mzumbe ni chuo cha waliofeli na kushindwa kuingia udsm....kinazidiwa hata na SAUT, ni ajabu kusikia hicho ni chuo cha wenye akili...tafadhali tusichanganye mzumbe high school shule ya wenye vipaji na mzumbe university, kati ya vyuo vya wanaokimbia sup za udsm wavivu wa kusoma na waliofeli form six ni mzumbe. nilishawai kufundisha pale, vigezo tu na hata wanafunzi tu walioko pale mzumbe na wale wa SAUT ni tofauti, saut wako serious na bora kuliko mzumbe mara mia. RUCO inaendana na saut, ....kwa vyuo vya afya, muhimbili, kcmc na bugando viko juu sana. kwa rank tu, udsm ni chuo bora sana hata katika rank ya kidunia, kiafrika na cha kwanza africa mashariki. pale wanatoka waliofaulu vizuri form six na wachache waliofeli. kusoma mzumbe hata bure sitaki, nashukuru Mungu nilisoma udsm miaka ile nilipokuwa nasoma...me niko mzumbe na wala sio tajiri ila nina akili!! utake usitake
¤Sua, Muhas, Kcmc- Makini na Wajanja
Mzumbe- Matajiri na wenye Akili
¤Udsm- Watu wenye sifa mchanganyiko na jamii inawakubali
¤Cbe-dar- Malaya na wasiojiweza kiakili
¤Tumaini, Ardhi- Upeo mdogo wa kufikiri na watoto wa Mama
¤Ruco- Wajinga kwa waliokosa vyuo kabisa
¤Udom- Waliokosa nafasi Udzm na wanaipenda ingawa wanaipondea
¤Sauti,Ustawi, Mwl Nyerere, Muccobs, Cbe-dom- Wasiojua Future Zao
¤Iaa- Wenye uwezo ila walifeli form six
¤Mipango, Zanzibar, St.john, Moro Muslim- Wasiofahamu umuhimu wa elemu, hapa vilaza wamejaa kaa Nyota
¤Lpcuco- Majigambo kibao hamna cha maana kazi kujipraudi tu
¤Ifm- Kwa mademu wa ukweli
ndugu YANGU NILIJUA NA WEWE UTAELIMISHA WATU KWA EXPERINCE YAKO NA WEWE BADO UNAPONDEA VYUO KWELII NIMEAMINI UVIVU WA KUFIKIRI NI ZAIDI YA AIDSmzumbe ni chuo cha waliofeli na kushindwa kuingia udsm....kinazidiwa hata na SAUT, ni ajabu kusikia hicho ni chuo cha wenye akili...tafadhali tusichanganye mzumbe high school shule ya wenye vipaji na mzumbe university, kati ya vyuo vya wanaokimbia sup za udsm wavivu wa kusoma na waliofeli form six ni mzumbe. nilishawai kufundisha pale, vigezo tu na hata wanafunzi tu walioko pale mzumbe na wale wa SAUT ni tofauti, saut wako serious na bora kuliko mzumbe mara mia. RUCO inaendana na saut, ....kwa vyuo vya afya, muhimbili, kcmc na bugando viko juu sana. kwa rank tu, udsm ni chuo bora sana hata katika rank ya kidunia, kiafrika na cha kwanza africa mashariki. pale wanatoka waliofaulu vizuri form six na wachache waliofeli. kusoma mzumbe hata bure sitaki, nashukuru Mungu nilisoma udsm miaka ile nilipokuwa nasoma...
ze duduz Kwa upeo ulionao hata sishangai ukatoa uhalo wako humu jamvini,kwa ushauri tu uacha uvivu wa kufikiri jaribu soma vitu ili upanue upeo wako,then ndio ulete uzi wenye mashiko¤Sua, Muhas, Kcmc- Makini na Wajanja
Mzumbe- Matajiri na wenye Akili
¤Udsm- Watu wenye sifa mchanganyiko na jamii inawakubali
¤Cbe-dar- Malaya na wasiojiweza kiakili
¤Tumaini, Ardhi- Upeo mdogo wa kufikiri na watoto wa Mama
¤Ruco- Wajinga kwa waliokosa vyuo kabisa
¤Udom- Waliokosa nafasi Udzm na wanaipenda ingawa wanaipondea
¤Sauti,Ustawi, Mwl Nyerere, Muccobs, Cbe-dom- Wasiojua Future Zao
¤Iaa- Wenye uwezo ila walifeli form six
¤Mipango, Zanzibar, St.john, Moro Muslim- Wasiofahamu umuhimu wa elemu, hapa vilaza wamejaa kaa Nyota
¤Lpcuco- Majigambo kibao hamna cha maana kazi kujipraudi tu
¤Ifm- Kwa mademu wa ukweli
Learning is continous process mkuu unaweza soma maisha yako yote,usikaririsasa nisome nini? Mi nishazeeka