Sijui ku attach picha kwenye post kwa SIMU.

Tatizo sio operamini mimi natumia ucbrowser lakini na face the same problem itabidi mods wa jf waangalie tatzo
Nokia 2330 c,nafkir tatizo itakua opera,coz baada ya ku attach kuna kitufe cha "close this windom" ukibonyeza hai respond unabak pale pale,ASANTE MKUU KWA USHAURI!
 
Huna akili

hebu angalia hata jina lake utajua kuwa halina akili ndio maana linavamia majukwaa yasiolihusu ndevu mzazi kweli we kilaza. hebu nenda kwenye jukwaa la majuha kama wewe waache wataalamu waendelee kutoa elimu.
 
Tatizo sio operamini mimi natumia ucbrowser lakini na face the same problem itabidi mods wa jf waangalie tatzo

Sasa opera na ucweb si baba mmoja na mama mmoja?

Zote zimetengenezwa kufanya high compression ya data ili mtumiaji simu aweze kubrowse website kubwa na kuliwa bandwitch ndogo.

Ili kufanya hayo inabidi iskip script za aina nyingi mfano ni javascript na ndo kinachotokea hapo tatizo si jf bali ni 3rd part browser

Ili kujua zaidi kua tatizo sio jf nenda website zinazotaka kabla ya kudownload file usubiri sekunde kadhaa utaona dhahiri zile sekunde hazitembei.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom