Sisi midume bana usimue demu kaacha wazi sehemu yake ya mwili, tutaitolea macho hapo khaa....
hasa kwenye daladala demu akiwa amevaa kimini utachungulia mapaja, kitop utaangalia kiunoni.
SASA JE NIVYAKULA AU NI NINI TATIZO.
Sio jambo la kuuliza nitapiga chabo tuuu...kuna na vile vikamba wanatuvalia na unakuta demu anainuka kwenye kiti makusudi vile kama anainama hivi loooh hawa dada ni viboko...
Sio jambo la kuuliza nitapiga chabo tuuu...kuna na vile vikamba wanatuvalia na unakuta demu anainuka kwenye kiti makusudi vile kama anainama hivi loooh hawa dada ni viboko...
ni kufurahia na kua-appreciate uumbaji wa mungu. tatizo ni pale unapotaka kujimilikisha kwa nguvu. hata sie huwa tunawachabo,tofauti sie tunaangalia kipembeni, nt necessary tuwe tumevutiwa. hata maajabu tunachabo tu,relax kaka!
Huwa natamani kupeleka mkono walau niguse kidogo...kibaya zaidi ni pale anapogundua naye akaamua kukuonea huruma..anaaamua kuachia zaidi hadi kwenye milango ya V,huwa najikuta nasali ile sala ya ...na sasa ni saa ya kufa kwetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.