Sijui ni vyakula tunavyokula......

luckyperc

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
495
46
Sisi midume bana usimue demu kaacha wazi sehemu yake ya mwili, tutaitolea macho hapo khaa....
hasa kwenye daladala demu akiwa amevaa kimini utachungulia mapaja, kitop utaangalia kiunoni.
SASA JE NIVYAKULA AU NI NINI TATIZO.
 
unatakiwa umalize haja zako kwa mkeo,kabla hujaanza mishemishe
itakusaidia
 
Damu zinachemka ukiona umeona vitu kama hivyo na hujatamani ujue we si mwenzetu....
kweli kabisa hebu pata picha demu amepiga kimini then akakaa kwenye siti ya tairi miguu akainua unafikiri utafanyaje wewe.
 
kweli kabisa hebu pata picha demu amepiga kimini then akakaa kwenye siti ya tairi miguu akainua unafikiri utafanyaje wewe.

Sio jambo la kuuliza nitapiga chabo tuuu...kuna na vile vikamba wanatuvalia na unakuta demu anainuka kwenye kiti makusudi vile kama anainama hivi loooh hawa dada ni viboko...
 
Sio jambo la kuuliza nitapiga chabo tuuu...kuna na vile vikamba wanatuvalia na unakuta demu anainuka kwenye kiti makusudi vile kama anainama hivi loooh hawa dada ni viboko...
mama weehhh hapo ndo sasa mimi huwa sitoi macho.
 
Demu ukute amevaa transparent halafu mwanga wa gari ukamulika na kuchora kule kwenye mapaja dah.........
 
Huku kwetu tunaita "kuzingatia".
Usipozingatia una matatzo.
 
ni kufurahia na kua-appreciate uumbaji wa mungu. tatizo ni pale unapotaka kujimilikisha kwa nguvu. hata sie huwa tunawachabo,tofauti sie tunaangalia kipembeni, nt necessary tuwe tumevutiwa. hata maajabu tunachabo tu,relax kaka!
 
Huwa natamani kupeleka mkono walau niguse kidogo...kibaya zaidi ni pale anapogundua naye akaamua kukuonea huruma..anaaamua kuachia zaidi hadi kwenye milango ya V,huwa najikuta nasali ile sala ya ...na sasa ni saa ya kufa kwetu...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom