Siasa Zakielemea Chuo Kikuu Mlimani

Hii ni wrong conclusion kwa chuo chetu!

Kuna wengi hapa hatukusoma Mlimani lakini tunakipa heshima kubwa sana chuo chetu. Hii generalization ni wrong maana unaondoa fact kuwa Zitto Kabwe naye alikuwa kiongozi safi kabisa wa Daruso na ambaye anafanya kazi nzuri sana ya kutetea mali za nchi yetu!

Ndivyo ilivyo
kuwa na wrong conclusion kwa kusema CCM ni chama cha mafisadi
Mimi nakiri kua hii conclusion ni wrong na siwatendei haki wana udsm wengi ,vivyo hivyo mwafrika wa kike nawe nakuomba ukiri kua CCM sio chama cha mafisadi wapo wachache tu ila kuna wengi wana CCM hawajihusishi na ufisadi.
Samahani kwa kutoka nje ya maada lakini nafikiri ita bring sense ktk mjidala mingi.CU then
 
Samahani kwa kutoka nje ya maada lakini ita bring sense ktk mjidala mingi.CU then

Huwezi kulinganisha wasomi kibao waliopitia chuo kikuu cha mlimani na ambao wamesoma katika mazingira magumu kabisa na ufisadi wa ccm.

Katika hili hata kwa bunduki na mabomu hujanipata. Tafuta lingine mkuu maana wewe na chuki zako dhidi ya chuo kikuu cha mlimani ulizozionyesha kwenye ile thread nyingine hata siwezi kuzisema.

Nikiongelea CCM ninaongelea top brass ya ccm kuwa na kashfa za rushwa na ufisadi na kutumia mabilioni ya pesa za BoT kumweka Kikwete ikulu.

This is a whole different song na hii ya UD!
 
Nimepigwa butwaa na siamini kilichotokea kama kinatokea katika chuo kilichonifikisha hapa na ninachokipenda sana. In short, I am utterly appalled and I share your frustrations.

Hata hivyo, kuna sheria pale Mlimani kwamba ikigundulika wakati wowote wa masomo yako kwamba uli-forge vyetu ulipojiunga na chuo wanakusimamisha na uchunguzi ukithibitisha hivyo unafukuzwa na kuchukuliwa hatua za kisheria kwa sababu ku-forge vyeti Tanzania ni criminal offence. Kuna wanafuzni wengi sana wamewahi kufukuzwa kwa kugundulika kwamba wali-forge vetu walipoingia. Ninaye rafiki yangu tuliyekuwa tunasoma naye ambaye alifukzwa miezi miwli kabla hatujamaliza chuo baada ya kugundulika kuwa ali-forge vyeti. Yupo pia kijana mwingine kutoka Kenya aliwahi kufukuzwa chuo baada ya kugundulika kwamba naye alikuwa hana sifa za kuingia chuo na kwamba yalifanyika makosa kumwa-admit. Kwa hiyo hii sio kwamba ni kesi mpya na extra-ordinary kama inayoonekana. Lakini sema it is bad coincidence-nami pia sijui kama ina mambo ya siasa au la. Kwa kawaida kitu kama hiki kikitokea huwa kunafanyika uchunguzi ambao siku zote huwa ni makini kwa kiasi cha kutambua uongo na ukweli. So, I guess sooner than later tutajua ukweli.

Kitila Mganda kosa lake si vyeti bali kutaka kuwa kiongozi na ahoji mambo ya Mlimani City na ana Mass support hapa CCM hawakubali.Ku forge vyeti ni kawaida Tanzania maana hata ndani ya Bunge wapo na CCM na Serikali wanakubali na wengine ni mawaziri so wakiwashitaki hao nami ninaomba Mahakama ipitie vyeti vya waleo wote tunao wajua hapa .Sheria si kwa masikini na anti CCM pekee .
 
Ndivyo ilivyo
kuwa na wrong conclusion kwa kusema CCM ni chama cha mafisadi
Mimi nakiri kua hii conclusion ni wrong na siwatendei haki wana udsm wengi ,vivyo hivyo mwafrika wa kike nawe nakuomba ukiri kua CCM sio chama cha mafisadi wapo wachache tu ila kuna wengi wana CCM hawajihusishi na ufisadi.
Samahani kwa kutoka nje ya maada lakini nafikiri ita bring sense ktk mjidala mingi.CU then

Nitanjie watu 10 wakubwa ambao ni mawaziri wa sasa wa JK ambao si mafisadi .Hapo tutajua CCM ufisadi ni kidogo,EPA has given a clear picture kwamba hata Ikulu ni fisadi .Majuzi mwenyekiti Butiama kasema haguswi fisdi wala mtuhumiwa mambo kupeta tu .What did he imply ?What was the message kwetu sisi ? Unakumbuka kwenue kufoji cheti kwa yule Mbunge wa kule Mwanza what JK said na leo kesi iliishia wapi .
 
Mkubwa
kwa maana hiyo wengi wanaoipinga CCM wanachuki na CCM sio poa.

ILa mimi nitayasema tu kuhusu udsm wewe kama unafikiri ninachuki na udsm chukulia hivyohivyo.

Haiwezekani maprofesa wazima wa udsm waumizwe na very local goverment ya DARUSO ambayo haina dola,mtajaribu kuvunja kwa kuita ,chuki na vyovyote lakini ukweli utasimama.
Mimi silaumu wanafunzi ila mfumo unavyoendeshwa-mfano kama sijakosea miaka miwili mfululizo wanafunzi wa udsm wamekua wakitolewa na FFU na wanarudishwa dakika za mwisho kufanya mitihani.hapa unategemea nini.

Mimi sina chuki wala sijawahi kuwa na chuki na udsm na wala sina sababu ya kuwachukia maana sijawahi kukanyaga ktk kompasi ya udsm kuomba usajiri

wenda wewe mwezetu ndio unachuki na ccm baada ya kukunyima ulaji ,maana watu wa namna hii wanaopinga kitu kwasababu walinyimwa kitu fulani na kukifanyia chuki waliowanyima siku zote hufikiri wote wanaopinga nao wanachuki kama alivyo yeye.samahani kwa maneno makali
 
Nipe muda nitakuletea rants zako zote ulizozitoa dhidi ya UDSM just because Profesa mmoja wa UD amekataa kuitambua Dar Tech!

Katika hili mkuu jipe time usome tena ile thread yako usome ulichoandika!

Sidhani kama unataka kusema kuwa maprof wa UD wote wanahusika hapa na huu uchuro

Ninafanya kazi mkuu kupata pesa yangu na sina sababu ya kuiba pesa za watanzania kama vile wana ccm mnavyofanya huko bongo day in day out!

Ninarudia tena kuwa ccm wawaachie wanafunzi wa UD wachague kiongozi wao wanayemwona anafaa!
 
Lets talk openly, critise without calling names, we call a spade a spade and a Prof a Prof.

So there we speak, why is he suspended regardless the rules provided? May be people in UDSM can tell us more. If someone needs to be responsible, let him be regardless of the title (be a student, a prof or other adminstrators).

sawa mama
Nakubaliana na wewe na tufanye majumuisho.

Mkuu wa chuo profesa na kabineti yake pale UDSM ilikaa na kutumia busara ya hali ya juu ,busara iliyotukuka,busara zinazoposwa kuigwa na kila mtanzania msomi ili kuwaletea tija njema wananchi wa tanzania ,hakika wameonyesha uwezo wa hali ya juu kimaamuzi.Ni maamuzi yasiopaswa kuhojiwa maana yamefuata misingi yote ya sheria.
Maamuzi kwa kifupi ni haya-Mkuu wa chuo na wasaidizi wake walisajiri wanafunzi kwa kutumia vigezo vyao na katikati ya masomo ya wanafunzi hao wakawakana wanafunzi hawa na kusisitiza hawawatambui maana hawana vigezo.
Na. zidumu fikira hizi
 
Now you are talking na wanafunzi maelfu wanaomaliza UD ambao wanapanga kuchukua nchi toka kwa mafisadi wa ccm very soon wanaelewa kuwa hutoi generalization kama zile ulitoa kwenye ile thread nyingine!
 
Nipe muda nitakuletea rants zako zote ulizozitoa dhidi ya UDSM just because Profesa mmoja wa UD amekataa kuitambua Dar Tech!

Katika hili mkuu jipe time usome tena ile thread yako usome ulichoandika!

Sidhani kama unataka kusema kuwa maprof wa UD wote wanahusika hapa na huu uchuro

Ninafanya kazi mkuu kupata pesa yangu na sina sababu ya kuiba pesa za watanzania kama vile wana ccm mnavyofanya huko bongo day in day out!

Ninarudia tena kuwa ccm wawaachie wanafunzi wa UD wachague kiongozi wao wanayemwona anafaa!

mkuu ndio
Nakubali kabisa prof mmoja pale udsm walivyopiga paragumu kutia mizengwe DIT na MZUMBE huko wameshindwa na wamewageukia wanafunzi wao wenyewe.Ubaguzi ukianza huwa hauishii hapo hapo ,walianza kubagua mzumbe,DIT wameshindwa sasa wamerudi kuitafuna familia yao wenyewe kwa kuwaita waganda.Huu msingi wakibaguzi mimi ndio ninaoupinga na ndio sielewani nao.

Kitu kingine Profesa muelimika huwezi kubali kudhalilisha usomi wako kwa kutumiwa na CCM kufanya maamuzi uchwara kama haya.Hii ina maana kama ccm inawatumia viongozi wa udsm na ccm ni mafisadi basi na uongozi wa udsm ni wa kifisadi.ktk hali kama hi nikimuita profesa uchwara Nakosea ama ni matusi .Nirekebishe.
 
mkuu ndio
Nakubali kabisa prof mmoja pale udsm walivyopiga paragumu kutia mizengwe DIT na MZUMBE huko wameshindwa na wamewageukia wanafunzi wao wenyewe.Ubaguzi ukianza huwa hauishii hapo hapo ,walianza kubagua mzumbe,DIT wameshindwa sasa wamerudi kuitafuna familia yao wenyewe kwa kuwaita waganda.Huu msingi wakibaguzi mimi ndio ninaoupinga na ndio sielewani nao.

Kitu kingine Profesa muelimika huwezi kubali kudhalilisha usomi wako kwa kutumiwa na CCM kufanya maamuzi uchwara kama haya.Hii ina maana kama ccm inawatumia viongozi wa udsm na ccm ni mafisadi basi na uongozi wa udsm ni wa kifisadi.ktk hali nikimuita profesa uchwara Nakosea ama ni matusi .Nirekebishe.

As longer as unawaita hao maprofesa mafisadi kuwa ni maprof uchwara wa sisiem kama kina Mkandara mie kwang poa tu. Kinachogomba hapa ni hii generalization uliyokuwa unatoa bila kujali kuwa UD kuna vichwa makini kama Prof Haroub Othmani ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao!
 
Now you are talking na wanafunzi maelfu wanaomaliza UD ambao wanapanga kuchukua nchi toka kwa mafisadi wa ccm very soon wanaelewa kuwa hutoi generalization kama zile ulitoa kwenye ile thread nyingine!

aliyeelewa hivyo kama wewe ulivyoelewa kumradhi

Lakini mimi shutuma zangu zote ni uongozi wa udsm,maana mwanafunzi hana uwezo wala faida kutilia ngumu mzube/dit,wanafunzi,wahitimu wala mimi ni uongozi huo wa kimabavu.
 
Sawa mkuu!

Thread inaitisha kwa uongozi wa UDSM kuachana kabisa na siasa za wanafunzi wasomi hao. Wapewe nafasi ya kuchagua viongozi wao wale wanaowataka bila kuingiliwa hata kidogo.

Tunataka kina Zitto na Kitila wengi kadri iwezekanavyo! Hatutaki kina Owino kwi kwi kwi kiw (just to get him again!)
 
sio siasa tu bali maamuzi ya kibavu yanayotolewa na viongozi wa udsm.
wakumbuke sisi watanzania ni masikini sana na wanaingia pale kwa msaada wa mikopo wazazi wanaweka rehani mali zao kiduchu walizonazo wakaziuza/ama kukupa ktk bodi ya mikopo,sasa uongozi huu unavyofukuzafukuza wanafunzi inakatisha tamaa jamii nzima kwa ujumla ktk elimu .

viongozi watambue wanafunzi wanapogoma soln sio kuwarudisha nyumbani bali nikukaa nao meza moja nakufikia maamuzi ya kisomi zaidi na watambue huu mtindo wao wakurudisha wanafunzi nyumbani ni kuondoa morali wa elimu ktk jamii.

Pia watambue njia za mafanikio ya chuo hazijengwi kwa kufanya jitihada za kufilisi vyuo vingine.
 
Ala!!!
kumbe hata kwa wasomi wetu makini pale mlimani kuna rushwa ya kufa mtu
duuuuuuuuuuuuu.kumbe mafunzo yanaanzia udsm
Eti nasikia japo sina uhakika JK aliwahi kuwa rais wa daruso harafu makamu wake alikua Lowasa ndio ushwaiba wao ulipoanza.
I miss word

FYI

Kikwete alikuwa ni Makamu wa Rais (Vice President) kipindi hicho haikuwa inaitwa DARUSO ilikuwa inaitwa DUSO na Rais alikuwa ni Profesor Nzali ambaye sasa hivi ni dean wa ECSE

Halafu nadhani katika histori ya UDSM kulishawahi kuwa na Rais MKENYA mwenye kumbukumbu aiweke hapa ili iwe ni reference.
 
sio siasa tu bali maamuzi ya kibavu yanayotolewa na viongozi wa udsm.
wakumbuke sisi watanzania ni masikini sana na wanaingia pale kwa msaada wa mikopo wazazi wanaweka rehani mali zao kiduchu walizonazo wakaziuza/ama kukupa ktk bodi ya mikopo,sasa uongozi huu unavyofukuzafukuza wanafunzi inakatisha tamaa jamii nzima kwa ujumla ktk elimu .

viongozi watambue wanafunzi wanapogoma soln sio kuwarudisha nyumbani bali nikukaa nao meza moja nakufikia maamuzi ya kisomi zaidi na watambue huu mtindo wao wakurudisha wanafunzi nyumbani ni kuondoa morali wa elimu ktk jamii.

Pia watambue njia za mafanikio ya chuo hazijengwi kwa kufanya jitihada za kufilisi vyuo vingine.

Haswa, Mkuu. Hii tabia ya kuwa mkuu hakosei kwa hiyo haelezeki ndiyo iliyotufikisha hapa. Unapowabana wanafunzi katika hata kujichagulia mwakilishi wamtakae usishangae siku nyingine watakapoamua kuwa lugha unayoielewa wewe ni shari tu!
 
Hatimaye Wanafunzi Wa Udsm Sehemu Ya Mlimani Wameanza Mgomo Kushinikiza Wenzao Waliosimamishwa Masomo Warudishwe
 
Personally Iam a UDSM Product. Lakini lazima tukubali ukweli kwamba Chuo chetu ambacho ni symbol ya taifa kina umangi meza sana na hakuna transparency katika maamuzi. I can fully understand frustrations za wengi humu, University ni universal institutions ambayo ina watu mbali mbali na mawazo tofauti, ni intellectual community ambayo kazi yake ni kuchambua hoja na kuchangia hoja maridhawa katika kuendesha nchi yetu na dunia kwa ujumla....

Swala la huyu Mganda, in anyway ni very deplorable! Alivyogombea uongozi ni kama vile citizen wa USA, Malawi, UK au kwingineko anavyoweza kugombea, as long as ametimiza masharti. Hivi kweli UDSM itapata wapi courage ya kukemea maovu kwenye jamii yetu wakati wao wenyewe hawayatekelezi wanayoyahubiri? I cant buy the crap kuhusu vyeti vya jamaa, we are educated enough kujua kwamba hizi ni ghiliba za watawala wa Chuo! University ni sehemu ambayo mnyonge, tajiri, masikini, yeyote yule, ana haki ya kutoa mawazo yake bila kubughudhiwa! Academic freedom ya chuo chetu ni zero! Hivi kweli Mtanzania au yeyote yule anaweza kunyimwa nafasi ya kugombea uongozi Harvard au kwingineko, kwa mizengwe kama hii ya hapa UD?

Hivi incidence kama ya Zitto kukataliwa kuhutubia mkutano chuo sometime back..mnaichukuliaje, wakati alikaribishwa na utaratibu kufuatwa-kisa angefungua watu macho kuhusu ufisadi wa mikataba? Yaani imefika point Chuo chetu kimekuwa extension ya ruling clique! thats what I and others are saying its not fair, maana we are slowly killing independent and alternative avenues to air different views.

Jiulize wakati wanatafuta mrithi wa Luhanga, juzi hapa walimu na wanafunzi walikataa wakisema kwamba inabidi VC atoke UD na si kwingineko, maana mtu wa UD ndo anafahamu mazingira....., hawa hawa maprofesa waliokuwa wanaharakati wanamlaumu Luhanga kwa umangi meza ndo wakapewa mpini..hapa naongelea Mkandara (na harakati zake za kuhubiri democracy kupitia REDET nk) What I see management imekuwa worse kuliko hata kipindi cha Luhanga! (Kitila can say more on this-perhaps)

MKAMAP, at times naweza kumuelewa, maana ingawa kuna maprofesa vichwa hapa UD, lakini ukweli ni kwamba they have done the opposite wanapopewa madaraka. Na ofcourse tunapima kichwa cha mtu kwa kuangalia amefanya nini, pale alipopewa nafasi! Huwezi kuniambia eti fulani ni kichwa kwa kuandika vitabu na articles lakini anakuwa FISADI wa kutupwa anapopewa mwanya wa kutekeleza yale ambayo ameyahubiri miaka kibao!

Kifupi, UDSM is my alma mater and proud of it, but its no longer a free and independent academic platform where the oppressed and the muzzled can air their views. Sasa kama wasomi na vyeti vyoote walivyonavyo, bado wanafanya maamuzi ya umangi meza..what do you expect from a FORM FOUR GRADUATE MAKAMBA?????

Tuache unafiki, wasomi wetu ndo wanalicost taifa letu! They are not ready to lead the way, at times nadhani ndo maana serikali inawaignore, kwa sababu inawajua kwamba ni wale wale wenye njaa tuu! Not after making a positive difference in the lives of their compatriots!
 
Haswa, Mkuu. Hii tabia ya kuwa mkuu hakosei kwa hiyo haelezeki ndiyo iliyotufikisha hapa.

Hii tabia ndo imetufikisha hapa, bosi akiagiza kitu furani kifanyike hauna nafasi ya kuoji hata kama kinachofanyika ni kwa ajiri ya masirahi binafisi ya kiongozi huyo, hasa kiongozi mwenyewe kama yuko chama tawara, mtu na heshima yake anashindwa kuuliza kwanini, au kwanini tusingefanya hivi kwasababu tu kiongozi wake amesema.
Hii inajenga nchi ya watu wa sawa mzee ambayo akitokea mjanja mmoja (magabachori wetu) anafanya hata ambavyo kiongozi hajaagiza na watu kwa kutouliza wanakubaliana nae.
Baadhi ya watu walishashutukia hii na kujipatia pesa kutoka mikoani na baadhi ya makampuni, anakwenda na kusema waziri kaniagiza $1000 wanatoa hela na kumpa bila kumuliza waziri kwa sababu huyo mtu ametoka kwa waziri.
 
Personally Iam a UDSM Product. Lakini lazima tukubali ukweli kwamba Chuo chetu ambacho ni symbol ya taifa kina umangi meza sana na hakuna transparency katika maamuzi. I can fully understand frustrations za wengi humu, University ni universal institutions ambayo ina watu mbali mbali na mawazo tofauti, ni intellectual community ambayo kazi yake ni kuchambua hoja na kuchangia hoja maridhawa katika kuendesha nchi yetu na dunia kwa ujumla....

Swala la huyu Mganda, in anyway ni very deplorable! Alivyogombea uongozi ni kama vile citizen wa USA, Malawi, UK au kwingineko anavyoweza kugombea, as long as ametimiza masharti. Hivi kweli UDSM itapata wapi courage ya kukemea maovu kwenye jamii yetu wakati wao wenyewe hawayatekelezi wanayoyahubiri? I cant buy the crap kuhusu vyeti vya jamaa, we are educated enough kujua kwamba hizi ni ghiliba za watawala wa Chuo! University ni sehemu ambayo mnyonge, tajiri, masikini, yeyote yule, ana haki ya kutoa mawazo yake bila kubughudhiwa! Academic freedom ya chuo chetu ni zero! Hivi kweli Mtanzania au yeyote yule anaweza kunyimwa nafasi ya kugombea uongozi Harvard au kwingineko, kwa mizengwe kama hii ya hapa UD?

Hivi incidence kama ya Zitto kukataliwa kuhutubia mkutano chuo sometime back..mnaichukuliaje, wakati alikaribishwa na utaratibu kufuatwa-kisa angefungua watu macho kuhusu ufisadi wa mikataba? Yaani imefika point Chuo chetu kimekuwa extension ya ruling clique! thats what I and others are saying its not fair, maana we are slowly killing independent and alternative avenues to air different views.

Jiulize wakati wanatafuta mrithi wa Luhanga, juzi hapa walimu na wanafunzi walikataa wakisema kwamba inabidi VC atoke UD na si kwingineko, maana mtu wa UD ndo anafahamu mazingira....., hawa hawa maprofesa waliokuwa wanaharakati wanamlaumu Luhanga kwa umangi meza ndo wakapewa mpini..hapa naongelea Mkandara (na harakati zake za kuhubiri democracy kupitia REDET nk) What I see management imekuwa worse kuliko hata kipindi cha Luhanga! (Kitila can say more on this-perhaps)

MKAMAP, at times naweza kumuelewa, maana ingawa kuna maprofesa vichwa hapa UD, lakini ukweli ni kwamba they have done the opposite wanapopewa madaraka. Na ofcourse tunapima kichwa cha mtu kwa kuangalia amefanya nini, pale alipopewa nafasi! Huwezi kuniambia eti fulani ni kichwa kwa kuandika vitabu na articles lakini anakuwa FISADI wa kutupwa anapopewa mwanya wa kutekeleza yale ambayo ameyahubiri miaka kibao!

Kifupi, UDSM is my alma mater and proud of it, but its no longer a free and independent academic platform where the oppressed and the muzzled can air their views. Sasa kama wasomi na vyeti vyoote walivyonavyo, bado wanafanya maamuzi ya umangi meza..what do you expect from a FORM FOUR GRADUATE MAKAMBA?????

Tuache unafiki, wasomi wetu ndo wanalicost taifa letu! They are not ready to lead the way, at times nadhani ndo maana serikali inawaignore, kwa sababu inawajua kwamba ni wale wale wenye njaa tuu! Not after making a positive difference in the lives of their compatriots!

Masanja
Umeleweka vizuri sana haswa sehemu nilipogilia maneno meusi.Mimi kwa kweli mtu hawezi nishawishi eti msomi amebobea kwa karatasi zake isipokua naangalia kabobea kwa matendo na maamuzi yake.

Haya mambo yakudaganyana kwa makaratasi yamepitwa na wakati,watu tubadirike tuanze kuheshimu watu kwa kazi zao na si makaratasi.

Mfano tunaweza kumheshimu kijana wa darasa la saba aliyeobobea ktk elimu Msomi wetu Shabaan Robert.

Watu inabidi tuache UNAZI palipo na ukweli watu waseme ukweli nasikupindisha pidisha.

Angalia hawa wanafunzi wa UDSM kunauwezekano kabisa wakagoma na kurudishwa nyumbani mara ya tatu mfululuzo,ina maana kupoteza siku moja ya masomo wamepoteza mabilioni ya sh za watanzania.

UDSM sio chuo makini kabisa kama wengi wanavyosema,haiwezekani wawe na wasomi makini waruhusu mgogomo mfululuzo ktk miaka mitatu.
 
Mkamap, UDSM migomo haijaanza miaka mitatu iliyopita. Nilisoma pale kwa miaka 3 nakatika hiyo miaka 2 ilikuwa na migomo mikubwa mno. Kusema chhuo sio makini wakosea, pia taja jina la profesa unayeona anaboronga na usigeneralise. Siungi mkono yanayotokea pale na ninayapinga kabisa ila yaelekea una kakitu moyoni mwako na UDSM au staff wake sijui.

Haya niambie katika vyuo vya Tanzania ni chuo gani wanafunzi wake wamewahi kugoma ukiachia SUA, Mzumbe. Unataka kuniambia kuwa wanafunzi wa vyuo vingine hawagomi kwa vile vyuo vyo ni makini sana. Kugoma kwa kweli kunaleta hasara kubwa sana kwa chuo na Taifa kwa ujumla, lakini mgomo hutumika pale diplomasia inaposhindikana though its is not true for all the time.
 
Back
Top Bottom