Simiyu: Waganga wa jadi kutoka Gamboshi na Bariadi wadai kumloga Mwana CCM atakayechukua fomu kumpinga Magufuli

Hivi ni kweli wa kumtetea Shinji Abe wamekosekana mpaka sasa malango ya kuzimu ndo yanamtetea duuuuh mbingu imemnyamazia kimya au
 
Hao waganga wameshashindwa kwa Jina la Yesu Kristo!

Ninavunja na kung'oa Misingi yote ya kuzimu iliyoshikilia Tanzania kwa Jina la Yesu Kristo!

Maneno yote yaliyotamkwa na hao mawakala wa shetani na yawarudie juu ya vichwa vyao kwa Jina la Yesu Kristo!

Amen!
 
Nakumbuka hata Trampo alivyoingia madarakani, chama cha wachawi huko USA walijikusanya kufanya mambo yao ya kumpinga lakini walishindwa!!!
Wachawi hawana nguvu yoyote kisiasa kama tunavyoaminishwa
 
MTU yeyeto smart hawezi kabidhi akili yake Kwa mganga maana ndumba upunguza uwezo wa kufikiri hata uwe na PhD plus plus utaishia kufanya mambo kama mtu asiyesoma.Tunayaona

Kwa hiyo dr shika ni wa huko?
 
Ni hatari sana

Waganga wa jadi zaidi ya 900 kutoka Gamboshi na Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, wametoa onyo kali kuwa watampoteza mwanachama yeyote wa CCM, atakayethubutu kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 2020 na kumpinga Rais John Magufuli.

View attachment 1162259
Nonsense
 
Nakumbuka hata Trampo alivyoingia madarakani, chama cha wachawi huko USA walijikusanya kufanya mambo yao ya kumpinga lakini walishindwa!!!
Wachawi hawana nguvu yoyote kisiasa kama tunavyoaminishwa

Mchawi yeyeto afanyacho ni kukupandikizia hofu kwanza na kinachokuuwa ni hofu
 
Na wachungaji wakitoa Neno kama hilo, ndio itakuwa mara ya kwanza Mungu na Shetani kushirikiana
 
Ni hatari sana

Waganga wa jadi zaidi ya 900 kutoka Gamboshi na Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, wametoa onyo kali kuwa watampoteza mwanachama yeyote wa CCM, atakayethubutu kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 2020 na kumpinga Rais John Magufuli.

View attachment 1162259
This is funny. Mnawasikiliza hawa losers?
 
Hawa wase*** kama wana hizo nguvu kwa nini walishindwa kuzuia ukame na ukoloni? Kwanza hawajui nini maana ya katiba..Moto wa mwenyezi Mungu uwachomelee hadi wageuke majivu
 
Back
Top Bottom