Sijajua kwanini inakuwa changamoto kwangu kupata platonic female friends (marafiki wa kike)

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,699
Hi, ninavomaanisha platonic female friends namaanisha marafiki wa kike ambao sijawahi kuwatongoza, sijawahi kutembea nao, na sina mpango wa kuja kuwatongoza au kutembea nao.

Utakuta nakutana na mdada naipenda personality yake, nachukua namba yake, naamua kumfanya rafiki wa jinsia tofauti kwa ajili ya kubadilishana mawazo ya hapa na pale, mara nyingi tukichat na ku-interact baada ya miezi 4, mdada anaishia kunipotezea, au kufuta namba yangu, ilhali sijamkwaza, hajanikwaza, na hatujawahi gombana, na wala kipindi chote hicho sijawahi mtongoza hata chembe.

Mlio na marafiki wa kike, urafiki wenu ukakuwa hadi mkawa kama dada na kaka/ndugu, hao marafiki mnawapataje?
 
Hi, ninavomaanisha platonic female friends namaanisha marafiki wa kike ambao Sijawahi kuwatongoza, sijawahi sex nao, na sina mpango wa kuja kuwatongoza au kusex nao, utakuta nakutana na mdada naipenda personality yake, nachukua namba yake, naamua kumfanya rafiki wa jinsia tofauti kwa ajili ya kubadilishana mawazo ya hapa na pale, mara nyingi tukichat na ku-interact baada ya miezi 4, mdada anaishia kunipotezea, au kufuta namba yangu, ilhali sijamkwaza, hajanikwaza, na hatujawahi gombana, na Wala kipindi chote hicho sijawahi mtongoza hata chembe.

Mlio na marafiki wa kike, urafiki wenu ukakuwa hadi mkawa kama dada na kaka/ndugu, hao marafiki mnawapataje?
Mmh!! Hi nchi yetu wengi bado tuko primitive in mind, hamna urafiki wa kike na mme, bila kuwaza ngono au kuomba pesa......hayo mawazo yako yarudishe ulaya uko hapa haiwezekani, kama yupo ni suala la mda hatujui kilinda urafiki bila hisia za ngono au kuomba pesa, ata ukisema umfanya mtu mzima arika la mama ako awe mshauri na rafiki yako, mwishowe ataanza kukutumia vi sms nimekumiss rafiki. Babie uko wapi, niko bored sana leo njoo home, naomba sh 10,000 nk
 
Well said
 
Mwanamke anaji attach na me iwe kirafiki au kimapenzi for benefit/reason.
mwanamke ana sababu kadhaa mojawapo ni
.financial support
hapa akikwama atahtaj backup kutoka kwako.
.me wa kumpa idea,ushauri katk mambo yake.
means akkuletea jambo anatarajia kupata mawazo au idea na aki apply ulomwambia yatiki kwa %85 iktokea hvyo atakuamini na atataka uwe karibu ake..
NB.Usilazmishe urafk na mwanamke fanya yeye atake kuwa karibu yako.
 
You said it all bouh!!!
Nimekuwa na friends wa jinsi ke for a long time kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu wakisikia nina lolote wananikimbilia same to me. Urafiki ambao imefika stage unaona ni dada yako,hata hisia za kuleta namna gani hakuna. Tukiwa na kazi ama discussion za masuala ukiona tulivyo utasema either ni blood related
 
Inategemea wewe upoje wanawake huwa wanapenda Ku-experience mambo tofauti na waliyoyazoea so ukiwa MTU wa Ku chart chart au call with no reasons ataku-dump whatever what you are.

Then wanawake ni as the same bindamu wengine walivyo ili MTU akupe umuhimu hakikisha you have something to offer to her or him

Either constructive ideas
Financial support
Emotional support
Spritual support

How comes MTU awe in touch with you without anything reasons!
 
Mimi ni keyboard warrior ila face to face Mimi ni introvert/ mkimya Evelyn Salt
Okay katika huo ukimya wako.....I guess kuna namna you are not treating well hao marafiki zako wa kike.

Nnavojua mie expections za wadada, we ni rafiki we chat nakueleza yangu unaniambia yako, nikiishiwa bando i expect sometimes unirecharge, hapa na pale nmekwama uniboost, hivyo yani unafanyaga??

Kama unafanya hayo na wanakimbia achana nao punda hao njoo uwe rafiki angu mwaya.
 
Inategemea wewe upoje wanawake huwa wanapenda Ku-experience mambo tofauti na waliyoyazoea so ukiwa MTU wa Ku chart chart au call with no reasons ataku-dump whatever what you are.

Then wanawake ni as the same bindamu wengine walivyo ili MTU akupe umuhimu hakikisha you have something to offer to her or him

Either constructive ideas
Financial support
Emotional support
Spritual support

How comes MTU awe in touch with you without anything reasons!
Aiiiiiii natafuta rafiki.....
 
Back
Top Bottom