Thanda
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,915
- 596
Mtu wa kwanza kuishi masha marefu ni Methusela...huyu jamaa aliishi miaka 969. Hakufikisha miaka 1000 kwa sababu miaka hiyo elfu moja kwa Mungu ni sawa na siku moja. Hivyo hakuna mwanadamu aliyeishi mwaka mmoja (kibiblia) kwani Mungu alimwambia mwanadamu siku utakayotenda dhambi ndiyo utakayokufa. Hivyo mwanadamu alitenda dhambi kabla ya kumaliza siku moja....Hongera mdau.