Siku PM zikiongea

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,175
based ona imagination.

Siku PM za watu wote zikiwekwa wazi itakuwaje?
Ni pm za akina nani utataka kuzipitia kwaza, top 3
na unadhani nani hatapenda kabisa hiyo idea?

Mie ntapenda kuona za washawasha, bujibuji na rejao, nahisi ntacheka sana.
 
Mimi ni nadra sana kupata PM. Nadhani watu wananiogopa.

Nyani Ngabu
Sounds like an invitation to treat to me au?

Kongosho
Mimi ningependa kuona za "Baba Mngoni ,mama mchagga" (sorry I forgot her name)
 
Mimi napenda sana hiyo idea. . . naweza nikaanza kwa kukupa access ya zangu.

Kwani nini cha ajabu kinaongelewa PM zaidi ya story za hapa na pale na kutongozana kwa uongo na kweli?
 
Kama mimi nna picha yako niloijenga kichwani kwangu, duuu! Huwa najisemea kama NN ni baba mwenye mke na watoto basi huyo mke na watoto kazi wanayo, manake kuwa na mume au baba mkali kama wewe yataka moyo aisee, hivyo inaezekana picha yangu iko sahihi.

Usinigombeze tafadhali ni hisia zangu ndio zinavyokuona hivyo!
Mimi ni nadra sana kupata PM. Nadhani watu wananiogopa.
 
Kama mimi nna picha yako niloijenga kichwani kwangu, duuu! Huwa najisemea kama NN ni baba mwenye mke na watoto basi huyo mke na watoto kazi wanayo, manake kuwa na mume au baba mkali kama wewe yataka moyo aisee, hivyo inaezekana picha yangu iko sahihi.

Usinigombeze tafadhali ni hisia zangu ndio zinavyokuona hivyo!

Ahahahahahaaaaaaaaa....daaaah kumbe mi mkali eeeh?

I am the coolest daddy ever....ask both of my daughters and they will tell you.
 
Lizzy, dont assume. Inaelekea hujui criminology unaongelea sociology tu.

Kwani nini cha ajabu kinaongelewa PM zaidi ya story za hapa na pale na kutongozana kwa uongo na kweli?
 
Msamehe bure kiswahili wito labda kingereza

Kama mimi nna picha yako niloijenga kichwani kwangu, duuu! Huwa najisemea kama NN ni baba mwenye mke na watoto basi huyo mke na watoto kazi wanayo, manake kuwa na mume au baba mkali kama wewe yataka moyo aisee, hivyo inaezekana picha yangu iko sahihi.
 
Lizzy, dont assume. Inaelekea hujui criminology unaongelea sociology tu.

Kama nisingekua mmoja wa wanaotuma na kupokea PM ndo ningekua naassume.
Hamna chochote cha ajabu. . . yake yale tu tuliyozoea.
 
tunatofautiana matumizi ya vitu, unaweza kuta wengine wanapanga kushika mitutu humu humu, wewe tumizi lako ni hilo

Back
Top Bottom