Siku za Shibuda ndani ya CHADEMA zahesabika

Niliposoma heading nikajua Chadema wamemfukuza Shibuda kumbe maigizo tu...Chadema hawana ubavu wa kumfukuza Shibuda hata siku moja Shibuda ni Kamanda sio diwani wa Arusha utamfukuza kwa barua.

Tutamfukuza tukiamua, ila kwakuwa ameshajifukuzisha mwenyewe hatuhangaiki nae sisi!
 
mzee wa ushuru wa mwiha,sioni analofanya kukisaidia chama,mtimueni kuanza upya si ujinga.athari atakazoleta ni kubwa kuliko zile zitakazokuja baada ya kumtimua.
 
Ule ni mkutano wa moja ya chama kikongwe na kikubwa barani Afrika; walikuwepo wanadiplomasia kutoka nchi kadhaa; Dr Slaa hawezi mikutano kama ile amezoea kusimama kwenye majukwaa kusema uzushi na uwongo; game ya Kizota kubwa ni wachezaji mahiri wenye viwango vya kina Lionel Messi; cristiano Leornado, Ibrahimovic tu wenye uwezo wa kusimama kwenye mikutano ile na kusema maneno ya hekim; Dr. Slaa kiwango chake ni Mrisho Ngassa hapawezi!

Chama
Gongo la mboto DSM
Una mawazo mazuri sana, Chama Wa Gongo La Mboto, lakIni punguza chuki kwa binadamu wenzako. Inaonesha unamchukia Dr Slaa kwa kiwango kikubwa kuliko hata unavyomchukia shetani na mambo yake! Uwe unatufahamishe, ni wapi hasa Dr Slaa amesema uwongo? Labda ni pale Mwembe Yanga alipotoa ile List Shame? Au wapi, ili na sisi tunaotumia vichwa kufikiri uweze kutunasa, utazidi kushangaa Slaa na CDM wanazidi kupata followers pamoja na propaganda zako zoote!
 
Akifukuzwa,AMEONEWA!!
Akiachwa,AMEOGOPWA!!

Huo ni utoto! Watu wanahangaika na kumkomboa Mtz na si kuondoa huyo mlaaniwa. Ameshafukuzwa na Mungu asubiri majipu yake na aende kwa hao anaowategemea, yetu macho. Nasikia uchungu sana Mwanaume kama yeye kuwa kibaraka huku kwake kunateketea anasababisha laana mpk kwenye familia yake.
 
Back
Top Bottom