Kwanini wadada wengi hampendagi kutuunganisha Kimapenzi, sisi wakaka na rafiki zenu wa kike?

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,697
Utakuta nimekutongoza umenikataa ukasema tuwe marafiki na nikakubali, au hata sijawahi kukutongoza ila sisi Ni mabesti, una rafiki wa kike uko karibu naye kuliko mimi

nilivo karibu nae, hivyo mm kukutana nae kumtongoza inakua sio rahisi Kutokana na ugumu wa kimazingira, kwanini tukiwaomba msaada wa kutuunganisha nao kimapenzi mara nyingi hua mnatukatalia?

REAL LIFE STORY:
Kuna mdada nilichukua namba yake, tulichat vizuri tu na kupigiana simu, ila akawa ananiletea head games Na usumbufu, nkiomba tuonane (Aje ghetto) anasema yuko bize, mara aniombe hela ile Siku za mwanzo mwanzo nlivochuka namba, nikaona hapa nimeshakataliwa, sina mtu, nlivotaka kumpotezea full, nikakumbuka huyu mdada ana urafiki na mdada ambaye namuona ana shape kuliko yeye, nikasema sifuti namba yake acha awe kama mshkaji wangu, Nliendelea kuchat naye kisela badae nikamwomba aniunganishie kimapenzi na huyo rafiki yake wa kike, kwasababu mazingira ya mm kukutana na huyo rafiki yake Face to face ni magumu, nimemuahidi hadi kumpa hela nzuri kama akinisaidia hilo jambo, nashangaa nimenuniwa, sms sijibiwi tena, simu zangu hapokei tena, pamoja na kuwa nimemwahidi na kumpa hela akinisaidia kwenye hilo.

Wana-Jf wenzangu, especially dada Zangu wa humu jf, msaada tutani mtu kama huyo nimweleweje?, mbona sisi marafiki wa kiume tunapeana namba za wadada? Na tunaunganishiana Kirahisi?? Depal Kalpana Lenie Demi Cillah Numbisa Kelsea Saint Anne
 
Anaona wivu njoo nikuunganishie dada mzuri na mwenye heshima ushindwe weye tuuu...huyo ana muonea gere mwenzie
 
Sasa iyo itakua roho mbaya, sasa hunitaki Kwann umuonee wivu mwenzio kama nikimpenda Kalpana
 
😅😅😅 Tongoza mwenyewe bwana, iweje nikutongozee
Mimi niliwahi kumtongoza mwenzake mbele yake hivi anaona aisee huo ugomvi uliozuka hapo sio wa nchi hii, wewe nimakutongoza umakataa naanza kumsaundisha mwenzio unaanza kunimind na ugomvi juu tena sio ugomvi mdogo, unamind nini sasa kisa nimekutongoza ukakataa au kunakuaga na kanini kawivu au karoho mbaya?
 
Sijui kwasababu sijawahi kukutana na hali kama hiyo. Ila mimi mtu akinituma nikamtongozee mwanamke namshangaa, naona ni utoto.
Tafuta means ya kumpata umtongoze mwenyewe na sitakuwa na tatizo kama nilikukataa.
 
Mimi nilimtongoza akaniletea habari zisizoeleweka mara hivi mara vile nikaona isiwe tabu si ana rafiki na rafiki yake ni mkali kumzidi yeye siku hio km bahati nikawakuta sehemu nikawasalimia safi nikachukua kiti nikaketi nikaomba mazungumzo na rafiki yake eeh km bahati mtoto kakubari ila akasema tuzungmzie pale pale kumbe na yeye kanielewa tukaanza story nikaanza kumuimbisha ila mbaya tupo kwenye meza moja na yule anaekataa yaan nikaanza kutupa sound pale pale na yeye (aliekataa) anaona weee akazusha ugomvi huo yaan ulizuka ugomvi mkubwa,

Sasa najiuliza huyu ana tatizo gani na wakati mwenzie wala hakupaniki tulikua tumeshafikia hadi hatua ya kuachiana namba kainuka anaanza kusema hapa nakwambia namba hupati eeeh nauliza wewe una matatizo gan kwan? Anakomalia hapa namba hupati anamwambie mwenzie Fei tuondoke achana nae huyu, unaona sasa najiuliza shida yenu hua ni wivu au roho mbaya?

Bad issue ni kwamba baada ya mda km wiki kupita yule binti Fei alitafuta namba yangu tukaendeleza mahusiano yetu maana alishanielewa ila alikua anasubiri niingie kwenye line yake ila yule mwenzie ambae nilimtongoza akanitolea nje alikua anataka kuweka kiwinga shida yenu hua inakuaga ni nini hasa?
 
Utakuta nimekutongoza umenikataa ukasema tuwe marafiki na nikakubali, au hata sijawahi kukutongoza ila sisi Ni mabesti, una rafiki wa kike uko karibu naye kuliko mimi

nilivo karibu nae, hivyo mm kukutana nae kumtongoza inakua sio rahisi Kutokana na ugumu wa kimazingira, kwanini tukiwaomba msaada wa kutuunganisha nao kimapenzi mara nyingi hua mnatukatalia?

REAL LIFE STORY:
Kuna mdada nilichukua namba yake, tulichat vizuri tu na kupigiana simu, ila akawa ananiletea head games Na usumbufu, nkiomba tuonane (Aje ghetto) anasema yuko bize, mara aniombe hela ile Siku za mwanzo mwanzo nlivochuka namba, nikaona hapa nimeshakataliwa, sina mtu, nlivotaka kumpotezea full, nikakumbuka huyu mdada ana urafiki na mdada ambaye namuona ana shape kuliko yeye, nikasema sifuti namba yake acha awe kama mshkaji wangu, Nliendelea kuchat naye kisela badae nikamwomba aniunganishie kimapenzi na huyo rafiki yake wa kike, kwasababu mazingira ya mm kukutana na huyo rafiki yake Face to face ni magumu, nimemuahidi hadi kumpa hela nzuri kama akinisaidia hilo jambo, nashangaa nimenuniwa, sms sijibiwi tena, simu zangu hapokei tena, pamoja na kuwa nimemwahidi na kumpa hela akinisaidia kwenye hilo.

Wana-Jf wenzangu, especially dada Zangu wa humu jf, msaada tutani mtu kama huyo nimweleweje?, mbona sisi marafiki wa kiume tunapeana namba za wadada? Na tunaunganishiana Kirahisi?? Depal Kalpana Lenie Demi Cillah Numbisa Kelsea Saint Anne
 
Utakuta nimekutongoza umenikataa ukasema tuwe marafiki na nikakubali, au hata sijawahi kukutongoza ila sisi Ni mabesti, una rafiki wa kike uko karibu naye kuliko mimi

nilivo karibu nae, hivyo mm kukutana nae kumtongoza inakua sio rahisi Kutokana na ugumu wa kimazingira, kwanini tukiwaomba msaada wa kutuunganisha nao kimapenzi mara nyingi hua mnatukatalia?

REAL LIFE STORY:
Kuna mdada nilichukua namba yake, tulichat vizuri tu na kupigiana simu, ila akawa ananiletea head games Na usumbufu, nkiomba tuonane (Aje ghetto) anasema yuko bize, mara aniombe hela ile Siku za mwanzo mwanzo nlivochuka namba, nikaona hapa nimeshakataliwa, sina mtu, nlivotaka kumpotezea full, nikakumbuka huyu mdada ana urafiki na mdada ambaye namuona ana shape kuliko yeye, nikasema sifuti namba yake acha awe kama mshkaji wangu, Nliendelea kuchat naye kisela badae nikamwomba aniunganishie kimapenzi na huyo rafiki yake wa kike, kwasababu mazingira ya mm kukutana na huyo rafiki yake Face to face ni magumu, nimemuahidi hadi kumpa hela nzuri kama akinisaidia hilo jambo, nashangaa nimenuniwa, sms sijibiwi tena, simu zangu hapokei tena, pamoja na kuwa nimemwahidi na kumpa hela akinisaidia kwenye hilo.

Wana-Jf wenzangu, especially dada Zangu wa humu jf, msaada tutani mtu kama huyo nimweleweje?, mbona sisi marafiki wa kiume tunapeana namba za wadada? Na tunaunganishiana Kirahisi?? Depal Kalpana Lenie Demi Cillah Numbisa Kelsea Saint Anne
Hii njia huwa ni nzuri sana kukupa mwanga kama unapendwa au utakatiliwa. Tatizo ndo huwa Ilo, anaetumwa mara nyingi anaonyesha dalili za wivu.Ndo maana mi nilikuwa namtumia mtoto wa ma mdogo kuniunganisha na classmates wake wa college
 
Back
Top Bottom