Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 176
Congratulation Simba msimu ujao kombe linarudi Jangwani
...he!he!he! ma-friend Belo bana...? kumbe na weye mchana huwa unaota ndoto? nakushauri kamwone Shekhe Yahya.......
Congratulation Simba msimu ujao kombe linarudi Jangwani
Kaka endelea kuota....
Sahau ubingwa kurudi Jangwani...tayari wachezaji wenu wameshanza kuomba kusajiliwa Msimbazi ili wakapige soka na Timu kubwa Barani Afrika maana nyie mnishia 1st Round tuu..abu tupu Kanda2..Hatutaki uozo wenu msimbazi tunayo strong youth team...
Wanakaribishwa kwa Moyo Mkunjufu, waachane na Timu inayoongozwa na Viongozi walio jaa Fikra Mgando kama akina Madega. Simba ina utaratibu Mzuri wa Kuwawezesha Vijana kucheza Soka katika Ligi maarufu za Ulaya! Chuji asingeleta Ubishi sasa hivi angekuwa anakula Bata Sweeden, awaangalie akina Boban na Hennry Joseph! Karibuni tu hata wakisugua Benchi lakini si wako kwenye timu kubwaa teh teh teh
Inshallah mungu atatusaidia.nimewasili harare leo na timu iko ktk hali nzuri pamoja na wenyeji kutufanyia njama mambo ni safi.kassim na mulamu wanahakikisha kila kitu ipo as plan.mtandao iko sllow lakini tutajaribu kuweka matokeo humu.
Ebwana tumbo linauma kwa kusubili jamani. Tupashane habari vp tumekosa kabisa mawasiliano na zimbabwe.