JAMES NTOBI
Member
- Oct 3, 2012
- 24
- 2
Kwa hiyo hawa wanaotamba wameishi miaka 132 watakuwa wameishi masaa mangapi kwa mujibu wa hesabu za Mungu? let's share experience ingawa ni za kibinadamu!
Kile ni kipaji hujaona free style?Mwenye kipaji anaimba wakati wowote uleNikifikiri nyimbo za yule tumbo kubwa Komba naishiwa imani. Alitunga lini?
Habari za humu ndani wanajamvi? ashakumu si matusi; nimemua kuleta mada hii kama tafakuri binafsi na kwa ajiri ya utafiti zaidi ili nipate kuelewa na kuondoa utata nilionao. mwaka ambao baba wa taifa alitutoka (1999) nilikuwa darasa la sita. nakumbuka kabla tarehe ya kifo chake kutangazwa yaani 14/10/1999 yapata kama wiki mbili kabla hivi tulitangaziwa kuwa baba wa taifa yu mahututi anapumulia mashine ila kilichonishangaza zaidi ni pale baada ya kifo chake tu kutangazwa hapo hapo komba na bendi yake walianza kuimba nyimbo za kumuenzi.swali la kujiuliza alitunga saa ngapi na aliwafundisha saa ngapi wafuasi wake mpaka waweze kuimba? maswali hayo ndiyo yanayonifanya niamini kuwa tarehe 14/10/1999 ni tarehe ambayo kifo cha baba wa taifa kilitangazwa ila alikufa kabla ya hapo.
NB. NI MTAZAMO WANGU NAOMBA MITAZAMO YENU PIA KATIKA UHALISIA WA HILI TUKIO.
Ukweli hauwezi funikwa siku zote. Ni kama kuuzuia moshi kwa kawa.
Kama vile kuvuja kwa taarifa za mipango na utekelezaji wa kumwua Nyerere kulivyokuwa, kisha kuibukia 2012 kwa uwazi zaidi. Ndivyo tarehe rasmi ya kufariki inapojulikana.
Nyerere alifariki tarehe 7 Oktoba 1999.
Tarehe nyingine ni danganya toto. Ukweli unasema, huwezi kuwadanganya watu wote kwa nyakati zote. Ndicho serikali iliyoongozwa na B W Mkapa ilichofanya.
JKN Nyerere hakufa natural Death! a Moment alipoenda kupima afya yake St. Thomas UK... Makuwadi wa Mabeberu chini ya Mkapa waliandaa kila kitu kuhakikisha kuwa Baba wa Taifa harudi hai! Rejea Jarida Maarufu la Economist 1998 "Tanzania After Nyerere" ... Conspiracy iko wazi hadi kwenye Ulipuaji wa Balozi za US Dar es Salaam na Nairobi Kenya! Baada ya Nyerere Base ya USA ilihamishiwa Dar es Salaam... Sera za Madini, Sera za Fedha na Ubinafsishaji viliratibiwa vizuri sana an Agent wao Ballali chini ya Mkapa... RIP Mwalimu ... we are done as a Nation ....
Mkuu, nionavo wengi tunashindwa kutofautisha kati ya kifo cha mtu mashuhuri/maarufu na cha mtu wa kawaida tu. Kumbukumbu zangu bado zinakubaliana na mtoa mada.Umekuaje hajafanya research? Binafsi sijui mwalimu alifariki lini ila najua kifo chake kilitangazwa tarehe 14 October. Kama angekuwa amefariki tarehe 14 iweje nyimbo za kina Komba zianze kupigwa radioni immediately dakika chache baada ya Mkapa kutangaza kifo chake?