia

sema s6 haijakaa kama samsung nyengine
-battery yake haitoki
-haiingii memory card
-imetengenezwa na glass ambazo si material mazuri.

ila narecomend sana s6

Chief-Mkwawa hii lumia 550, inafaa kwa matumizi ya kimwendokasi(super user)?
 
hapana haina zenye projector zinakuwa hivi

Unroot-Samsung-Galaxy-Beam-I8530.jpg

INAKUWA na kama tochi kubwa kwa mbele
Zinapatikana wapi kwa dsm na price yake mkuu???
 
Wengine hatujui hata hiyo projector ina maana gani aisee tufafanulieni
ni kifaa kinachomulika ukuta au kizuizi chengine kama kitambara kwa mwanga na kufanya kizuizi hiko kionyeshe mambo mbalimbali.

lumenlab.jpg

mfano kwa kutumia projector unaweza kumulika ukuta na ukaangalizia movie kupitia huo ukuta

ukiwa na simu kama hiyo uki project kwenye ukuta inamaana movie utaiona kwa ukubwa tofauti na kioo cha simu
 
Ni simu gani zenye hiyo kitu aisee. Na gharama. Zake zikoje kweli dunia unajua Mimi niliamini hii kitu haiko kwa simu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ni simu gani zenye hiyo kitu aisee. Na gharama. Zake zikoje kweli dunia unajua Mimi niliamini hii kitu haiko kwa simu
ni hizo galaxy beam, ila projector yake haina nguvu sana na usitegemee quality iwe kubwa kama projector kubwa.

ipo beam na beam 2, sababu ni za zamani si rahisi kuzikuta madukani
 
ni hizo galaxy beam, ila projector yake haina nguvu sana na usitegemee quality iwe kubwa kama projector kubwa.

ipo beam na beam 2, sababu ni za zamani si rahisi kuzikuta madukani
Kwa hiyo kumbe ni teknolojiaa ambayo sio ngeni sana duuuh ! Kweli usilolijua haliwezi kukusumbua ' hongera chief kwa kunifumbua macho na kunitoa tongotongo
 
Nashukuru mkuu nimeona specifications haijakizi haja yangu ni ya kawaida bora hata Galaxy beam i8530 labda kama unanishauri nyingine.
hio niliokuambia ni nzuri kuliko ulioitaja na hakuna nyengine baada ya beam2 labda ununue pico projector ambazo ni ndogo kama hivi

pocket_sized_hdmi_pico_projector_2.jpg
 
OK!!...mkuu nashukuru lengo nilijua takuta yenye 4G LTE FDD,RAM kuanzia 2GB
 
OK!!...mkuu nashukuru lengo nilijua takuta yenye 4G LTE FDD,RAM kuanzia 2GB
mkuu kuna nyengine nimesahau kuitaja moto z ina acessory kama cover ambayo ina projector
gsmarena_005.jpg

Warcraft.2016.720p.HC.HDRip.FardaDownload.mkv

sema bei ya simu ni $600 pamoja na acessory dola 300 jumla kama dola 900 hivi hivyo uandae milion 2
 
s6 ni habari ingine ina nguvu sana kuipita note 4
-ndio simu ya kwanza kuja na memory za ufs ambazo zina speed sana
-processor yake ina nguvu na ni 64bit compare na 32bit ya note 4
-ina touchwizz mpya ambayo ni nyepesi
-ina design ya kuvutia

sema s6 haijakaa kama samsung nyengine
-battery yake haitoki
-haiingii memory card
-imetengenezwa na glass ambazo si material mazuri.

ila narecomend sana s6
Mkuu Chief mkwawa vipi kuhusu huawei honor 5X ni nzuri?
 
Back
Top Bottom