Siku PM zikiongea

Mimi nimeziweka kwenye fail humu humu lakini nimeliwekea password. Vile vile nimehifadhi kopi kwenye usb, just in case. Nyengine nimechapisha kwa herufi kubwa na kupachika pembeni ya kitanda, na mbili tatu ninatembea nazo mfukoni kama hirizi - lol!
Lol.... Mimi natamani kuziona hizo za mfukoni
 
Siku Mayowe yakiongea

Watayaona wenywe!
Kwanı chawawashıanı?!!
Sıku PM zıkıongea mı ntaıbuka kıdedea coz sıjawahı tongoza ke kuptıa pm zaıdı ya kumsıfıa ke kwa eıther how polıtely ıs she or just the way she reply to others posts!
 
safi sana, ukiingia kwenye fani lazima uwe umedhamiria.
Mie uwa nazisoma afu najitungia na mtihani

question 1; what did X say kwenye pm yake ya 52?
Quetion 2; pm ipi ni more interesting, ilitumwa na nani saa ngapi?

Na kuendelea......
Mimi nimezi-print nimezibandika ukutani na mlangoni..
 
Mtu kama hajui anaweza akasema hii thread imechangiwa na mtu zaidi ya mmoja.
 
Hili ni somo tosha, naprint sasa hivi.

Mimi nimeziweka kwenye fail humu humu lakini nimeliwekea password. Vile vile nimehifadhi kopi kwenye usb, just in case. Nyengine nimechapisha kwa herufi kubwa na kupachika pembeni ya kitanda, na mbili tatu ninatembea nazo mfukoni kama hirizi - lol!
 
kwani kutongoza ni aibu?

Hata mke alianza kwa kutongozwa au?

Back
Top Bottom