Siasa za CHADEMA zinairudishaTanzania mwaka 1842!

Bado hujaweza kutetea hoja yako, yaani mtu mzima hukuelewa maana unaelezwa maana bado unajifanya mjuaji.. hapo nilipo sina mbavu kwa ukihiyo unaoonyesha hadharani...

we pimbi, kama unazungumzia maisha binafsi ya viongozi wa cdm basi yana nafuu kuliko ya hao ccm, kuanzia mkulu wenu hadi mwenyekiti wa kijiji kwa chama chenu ni wabovu kwisha kazi, kuanzia ufuska, uhuni, wizi, utapeli, uongo, kutamani wake za watu, kuchukuliana mabwana na wake za watu, kwenda kwa masangoma, na kuua wenzao pia
 
fredmlay, utakuwa ni mchaga kwa jina na namna unavyochangia. Naona mwenzako hapo juu, umemkonfyuz mpaka kakupakia! kwi kwi kwi, teh teh teh
 
Nimejiridhisha Faiza Foxy umerudi tena kwa I'D mpya

Moderators wameshakuona unaanza name calling!

Bado hujaacha kuiba mtandao wa kazini kupigia soga JF? kumbuka unaoiba si mtandao tu, ni pamoja na muda wa kazi, halafu watu kama wewe ndio wa kwanza kudai nyongeza ya mshahara!
 
Kwa siasa za kususa za CHADEMA, wanairudisha Tanzania waliyoyapitia wenzetu mwaka 1842.

labor_history.png

Mkuu kiingereza kinakusumbua au? mbona unachanganya mada? Nitafute nikupe tafsiri sahihi. Pole
 
Masikini Ribosome, unadandia bila kujua unaongelea nini, si heri ungemtafuta mtu akakutafsiria maana ya History of Corporate Whining na inawahusu akina nani! Wanaolialia hapa ni status quo, sio wanaotaka mabadiliko. CCM ndiyo inataka kuturudisha mwaka 1842 ambapo mfumo kandamizi ilipokuwa ikihangaika kupinga haki ya msingi ya raia kugoma na kuandamana wakipigania maisha bora. Amka, sasa tuko karne ya 21, huo usingizi mnaouchapa hauwapi muda wa kufikiria na badala yake kila siku mnazidi kuwa kama mazuzu na kubaki mkishangilia upuuzi wa CCM.
Mkuu Mag3, hilo ni tatizo kubwa linalowakabili watu wanaojiita usalama wa taifa, ni wafinyu wa kuelewa mambo lakini bahati mbaya sana hawajui kwamba hawaelewi. Bora umewapa japo shule kidogo.
 
Mkuu Mag3, hilo ni tatizo kubwa linalowakabili watu wanaojiita usalama wa taifa, ni wafinyu wa kuelewa mambo lakini bahati mbaya sana hawajui kwamba hawaelewi. Bora umewapa japo shule kidogo.

Waulize Ulimboka na wenzake, mbona kimya kimezidi!
 
MMmmH!

Ribosome! Ribosome! Disiplini izi e frii thing'i.Yu kolu mai mchango haski???

Haski mwenyewe!

Yu no ze izi endi wozi pati ofu inglishi houeva iti izi klia zati literecha bihaindi ze katuni hezi esikepudi thruu ze windo.

Bisha!

Nadhani hujaelewa ndio maana unajidai kuleta pumba. I dream in English, let alone understanding it. Kiingereza hapa nakijuwa kimkundumkundu!
 
kwa siasa za kususa za chadema, wanairudisha tanzania waliyoyapitia wenzetu mwaka 1842.
labor_history.png
hivi ndugu unafikiri huyo katuni wa 1842 ni ccm au ni chadema? Ccm ndio hamtaki watu waandamane kuonyesha hisia zao kuwa hamuwaridhishi kila jambo ni siri ili "business yenu" i-survive
 
Tumpe adhabu ya kumpuuza! umetumwaaa heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa CHADEMA inaendeshwa ki corporate, Kwi kwi kwi, teh teh teh.

Ya mkwe kurithishwa madaraka, ya Slaa kumweka mchumba kutengeneza "software" za kudhibiti? mahesabu na kuchaguwa ni yupi afaae na yupi asiyefaa. Niambie kama hizo sio corporate decisions? Fikiri!

Ribosome pambaf!

Usilete upuuzi wako wa ki-CCM hapa. Kwa taarifa yako tu ni kwamba kwa sasa CHADEMA ndicho chama mbadala ya CCM baada ya CCM kushindwa kuongoza Watanzania kwa kukumbatia UFISADI,RUSHWA,UGENISHAJI,MAUAJI NA KUZIDI KUWAFANYA WATANZANIA KUWA MASKINI! Pamoja na njama,rafu na hujuma zote zinazofanywa na sirikali ya CCM bado CHADEMA kwa sasa ni chama MAKINI,IMARA,VERY ORGANISED NA CHENYE POLICY ZA KUIBADILISHA TANZANIA.

Madai yako kuwa ni chama kinaendeshwa ki-corporate ni uzushi na uongo. Haya unayasema ya ati kurithishana madaraka ni mambo ya CCM. Juzi pale Arumeru East, CCM wameshindwa kwa aibu kwa kutaka KUMRITHISHA KITI CHA UBUNGE SIOI SUMARI ILI KUCHUKUA KITI KILICHO ACHWA WAZI NA MAREHEMU BABA YAKE. Pambaf. Ukirudi kwenye safu ya nuongozi wa kitaifa kote kumejaa watoto wa vigogo na marafiki zao. Mifano hai: JANUARI MAKAMBA(Mtoto wa Yusuf Makamba-former CCM S-General),DK.HUSSEIN MWINYI(Mtoto wa Rais Mstaafu Alli Hassan Mwinyi-Mzee Ruksa).NNEPI NAUYE(Mtoto wa Mosses Nnauye-Kada wa TANU enzi hizo),ADAMU MALIMA(Mtoto wa Kighoma Malima-Waziri wa Fedha enzi za Mwalimu),IGP SAID MWEMA (Shemeji wa Kiwete kaoa dada yake Kiwete),OMARI NUNDU(Nundu ana undugu na Mama Salma Kiwete)kwa uchache tu n.k. na n.k.!

Swali: Je kati ya CCM na CHADEMA nani anaye endesha Chama kama Taasisi ya Familia au Kikundi cha Watu wachache???Baba wa Taifa Mwalimu J.K.Nyerere(RIP) hakuacha ujinga huu wa kurithisha vyeo watoto kwa vile Baba yuko kwenye uongozi wa Kitaifa. Nyerere alikuwa akiishi kwa vitendo. Mpaka anafariki hakuna mtoto wa Nyerere alikuwa kwenye ngazi yoyote ya uongozi wa Kitaifa zaidi ya Mkongoro Nyerere aliyekuwa Mbunge tena kwa kupitia tiketi ya chama cha Upinzani cha NCCR-Mageuzi.Kwa sasa amerudi CCM na ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara.

Juzi juzi tu kwenye Kampeni za Mwaka 2010 J.Kiwete aliingiza familia yake ya Mkewe Mama Salma Kiwete na mtoto wao Riz1 kwenye kampeni za Urais. Baada ya watu kuana kuhoji mpango huo ukayeyuka. Lakini yote hiyo ilikuwa ni kuanza kumwandaa mwana aje achukue nafasi nyeti baadaye kwenye uongozi wa KITAIFA.Usije ukashangaa mwaka 2015 Riz1 Kiwete akagombea Urahisi wa nji hii!
 
quote_icon.png
By DALLAI LAMA
Kushabikia ccm ni sawa na kunywa maji aliyooshewa maiti

Hivi kwani kila mtu asiyeisapoti CDM ni CCM au CUF, NCCR - Wengine hawana vyama bana ila hawasapoti porojo za CDM

Sheikh umemuelewa lakini Dallai Lama..? Amesema kushabikia CCM.. Kwa hiyo kama unashabikia Vyama vingine au huna Chama hana tatizo na wewe..! Unless una mahaba na CCM hukuwa na sababu ya ku-comment they way ulivyoandika hapo.. Kuwa muwazi bana..
 
Ina Maana Ulikuwa hai 1842? na Tanganyika ilikuwa na vyama vya kisiasa?

Wow, sikuyajua hayo historia niliyosoma nikiwa Darasa la Tatu ilianiza karne ya 1900

Sasa tusaidie CCM ilikuwa imara na bora kwahiyo kama Chadema kingekuwepo zingerudisha nyuma nini? wakati tulikuwa

Chini ya Utawala wa Mkoloni? hatukuwa Nchi, tulikuwa tunamyenyekea Master...

Yaani, Saa nyingine hizi articles zetu zinaturudisha mbali ambako hatukuwahi kufika...
 
Bwane ee chadema ni chama makini na ni chama cheye kujua demand of people at time bt not ccm eti wanaleta mbolea wakati wa mavuno kama co uwendawazim nini wasilete momentam politics.
 
Bwane ee chadema ni chama makini na ni chama cheye kujua demand of people at time bt not ccm eti wanaleta mbolea wakati wa mavuno kama co uwendawazim nini wasilete momentam politics.
 
Back
Top Bottom