Siku za Shibuda ndani ya CHADEMA zahesabika

Ule ni mkutano wa moja ya chama kikongwe na kikubwa barani Afrika; walikuwepo wanadiplomasia kutoka nchi kadhaa; Dr Slaa hawezi mikutano kama ile amezoea kusimama kwenye majukwaa kusema uzushi na uwongo; game ya Kizota kubwa ni wachezaji mahiri wenye viwango vya kina Lionel Messi; cristiano Leornado, Ibrahimovic tu wenye uwezo wa kusimama kwenye mikutano ile na kusema maneno ya hekim; Dr. Slaa kiwango chake ni Mrisho Ngassa hapawezi!

Chama
Gongo la mboto DSM

Dr slaa anakunyima usingizi kabisa! Du huyu dr wa ukweli ni jembe, mwisho wa siku mtaanza kujichekesha chekesha kwake. Time will tell.
 
kama kichwa cha panzi umekuwa bora basi Chadema mmekwisha; Hujui kama samaki anakili nyingi? Hivi sasa US Navy wanawafundisha Dolphins kutegua mabomu baharini angalia Discovery channel utaona na jinsi gani samaki wanahekima kumzidi Amani

Chama
Gongo la mboto DSM

Mfano uliotoa pamoja na ukweli kinachoendelea hauko correlative na subject matter. Hivi kitu kikifundishwa na binadamu kikafanya vitu ambavyo binadamu anaweza kufanya sasa mwenye akili ni nani. Binadadamu nayefundisha au mnyama au robot?
 
John Shibuda ni mwanasiasa alivyohama kwenye chama cha siasa CCM na kuhamia Chadema matarajio yake yalikuwa ni kuwa na angeendeleza harakati zake za kisiasa matokeo yake hadithi aliyoikuta Chadema ni tofauti siasa za Chadema ni za watu wawili tu wapambe wao; alichokuwa akisema ni ukweli mtupu; na ndio sababu si mwenyekiti wala katibu mwenye uwezo wa kumkabili wanaogopa uchafu wao utawekwa hadharani.

Chama
Gongo la mboto DSM
Hivi wewe chama sijui CCM unashabikia Shibuda kwa lipi??? Mkutano wa CCM ulioisha hapo Kizota umeonyesha uozo mkubwa ulioko CCM, Wakubwa wenyewe wa CCM wanalalamikia rushwa na hawana wajibu ya kumaliza rushwa, sasa wakimpa Shibuda kitu kidogo ili aende kuropoka ujinga wewe umeona hiyo ni deal kubwa mpaka unasifia jasho linakutoka!!! Sioni jipya kwenye kwenye mikutano ya CCM ila ni muendelezo wa kuhalalisha rushwa, wananchi wameisha wajua na watu aina ya Shibuda zahama yao inakuja subiri!!!!

Ule ni mkutano wa moja ya chama kikongwe na kikubwa barani Afrika; walikuwepo wanadiplomasia kutoka nchi kadhaa; Dr Slaa hawezi mikutano kama ile amezoea kusimama kwenye majukwaa kusema uzushi na uwongo; game ya Kizota kubwa ni wachezaji mahiri wenye viwango vya kina Lionel Messi; cristiano Leornado, Ibrahimovic tu wenye uwezo wa kusimama kwenye mikutano ile na kusema maneno ya hekim; Dr. Slaa kiwango chake ni Mrisho Ngassa hapawezi!

Chama
Gongo la mboto DSM

Acha kuongea upuuzi maana huna jipya ambalo unalijua, unawezaje kusema Dr slaa awezi mikutano hio wakati anawapasha moto akishika mic na pia nyinyi ccm mnakodishaga watu kutoka mbali ili muonekane mnawatu wengi wakati ni bureeeee.
 
Sawa na kumualika jirani yako na mkewe kwenye tafrija nyumbani kwako halafu mke wa jirani akusifie kwa hotuba '' Jirani wewe ndio mwanaume wa maana kabisa mtaani hapa mwenye akili nyingi na utajiri mkubwa kabisa kuliko wanaume wote mtaani hapa''............sijui mume atajisikiaje......anyway mtoa thread na Shibuda must be birds of the same feather
. I like this.
 
Shibuda kweli ni Messi wa chadema. Ngoja tumpe mda awafundishe akina Slaa siasa isiyo ghoshiwa.
 
Shibuda kweli ni Messi wa chadema. Ngoja tumpe mda awafundishe akina Slaa siasa isiyo ghoshiwa.

Bora mngesema Michael Duberry kuliko MESSI.......Messi anafunga timu pinzani huyu SHIBUDA naye anafanya hivyo au anajifunga mwenyewe?

_44202185_duberry_getty.jpg
 
Shibuda ni mwehu wa kisiasa hajui anachokisimamia, kwanza alitaka uenyekiti wa jumuiya ya wazazi ccm akabwaga alipoambiwa na Shehe Yahya atakayempinga Kikwete atakufa AKILI IKAMKAA SAWA ni MSANII
 
Bora mngesema Michael Duberry kuliko MESSI.......Messi anafunga timu pinzani huyu SHIBUDA naye anafanya hivyo au anajifunga mwenyewe?

_44202185_duberry_getty.jpg

Naomba utoe sababu kwenye hiyo hotuba yake kuthibitisha unayosema. La sivyo nitakuona unapayuka ovyo ovyo na nitakuona hunazo kichwani.
 
wanabodi
mkutano mkuu wa ccm umemalizika kwa kishindo mjini dodoma; katika mapitio ya hotuba nimeguswa sana na hotuba ya mgeni mualikwa mbunge wa chadema mh. John shibuda; hotuba yake imetoa hisia si kwa vyama vya upinzani tu hata kwa ccm yenyewe; shibuda ameonyesha kukomaa kisiasa; hivi sasa kwenye medani za siasa za chadema shibuda anacheza kwa umahiri mkubwa kama mwanasoka lionel messi; wanabodi haya ndiyo maneno ya shibuda

“ccm mna mtandao mpana sana nchi nzima…hakuna chama cha upinzani chenye mtandao kama wenu kwa vile havina uwezo,” alisema.

Hata hivyo, alikitaka chama hicho kufanya kazi chenyewe badala ya kutegemea kifanyiwe na vyombo vya dola.

Alimpongeza rais kikwete kwa moyo wake wa uvumilivu katika masuala mbalimbali hali ambayo imesaidia sana kuleta utulivu ana amani iliyopo.

Aliwataka viongozi wa vyama vingine kuwa na hotuba zenye dhamira ya kuleta amani nchini badala ya vurugu.

“nasikitika sana, ccm ni chama tajiri, chama cha kuigwa afrika katika ukombozi, ni chama chenye falsafa nzuri na ni shamba darasa la kujisahihisha…lakini itakuwa ni aibu wakiacha utajiri huo ukikwapuliwa na mwewe,” alisema.

Alikitaka kitumie utajiri huo kuwajengea vijana elimu ya uraia ili kwa vijana wote wa bara na visiwani.

Alisema wapo ambao watashangaa kumwona kwenye mkutano wa ccm na hao ndio watakaomwita kuwa eti ni msaliti lakini akafafanua kwamba upinzani sio ugomvi"

chama
gongo la mboto dsm

wana chadema wana imani nae??
 
Naomba utoe sababu kwenye hiyo hotuba yake kuthibitisha unayosema. La sivyo nitakuona unapayuka ovyo ovyo na nitakuona hunazo kichwani.

Mwanasiasa mkomavu siku zote anazo values na ethics na anazisimamia hata kama atakuwa tofauti na wengine. Kwa mfumowetu wa siasa chama ndicho kinaweka values na ethics in place. Mikakati yote itakayofanywa na wanasiasa au mwanasiasa should agree with values short of that ni kupayuka. Ndio maana mchangiaji mmoja anasema mnatumia neno ukomavu wa kisiasa vibaya maana hata yule mnayesema ni mkomavu hana purpose. Muulize Shibuda what's your purpose hajui na wala hana. Alikimbia CCM ambapo hakuna purpose, values na ethics akaenda CDM. Kule wanayo yote hayo na mtu ambaye hana purpose siku zote utamjua maana atakuwa mpayukaji, hajui asem nini na kwa wakati gani na siku zote hutaka huruma toka kwa wale anaowaona maadui. Huwezi kumsifia baba mwenye nyumba halafu ukasema mkeo na watoto ni majambazi na ndio wenye matatizo. Mwenye tatizo ndiye mwenye nyumba aliyeshindwa kuweka system au value chain ya values, purpose, ideology, culture na ethics. Hapa ahakuna cha kusifia kwa Shibuda wala hatuwezi kusema kuwa alitoa hotuba ya kumzidi JK ambayo nayo ilijaa fanciful language which made the audience laugh but short of anything tangible
 
Naomba utoe sababu kwenye hiyo hotuba yake kuthibitisha unayosema. La sivyo nitakuona unapayuka ovyo ovyo na nitakuona hunazo kichwani.

Naweza kuwa sinazo kweli.......lakini wewe niambie shabiki wa YANGA akakae jukwaa la SIMBA halafu aisifie SIMBA akirudi YANGA itakuwaje?
 
Wanabodi
Mkutano mkuu wa CCM umemalizika kwa kishindo mjini Dodoma; katika mapitio ya hotuba nimeguswa sana na hotuba ya mgeni mualikwa mbunge wa Chadema mh. John Shibuda; hotuba yake imetoa hisia si kwa vyama vya upinzani tu hata kwa CCM yenyewe; Shibuda ameonyesha kukomaa kisiasa; hivi sasa kwenye medani za siasa za Chadema Shibuda anacheza kwa umahiri mkubwa kama mwanasoka Lionel Messi; wanabodi haya ndiyo maneno ya Shibuda

"CCM mna mtandao mpana sana nchi nzima…hakuna chama cha upinzani chenye mtandao kama wenu kwa vile havina uwezo," alisema.

Hata hivyo, alikitaka Chama hicho kufanya kazi chenyewe badala ya kutegemea kifanyiwe na vyombo vya dola.

Alimpongeza Rais Kikwete kwa moyo wake wa uvumilivu katika masuala mbalimbali hali ambayo imesaidia sana kuleta utulivu ana amani iliyopo.

Aliwataka viongozi wa vyama vingine kuwa na hotuba zenye dhamira ya kuleta amani nchini badala ya vurugu.

"Nasikitika sana, CCM ni chama tajiri, chama cha kuigwa Afrika katika ukombozi, ni chama chenye falsafa nzuri na ni shamba darasa la kujisahihisha…lakini itakuwa ni aibu wakiacha utajiri huo ukikwapuliwa na mwewe," alisema.

Alikitaka kitumie utajiri huo kuwajengea vijana elimu ya uraia ili kwa vijana wote wa Bara na Visiwani.

Alisema wapo ambao watashangaa kumwona kwenye mkutano wa CCM na hao ndio watakaomwita kuwa eti ni msaliti lakini akafafanua kwamba upinzani sio ugomvi"

Chama
Gongo la mboto DSM

kati ya makosa waliyofanya CHADEMA ni kulipokea hili duduwasha ndani ya chama,yaani halifai kabisa.
 
Naweza kuwa sinazo kweli.......lakini wewe niambie shabiki wa YANGA akakae jukwaa la SIMBA halafu aisifie SIMBA akirudi YANGA itakuwaje?
Tatizo lako nimelielewa sasa. Oh sawa! ndugu usichukulie siasa kuwa sawa na mpira wa miguu. Ni tofauti kabisa. Siasa sio uadui ni sera tofauti kwa ajiri ya kujenga kitu kimoja, kwa upendo, umoja, na mshikamano bila chuki.
Sasa kwa mantiki hiyo shibuda kisa lake ni nini. Je awachukie CCM na mikutano yao, hata akialikwa asiende?

Hivi unajua hata dini nazo ni sera tu za kumjua mungu.
Hivi kama wewe ni muislamu ukaalikwa kwenye sherehe ya wakristo uache?! Kwa sababu tu kwamba sera zenu tofauti?

Ndugu Safari_ni_Safari Siasa sio uadui ni sera tofauti tu. Acha chuki.

Wanasiasa wetu wote tunawahitaji haijarishi CCM, TLP, CDM nk kwa ajiri ya maendeleo.

Ukilijua hilo hutakuwa na chuki na Shibuda.
 
Wapi nimesema nina chuki na Shibuda? HANIJUI WALA SIMJUI......Aliyeleta masuala ya mpira hapa ni mimi au ni nyinyiemu? Nadahani hata sera huelewi ni kitu gani......unless unamaanisha itikadi......ningekuomba usome thread nzima na sio vipandevipande kabla ya kuhitimisha mawazo yako!
 
Samahani sana ndungu kama sijakuelewa vizuri.
Nipale ulipoingiza suara la mshabiki ya yanga kwenda kukaa simba. Kwangu binafsi sijaliona kosa la shibuda. Na amesema kweli kuwa CCM nichama kongwe africa na nchi nyingi sana zinajifunza kotokana na CCM. Mimi nimekuuliza kosa la shibuda ni nini? hukunijibu. So what?
 
Huhitaji kupanda hasira. NIMEKUULIZA UMEISOMA THREAD NZIMA AU HIYO POST YANGU MOJA? Naona hujanijibu hilo...sasa nikuulize tena mpinzani wa dhati anaweza kutamka haya?......"Nasikitika sana, CCM ni chama tajiri, chama cha kuigwa Afrika katika ukombozi, ni chama chenye falsafa nzuri na ni shamba darasa la kujisahihisha…lakini itakuwa ni aibu wakiacha utajiri huo ukikwapuliwa na mwewe," alisema. Na kwangu mimi hilo ndio kosa lake....kwako wewe si kosa

Kama huna majibu niache kwanza
 
Back
Top Bottom