Siku ya kweli aliyokufa Mwl J K Nyerere

Mwalufunamba

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
211
129
Ukweli hauwezi funikwa siku zote. Ni kama kuuzuia moshi kwa kawa.

Kama vile kuvuja kwa taarifa za mipango na utekelezaji wa kumwua Nyerere kulivyokuwa, kisha kuibukia 2012 kwa uwazi zaidi. Ndivyo tarehe rasmi ya kufariki inapojulikana.

Nyerere alifariki tarehe 7 Oktoba 1999.

Tarehe nyingine ni danganya toto. Ukweli unasema, huwezi kuwadanganya watu wote kwa nyakati zote. Ndicho serikali iliyoongozwa na B W Mkapa ilichofanya.
 
Wewe wasema ingawa hatujui unasema kama nani na isaidie nini? Majungu ni elimu ya mpumbavu siku zote. Hata kama alikufa hiyo tarehe yako unadhani itamfufua au kutuongezea lolote? Shame on you!
 
Mleta mada, next time njoo na taarifa ambayo imekuwa backed up na ushahidi wa kutosha! Hizi thread nyingine nyepesi nyepesi zinatupotezea muda! Waulize vizuri Madaktari stages za kifo na ni wakati gani mtu anakuwa declared keshakufa! Zaidi ya hapo unatupotezea tu muda hapa!
 
Ukweli hauwezi funikwa siku zote. Ni kama kuuzuia moshi kwa kawa.

Kama vile kuvuja kwa taarifa za mipango na utekelezaji wa kumwua Nyerere kulivyokuwa, kisha kuibukia 2012 kwa uwazi zaidi. Ndivyo tarehe rasmi ya kufariki inapojulikana.

Nyerere alifariki tarehe 7 Oktoba 1999.

Tarehe nyingine ni danganya toto. Ukweli unasema, huwezi kuwadanganya watu wote kwa nyakati zote. Ndicho serikali iliyoongozwa na B W Mkapa ilichofanya.

Fear them not,,,,for there is nothing covered,that shall not be revealed;and hid that shall not be known.(MATHEW 10;26) hakika kama watu ama viongozi tungelifahamu hili hata habari za ufisadi tusingezisikia kwa sababu ni aibu kuwekwa hadharani kwa ubadhirifu ilhali ulikuwa ukijitangaza wewe ni msafi,lakini ukisoma mhubiri(ecclesiates 12;14) For God shall bring every work into judgement,with every secret thing,whether it be good,or whether it be evil.am waiting for my God who will rule the earth with the rod of peace na anakaribia kuja kutokana na hali ya sasa ya mashariki ya kati.
 
Ndio hata mimi nashangaa! Ooops kuanzia mwakani watoto wangu hakuna kwenda shule tar.7
 
Ukweli hauwezi funikwa siku zote. Ni kama kuuzuia moshi kwa kawa.

Kama vile kuvuja kwa taarifa za mipango na utekelezaji wa kumwua Nyerere kulivyokuwa, kisha kuibukia 2012 kwa uwazi zaidi. Ndivyo tarehe rasmi ya kufariki inapojulikana.

Nyerere alifariki tarehe 7 Oktoba 1999.

Tarehe nyingine ni danganya toto. Ukweli unasema, huwezi kuwadanganya watu wote kwa nyakati zote. Ndicho serikali iliyoongozwa na B W Mkapa ilichofanya.

umekuwaje mkuu, ndo umeamka au umenyweshwa valuu, hakuna kitu umeandika
 
Back
Top Bottom