Siasa za CHADEMA zinairudishaTanzania mwaka 1842!

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
Kwa siasa za kususa za CHADEMA, wanairudisha Tanzania waliyoyapitia wenzetu mwaka 1842.

labor_history.png
 
Kwa siasa za kususa za CHADEMA, wanairudisha Tanzania waliyoyapitia wenzetu mwaka 1842.

labor_history.png

Masikini Ribosome, unadandia bila kujua unaongelea nini, si heri ungemtafuta mtu akakutafsiria maana ya History of Corporate Whining na inawahusu akina nani! Wanaolialia hapa ni status quo, sio wanaotaka mabadiliko. CCM ndiyo inataka kuturudisha mwaka 1842 ambapo mfumo kandamizi ilipokuwa ikihangaika kupinga haki ya msingi ya raia kugoma na kuandamana wakipigania maisha bora. Amka, sasa tuko karne ya 21, huo usingizi mnaouchapa hauwapi muda wa kufikiria na badala yake kila siku mnazidi kuwa kama mazuzu na kubaki mkishangilia upuuzi wa CCM.
 
Ribosome you are disgrace! I can't imagine karne ya 21 leo kutuletea vikatuni vya 1842 vilivyokuwa vina propagate wafanyakazi hasa BLACKS kuendelea kunyonywa na few WHITES.

Nyerere na TANU walipigania nchi hii ili watu wote tuwe sawa BLAKCS, WHITES, COLOURED leo hii CCM mmepoteza mwelekeo mnashabikia UBAGUZI WA RANGI uliokuwa ukifanywa dhioi ya BLACKS America.

Ukisikia chama kufa ndiyo huku, Nape upo? leo CCM mnasaabikia AKABURU? Eeh Mungu tuepushe mbali na CCM iliyokosha mwelekeo!
 
Hakuna haja ya kuchangia thread hii!cha muhimu unapaswa kujua kuwa watanzania tumeichoka ccm!
 
Dalili za mwanzo wa mwisho.

zisi izi e saini thati inglishi izi e difikati langweji fo mosti ofu asi.
ifu yu donti noo ze messeji bihaindi ze katuni whai yu positi iti ee??

Aza pipo bwana?
 
Masikini Ribosome, unadandia bila kujua unaongelea nini, si heri ungemtafuta mtu akakutafsiria maana ya History of Corporate Whining na inawahusu akina nani! Wanaolialia hapa ni status quo, sio wanaotaka mabadiliko. CCM ndiyo inataka kuturudisha mwaka 1842 ambapo mfumo kandamizi ilipokuwa ikihangaika kupinga haki ya msingi ya raia kugoma na kuandamana wakipigania maisha bora. Amka, sasa tuko karne ya 21, huo usingizi mnaouchapa hauwapi muda wa kufikiria na badala yake kila siku mnazidi kuwa kama mazuzu na kubaki mkishangilia upuuzi wa CCM.

Unachoshindwa kuelewa ni kuwa CHADEMA inaendeshwa ki corporate, Kwi kwi kwi, teh teh teh.

Ya mkwe kurithishwa madaraka, ya Slaa kumweka mchumba kutengeneza "software" za kudhibiti? mahesabu na kuchaguwa ni yupi afaae na yupi asiyefaa. Niambie kama hizo sio corporate decisions? Fikiri!
 
Dalili za mwanzo wa mwisho.

zisi izi e saini thati inglishi izi e difikati langweji fo mosti ofu asi.
ifu yu donti noo ze messeji bihaindi ze katuni whai yu positi iti ee??

Aza pipo bwana?

Nadhani hujaelewa ndio maana unajidai kuleta pumba. I dream in English, let alone understanding it. Kiingereza hapa nakijuwa *************!
 
Unadhalilisha fani za watu-----------kama hujasoma Histori in Societal transformation bora uendelee na kilimo.

Naona imekugusa sana hii kitu. Fani za kina Mashumbusi? au? "kilimo kwanza" umesahau?
 
Huyu nae katoka wapi tena?????? kakurupuka huko kaacha kunyonyesha anatuletea ***** huu, kwa nini hamtaki kukubali kuwa mmeshindwa na mnahitajika mkae pembeni? hivi hawa CHAMA CHA MAGAMBA kinataka nini? wageni juzi hapa wamewaambia ukweli mbele ya mwenyekiti wanu kuwa viongozi wanaotoka CCM maneno ni mengi, kazi ya kukuza uchumi na kumwekea mazingira bora mtanzania hawafanyi, wao kazi yao ni kuangalia matumbo yao na familia zao, halafu mtu anatoka kusikojulikana analeta utumbo hapa. Haya sasa nenda wakakulipe hizo buku mbili. :crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy:
 
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa CHADEMA inaendeshwa ki corporate, Kwi kwi kwi, teh teh teh.

Ya mkwe kurithishwa madaraka, ya Slaa kumweka mchumba kutengeneza "software" za kudhibiti? mahesabu na kuchaguwa ni yupi afaae na yupi asiyefaa. Niambie kama hizo sio corporate decisions? Fikiri!

Nimejiridhisha Faiza Foxy umerudi tena kwa I'D mpya
 
Pole sana protein synthesizer mpaka sasa hujui ukombozi utaletwa by which action,kazana kuleta mada labda 2takûchange
 
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa CHADEMA inaendeshwa ki corporate, Kwi kwi kwi, teh teh teh.

Ya mkwe kurithishwa madaraka, ya Slaa kumweka mchumba kutengeneza "software" za kudhibiti? mahesabu na kuchaguwa ni yupi afaae na yupi asiyefaa. Niambie kama hizo sio corporate decisions? Fikiri!
Bado hujaweza kutetea hoja yako, yaani mtu mzima hukuelewa maana unaelezwa maana bado unajifanya mjuaji.. hapo nilipo sina mbavu kwa ukihiyo unaoonyesha hadharani...
 
Back
Top Bottom