Wafuate ukawaambie! Wao hawakujificha kama wewe nyuma ya keyboard. Walisema mchana kweupe tena kwenye mkutano kabisa. Mkuu wafuate pale Gamboshi wala si mbali ni mkoa wa Simiyu tu.Haiwezekani mtu anajitapa kuroga watu halafu anadunda mtaani. Kwanini wasiloge tupate maendeleo ?
Wakamatwe wawekwe rokapu wajinga wakubwa hawa.
Waganga wachumia njaa ni wajinga na wapumbavu kabisa.
View attachment 1163562View attachment 1163564