Sifa za wanafunzi kulingana na vyuo

Moyibi

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,054
710
¤Sua, Muhas, Kcmc- Makini na Wajanja

Mzumbe- Matajiri na wenye Akili

¤Udsm- Watu wenye sifa mchanganyiko na jamii inawakubali

¤Cbe-dar
- Malaya na wasiojiweza kiakili

¤Tumaini
, Ardhi- Upeo mdogo wa kufikiri na watoto wa Mama

¤Ruco- Wajinga kwa waliokosa vyuo kabisa

¤Udom
- Waliokosa nafasi Udzm na wanaipenda ingawa wanaipondea

¤Sauti,Ustawi, Mwl Nyerere, Muccobs, Cbe-dom- Wasiojua Future Zao

¤Iaa- Wenye uwezo ila walifeli form six

¤Mipango,
Zanzibar, St.john, Moro Muslim- Wasiofahamu umuhimu wa elemu, hapa vilaza wamejaa kaa Nyota

¤Lpcuco-
Majigambo kibao hamna cha maana kazi kujipraudi tu

¤Ifm
- Kwa mademu wa ukweli
 
Eti Mzumbe ni wenye akili!!! Angalia programu ya MPA/MBA vilaza kibao wanaikimbilia
 
mtanisamehe bure bana kuna hizi short form za hivi vyuo nilipata kuvisikia ni jokes tu watu wangu ..
CBE= COLLEGE OF BI*CH and enterntaiment
IFM= Instute of female management ,.. tehe tehe

Mmmh !! Hayo umesema wewe
 
Back
Top Bottom