nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,370
Inachukua muda gani kutoa hayo mafunzo? Au unabadili wasichana mara kwa mara?
kipi kinachokuchosha? nijuavyo mimi si lazima kazi zote ufanye wewe ingawa mimi lazima kila kazi niihakikishe kama ilifanywa ninavyotaka na nipatapo muda huwa nafanya mwenyewe kuwapa wasaidizi wangu nafasi ya kujifunza.