Simiyu: Waganga wa jadi kutoka Gamboshi na Bariadi wadai kumloga Mwana CCM atakayechukua fomu kumpinga Magufuli

Haiwezekani mtu anajitapa kuroga watu halafu anadunda mtaani. Kwanini wasiloge tupate maendeleo ?

Wakamatwe wawekwe rokapu wajinga wakubwa hawa.

Waganga wachumia njaa ni wajinga na wapumbavu kabisa.

View attachment 1163562View attachment 1163564
Wafuate ukawaambie! Wao hawakujificha kama wewe nyuma ya keyboard. Walisema mchana kweupe tena kwenye mkutano kabisa. Mkuu wafuate pale Gamboshi wala si mbali ni mkoa wa Simiyu tu.
 
Kwa kauli waliyotoa Waganga wa jadi zaidi ya 900 kutoka Gamboshi na Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, kuwa watampoteza mwanachama yeyote wa CCM, atakayethubutu kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 2020 na kumpinga Rais John Magufuli ni kauli ya kipumbavu ambayo hata mtoto wa chekechea hawezi kuitamka na mimj nawaomba wafanye jaribio kwanza kwangu kabla ya kuwaloga wana ccm watakaobeba fomu ya kugombea urais 2020
 
Hawana lolote ni wachawi tu, wanatisha watu, hatuko zama za kuamini uchawi. ni aina fulani ya kufanya siasa kipuuzi
 
Siasa Zinafanywa mpaka kwa wachawi na waganga, bado kuna masheikh na maaskofu feki nao watakuja na yao kuaminisha watu upuuzi
 
Hivi kwani huyu Magufuli hana ubavu wa kugombea hiyo nafasi na mtu mengine mbona 2015 aligombea na wenzake watano akaingia tatu bora na hatimae kushinda. Mbona safari hii kama kuna hofu flani hivi, hajiamini au ni kweli amepoteza mvuto?
Kwani ule utafiti ambao huwa unafanywa pale jalalani na dr bunsen bana haujatoa matokeo ya kura ya maoni?
 
Mikwara ya kizamani sana hii.. Ndio maana nawadharau sana wasukuma.. Hadi leo bado wanaamini mambo ya kishamba kama haya... Nashangaa ambavyo viongozi wa ccm wamekaa kimya kuhusu hizi kauli za uchafuzi wa chama chao.. Nathubutu kuamini kuwa ccm wanawatumia hawa wachawi ktk mambo yao...

Shame on you wachawi wa simiyu na wote wanaowasapoti
 
Kwa kauli waliyotoa Waganga wa jadi zaidi ya 900 kutoka Gamboshi na Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, kuwa watampoteza mwanachama yeyote wa CCM, atakayethubutu kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 2020 na kumpinga Rais John Magufuli ni kauli ya kipumbavu ambayo hata mtoto wa chekechea hawezi kuitamka na mimj nawaomba wafanye jaribio kwanza kwangu kabla ya kuwaloga wana ccm watakaobeba fomu ya kugombea urais 2020
Mimi ndiyo siamini waganga walisema hivi. Watamke tusamehewe madeni.
 
Nzunga=govinda.
Bila shaka sijakosea,kitambo nikiwa ukanda huo.

Back
Top Bottom