Simu janja zenye design unique kama matokeo ya ubunifu katika sekta hii

Reuben Challe

JF-Expert Member
Dec 10, 2021
2,761
5,039
Kuna simu nyingi tu na zina design tofauti tofauti lakini kuna baadhi zimetokea kunivutia kutokana na kuwa na design zilizokuwa inspired na strong creativity. Mfano wa simu hizo ni hizi hapa nchini.

1. Simu yenye display iliyozunguka simu yote
Hii simu ilitoka mwaka 2020 kutoka kwa kampuni ya China iitwayo Xiaomi. Ingawa ilikuwa cancelled kutokana na ugumu wake katika production na bei yake kutokuwa rafiki. Jina la simu hii ni "XIAOMI MI MIX ALPHA". Ni simu iliyozungukwa na display pande zote kasoro juu na chini.
Screenshot_20230325-165818~2.jpg

Simu hii haina selfie camera lakini kamera ya nyuma hiyohiyo inatumika kama selfie camera. Ukitaka kuchukua selfie unageuza simu yako ili kamera ikuface wewe na unapiga selfie kwa kamera ileile ya nyuma. Yaani inakuwa hivi
Screenshot_20230325-170312~2.jpg

Kwa sasa Xiaomi Mi Mix Alpha unaweza kununua kutoka Xiaomi official store kwa TSh 6,700,000/=
Screenshot_20230325-165956~2.jpg


2. Simu ambazo ni foldable
Hizi ni simu ambazo unaweza kuzikunjua kama kitabu na kukusaidia kupata display kubwa Ili uweze kuitumia kama tablet.
Hii ni "Samsung Galaxy Z Fold" 4
images%20(87).jpg
images%20(85).jpg
images%20(84).jpg

Pia hii ni Xiaomi Mix Fold 2
images%20(88).jpg
images%20(89).jpg


3. Simu zenye uwezo wa kuflip
Watu sikuhizi wanapenda simu zenye display kubwa ili wapate better viewing experience lakini bahati mbaya simu zikiwa kubwa sana zinashindwa kukaa mfukoni kiurahisi. Simu za kuflip zimekuja na solution. Unapata simu yenye display kubwa na ukitaka kuiweka mfukoni unaikunja inakuwa ndogo unaitia mfukoni.
Hii ni "Samsung Galaxy Z Flip 4
images%20(82).jpg

Hii ni Oppo Find N2 Flip
images%20(83).jpg


4. Simu zenye curved displays
Hizi ni simu ambazo display zake zinatengeneza curve kwenye edge ya simu.
Hii ni "Xiaomi 12S Ultra"
Screenshot_20230325-164358~2.jpg

Hizi ni Samsung S20 series
images%20(92).jpg


5. Simu zenye display ndogo kwa nyuma
Kuna baadhi ya simu zinakuja na kioo kidogo kwa nyuma, na kinaweza kusaidia kuvuta attention ya watu na pia kukusaidia kuangalia muda bila kuigeuza simu yako ukiwa umeilaza juu chini, n.k.
Hii ni "Xiaomi Mi 11 Ultra"
images%20(90).jpg
images%20(91).jpg


6. Simu zenye boxy design
Hizi ni simu zenye sharp corners na design zake huwa ni za kipekee na huvutia sana. Mfano mzuri ni Samsung Galaxy S22 Ultra
images%20(95).jpg


7. Simu zenye big circular camera module
Hizi ni simu ambazo zinakuwa na kamera katika umbo la duara kubwa nyuma ya simu. Hii design inanivutia sana. Hata gsmarena wanasema "Xiaomi 12S Ultra" ina mwonekano premium sana. Napenda sana simu zenye kamera zilizokaa kwenye duara kubwa nyuma ya simu
Hii ni Xiaomi 12S Ultra
images%20(93).jpg
images%20(93).jpg


8. Simu zenye stylus pen kwa ndani
Katika sehemu ambazo ninampongeza sana Samsung ni pamoja na hii, kuinclude smart pen ndani ya simu zao za Samsung Galaxy S22 Ultra na Samsung Galaxy S23 Ultra.
Xiaomi wanauza stylus pen separately, Samsung wanaweka ndani ya simu
images%20(96).jpg
images%20(97).jpg
images%20(98).jpg


Ndio hicho tu nilichotaka kukiwasilisha. Hizo design zinanivutia sana
 

Attachments

  • images%20(83).jpg
    images%20(83).jpg
    23.2 KB · Views: 23
Hiyo Xiaomi 12S ultra , ni bei gani? Na vipi kuna maduka hapa bongo wanazo...
Bongo inauzwa around 3.2M, wanauza hii bei ni Simu hub tz lakini hii bei sio rafiki kwa sababu unaweza kupata S23 Ultra kwa bei hiyo

Ukinunua AliExpress version ya 12GB RAM 512GB ROM bei yake ni TSh 2.2M
Screenshot_20230401-150313~2.jpg
 
Thanks Chief.... I wish ningekuwa najua jinsi ya kufanya manunuzi AliExpress (foreign trade).... Xiaomi ni simu ya ndoto angu, Kuna jamaa angu anatumi Redmi note 10, nikajikuta nazipenda hizi simu
 
Thanks Chief.... I wish ningekuwa najua jinsi ya kufanya manunuzi AliExpress (foreign trade).... Xiaomi ni simu ya ndoto angu, Kuna jamaa angu anatumi Redmi note 10, nikajikuta nazipenda hizi simu
Still kwa bei chini ya 2M unaweza kupata Xiaomi Mi 11 Ultra hapahapa Bongo, ni simu nzuri sana. Unaweza kuangalia specifications zake.

Kuhusu kuagiza vitu AliExpress kuna thread zake humu zinaweza kukupa muongozo
 
Back
Top Bottom