Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Mwenye namba ya Clifford Ndimbo aiweke hapa nasi wengine tujaribu kuwasiliana naye. Sisi wengine kazi hazifanyiki, matumbo moto.
 
Du namba ya mtu waiweke hapa hadharani? Sidhani kama itawezekana manake si private sana hiyo kitu? Masaki kwa kuwa wewe una contact naye we fanya mambo kila dakika
 
Mko wengi sana hongereni wengine sisi ni watani zenu wa jadi

The Following 26 Users Say Thank You to nyani<abiziani> For This Useful Post: BelindaJacob (24th February 2010), Chrispin (3rd March 2010), Cynic (31st January 2010), De Novo (24th January 2010), ICU (13th March 2010), jacobae (28th February 2010), Janjaweed (12th February 2010), jmushi1 (31st January 2010), Kakalende (1st February 2010), KIWAVI (27th January 2010), Lighondi (24th February 2010), Mafuluto (31st January 2010), Masika (21st February 2010), matambo (9th February 2010), Mbu (14th March 2010), Mfumwa (7th March 2010), Mkorintho (Today), MzeePunch (23rd January 2010), Ndege ya Uchumi (23rd January 2010), Patrick Nyemela (13th March 2010), Roya Roy (27th January 2010), Sabasaba (24th January 2010), Sinkala (15th March 2010), Sipo (1st February 2010), Tripo9 (24th January 2010), Tumain (21st February 2010)
tuko pamoja dada
 
Mko wengi sana hongereni wengine sisi ni watani zenu wa jadi

The Following 26 Users Say Thank You to nyani<abiziani> For This Useful Post: BelindaJacob (24th February 2010), Chrispin (3rd March 2010), Cynic (31st January 2010), De Novo (24th January 2010), ICU (13th March 2010), jacobae (28th February 2010), Janjaweed (12th February 2010), jmushi1 (31st January 2010), Kakalende (1st February 2010), KIWAVI (27th January 2010), Lighondi (24th February 2010), Mafuluto (31st January 2010), Masika (21st February 2010), matambo (9th February 2010), Mbu (14th March 2010), Mfumwa (7th March 2010), Mkorintho (Today), MzeePunch (23rd January 2010), Ndege ya Uchumi (23rd January 2010), Patrick Nyemela (13th March 2010), Roya Roy (27th January 2010), Sabasaba (24th January 2010), Sinkala (15th March 2010), Sipo (1st February 2010), Tripo9 (24th January 2010), Tumain (21st February 2010)
tuko pamoja dada
 
Mwenye namba ya Clifford Ndimbo aiweke hapa nasi wengine tujaribu kuwasiliana naye. Sisi wengine kazi hazifanyiki, matumbo moto.

Mpira ni mapumziko, kwa mujibu wa Cliford Ndimbo, Simba 2 - Wazimbawe 0. Magoli yamefungwa na Mgosi na Banka
 
Hivi mpira umeanza saa ngapi watani?,maana nimeangalia Dullonet kuna jamaa kasema mpira umekwisha Lengthens 3 Simba 2(angalia hapa http://www.dullonet.com/index.php ) Sasasijui kuna ukweli ama,kama ni kweli hongereni,magoli mawili ya ugenini ni mazuri kwa 2nd leg

Achana naye huyo, tunawasiliana na Ndimbo moja kwa moja toka Zimbabwe, mpira ni mapumziko, Simba wanaongoza mabao 2 kwa bila. Magoli yamefungwa na Mussa Hassan Mgosi na Mohamed Banka!
 
Kwa hiyo kampira bado kanaendelea watani wajitayarishe tu manake hata kale kathread kao hakana hata uhai lol
 
Sisi habari zetu nyingi tunazijadilia hapa http://yangatz.blogspot.com/ ....Heri yenu ninyi mnaotegemea zaidi JF kuhabarishana...Ndo maana hata utakuta mara nyingi timu inapocheza CM hutupa updates live.....Nawatakia kila la heri mshinde mechi ya leo watani
 
Bantalanda acha kuuchekesha WATU yaani wewe na akili yako timamu unataka kufananihs JF na blogspot yenu?hapa JF kila kitu nyie wenyewe mnachukulia hapa ndio mnaandika kule.
 
Usikurupuke(pengine inaweza ikawa hata changamoto kwenu),nani kakwambia naifananisha JF na blogspot?,afterall nini maana ya blogging(kwani hata hapa JF si ni kama tunablog tu aisee)..Mimi nimemjibu huyo aliyesema kwamba thread yetu inasuasua,nimemwambia kwamba habari zote zinazohusiana na Yanga twazijadili pale kwenye blog yetu(kwamba hata tunapocheza updates huwa zinatoka pale ndo zaletwa ha JF)...Ile blog ni source ya habari kwa JF kama zilivyo Michuzi blog n.k...Usikurupuke bana...Kule bloguni tunaye CM ambaye huzunguka Yanga inapocheza akiwa na Laptop yake na kutujuza kila kitu kinachoendelea katika mechi husika

Mimi nilijua hii yaweza kuwa changamoto kwako wewe kama mpenzi wa Simba kujiorganize na wanaMsimbazi wenzio kuanzisha japo kablog katakakuwa kanatoa taarifa muhimu za klabu(huku mkiwa katika hatua za kuanzisha tovuti) ,nina tumaini mngekuwa na blog hata haya matokeo ya leo tungekuwa tukiyapata kwa uhakika zaidi badala ya kutegemea simu kutoka kwa Ndimbo...Mimi nilijua natoa changamoto,badala yake umeniijia juu kwa kuniambia nitumie akili(sasa sijui natumia nini,dah!!!aaaaaaargh),haya bana.Kila la heri,samahani kama nimekukwaza mkuu wangu
 
Jmani tumepewa matokeo ya aina mbili Simba2 wa Zmb3 na Simba2 wa Zimb0, yapi sahihi?

Hayo niliyoyatoa awali sina uhakika nayo aisee,nimeyakuta kulee Dullonet...Ndo maana utaona nimeifuta hata post ile baada ya kupata matokeo haya toka kwa Ndimbo
 
Back
Top Bottom